Table of Contents
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi elfu tatu mia sita thelathini na tatu (3633) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
1 MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA BIASHARA (BUSINESS STUDIES) NAFASI 3425
- MKOA – ARUSHA 102, DAR ES SALAAM 14, PWANI 107, DODOMA 180, GEITA 150, IRINGA 103, KAGERA 190, KATAVI 63, KIGOMA 154, KILIMANJARO 135, LINDI 131, MANYARA 135, MARA 205, MBEYA 149, MOROGORO 153, MTWARA 136, MWANZA 163, NJOMBE 85, RUKWA 67, RUVUMA 154, SHINYANGA 113, SIMIYU 143, SINGIDA 126, SONGWE 98, TABORA 163, NA TANGA 206.
2 MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA USHONAJI (DESIGNING, SEWING AND CLOTH TECHNOLOGY) NAFASI 16
- MKOA – ARUSHA 1, DAR ES SALAAM 1, GEITA 1, KILIMANJARO 1, MANYARA 1, MARA 1, MOROGORO 1, NJOMBE 1, PWANI 1, RUKWA 2, RUVUMA 2, SHINYANGA 1, SIMIYU 1 NA SINGIDA 1.
3 MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA UASHI (MASONRY AND BRICKLAYING) NAFASI 20
- MKOA – DODOMA 1, GEITA 1, IRINGA 1, KIGOMA 1, KILIMANJARO 1, LINDI 1, MANYARA 1, MARA 1, MOROGORO 1, MTWARA 1, MWANZA 1, NJOMBE 1, PWANI 2, RUKWA 1, RUVUMA 1, SHINYANGA 1, SINGIDA 1, SONGWE 1 NA TANGA 1.
4 MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA UMEME (ELECTRICAL INSTALLATION) NAFASI 3
- MKOA – ARUSHA 1, KAGERA 1 NA LINDI 1.
5 MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA UFUNDI WA MAGARI (MOTOR VEHICLE MECHANICS) NAFASI 5
- MKOA – ARUSHA 1, KAGERA 1, KATAVI 1, MWANZA 1 NA PWANI 1.
6 MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA UCHOMELEAJI NA UTENGENEZAJI WA VYUMA (WELDING AND METAL FABRICATION) NAFASI 6
- MKOA – ARUSHA 1, IRINGA 1, KAGERA 1, MWANZA 1, NJOMBE 1 NA PWANI 1
7 MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA SANAA (THEATHER ARTS) NAFASI 8
- MKOA – DAR ES SALAAM 1, DODOMA 2, KIGOMA 2 NA LINDI 3.
8 MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA USEREMALA (CARPENTRY AND JOINERY) NAFASI 16
- MKOA – DODOMA 1, IRINGA 1, KAGERA 1, KIGOMA 1, KILIMANJARO 1, MANYARA 1, MOROGORO 1, MWANZA 1, NJOMBE 1, PWANI 2, RUKWA 1, RUVUA 1, SHINYANGA 1, SONGWE 1 NA TANGA 1.
9 MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA UFUNDI WA BOMBA (PLUMBING AND PIPE FITTING) NAFASI 18
- MKOA – DODOMA 1, KATAVI 1, KIGOMA 1, KILIMANJARO 1, MANYARA 1, MARA 1, MOROGORO 1, NJOMBE 1, PWANI 2, RUKWA 1, RUVUMA 1, SHINYANGA 1, SIMIYU 1, SINGIDA 1, SONGWE 1, TABORA 1 NA TANGA 1.
10 MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA AFYA YA WANYAMA (ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION) NAFASI 13
- MKOA – GEITA 1, KAGERA 1, MARA 1, MBEYA 1, SHINYANGA 1, SIMIYU 2, SINGIDA 2, TABORA 3 NA TANGA 1.
11 MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA (FOOD PRODUCTION) NAFASI 6
- MKOA – IRINGA 1, KATAVI 1, MOROGORO 1, SINGIDA 1 NA TANGA 2.
12 MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA KILIMO CHA BUSTANI (HORTICULTURE PRODUCTION) NAFASI 7
- IRINGA 1, KILIMANJARO 1, MBEYA 1, MOROGORO 1, NJOMBE, 1, TABORA 1 NA TANGA 1.
13 MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA HUDUMA YA CHAKULA NA VINYWAJI NA MAUZO (FOOD AND BEVARAGE, SALES AND SERVICES) NAFASI 12
- MKOA – KAGERA 1, KILIMANJARO 1, MOROGORO 1, MTWARA 2, MWANZA 1, NJOMBE 1, RUKWA 1, RUVUMA 2, SINGIDA 1 NA SONGWE 1.
14 MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA UPAKAJI RANGI NA UANDIKAJI MAANDISHI (PAINTING AND SIGN WRITING) NAFASI 3
- MKOA – KAGERA 1, NJOMBE 1 NA PWANI 1.
15 MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA UMEME WA MAGARI (AUTO ELECTRICAL) NAFASI 2
- MKOA – KATAVI 1 NA PWANI 1.
16 MWALIMU DARAJA LA III C – (FIELD CROP PRODUCTION) NAFASI 20
- MKOA – KATAVI 1, KILIMANJARO 1, LINDI 1, MARA 2, MBEYA 1,
- MOROGORO 2, MTWARA 1, NJOMBE 2, RUKWA 1, RUVUMA 2, SHINYANGA
- 2, SIMIYU 1, SONGWE 1, TABORA 1 NA KAGERA 1.
17 MWALIMU DARAJA LA III B – (REFRIGERATION AND AIR CONDITIONING) NAFASI 9
- 1.12.1 MKOA – KIGOMA 1, MANYARA 1, MARA 1, MOROGORO 1, MTWARA 1, RUKWA 1, RUVUMA 1, SHINYANGA 1, SIMIYU 1.
18 MWALIMU DARAJA LA III C – (MUSIC PERFOMANCE) NAFASI 10
- MKOA – KIGOMA 2, PWANI 1, TANGA 1, MARA 1, DODOMA 1, LINDI 1 MANYARA 1, MBEYA 1 NA DAR ES SALAAM 1
19 MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA NISHATI YA JUA (SOLAR POWER INSTALLATION) NAFASI 16
- MKOA – LINDI 1, KATAVI 1, MANYARA 1, MARA 1, MOROGORO 1, MTWARA 1, NJOMBE 1, PWANI 1, RUKWA 1, RUVUMA 1, SHINYANGA 1, SIMIYU 1,
- SINGIDA 1, SONGWE 1, TABORA 1, TANGA 1.
20 MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA UTENGENEZAJI PROGRAMU ZA TEHAMA (COMPUTER PROGRAMMING) NAFASI 4
- MKOA – MANYARA 1, MARA 1, MOROGORO 1, TABORA 1.
MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA UVUVI NA USINDIKAJI WA SAMAKI (FISHING AND FISH PROCESSING) NAFASI 4
- MKOA – MARA 2, MWANZA 2.
21 MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA USINDIKAJI WA MBAO (WOOD PROCESSING) NAFASI 1
- MKOA – MTWARA 1,
22 MWALIMU DARAJA LA III C – (PHYSICAL EDUCATION) NAFASI 9
- MKOA – TABORA 1, MBEYA 1, DODOMA 5, KIGOMA 1 NA MOROGORO 1.
Kufahamu Zaidi Kuhusu Sifa Na Vigezo, Masharti Ya Jumla, Majukumu Ya Kazi Download Tangazo Husika Kupitia Linki Ifuatayo