/* */ Matokeo ya Kidato cha pili 2024 (NECTA form two results) - zoteforum.com
zoteforum.com
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
zoteforum.com
No Result
View All Result

Matokeo ya Kidato cha pili 2024 (NECTA form two results)

Zoteforum by Zoteforum
January 5, 2025
in NECTA Matokeo, FTNA

Table of Contents

  • 1. Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha pili 2024 Mtandaoni
  • 2. Matokeo ya Kiadato cha pili (form two 2024) kwa Mikoa Yote Tanzania
  • 3. Tafsiri ya Alama na Madaraja Katika Matokeo ya Kidato cha pili 2024

Matokeo ya Kidato cha Pili 2024 , haya ni matokeo rasmi ya Mtihani wa Upimaji wa Kitaifa Wa Kidato Cha Pili (FTNA) 2024 ambayo hutolewa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kila mwaka miezi miwili baada ya wanafunzi wa kidato cha pili kufanya mitihani huo. Mitihani hii ni ya lazima katika mfumo wa elimu ya sekondari nchini na inatoa tathmini muhimu ya maendeleo ya elimu ya wanafunzi baada ya miaka miwili ya masomo katika ngazi ya sekondari.

Matokeo ya kidato cha pili 2024 yanatarajiwa kutoa tathmini ya uelewa wa wanafunzi katika masomo waliyofundishwa, na kutoa fursa kwa walimu na wazazi kuelewa maeneo ambayo wanafunzi wanahitaji msaada zaidi.

Matokeo ya kidato cha pili ya Mwaka 2024 yanasubiriwa kwa hamu kubwa sana kwa sababu yanatoa fursa kwa wadau mbalimbali wa elimu kuangalia mabadiliko na maboresho yaliyofanywa katika mitaala na mbinu za ufundishaji. Kwa ujumla, Matokeo ya kidato cha pili yatatoa mwangaza juu ya mafanikio ya juhudi mbalimbali ambazo zimeendelea kufanywa na serikali katika Nyanja ya elimu nchini kiwa ni Pamoja na matumizi ya teknolojia katika madarasa hadi mbinu za kufundisha ambazo zinalenga kukuza ujuzi wa kufikiri kwa kina na kutatua matatizo yanayoizunguka jamii.

Kwa wazazi, hii ni fursa ya kupima maendeleo ya watoto wao na kubaini maeneo yanayohitaji msaada zaidi nyumbani. Vivyo hivyo, kwa walimu, matokeo haya yanaweza kutoa maoni muhimu katika kuboresha mbinu za kufundisha na kuimarisha maeneo yenye changamoto katika ufundishaji. Katika Makala hii utaweza kufahamu Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha pili Kupitia Tovuti ya NECTA na kuelewa Tafsiri ya Alama na Madaraja ambayo NECTA huyatumika Katika upangaji wa Matokeo ya mtihani wa Kidato cha pili

1 Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha pili 2024 Mtandaoni

Katika ulimwengu wa maendeleo ya kidijitali, teknolojia imerahisisha upatikanaji wa taarifa za matokeo ya mitihani mbalimbali nchini. Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limeboresha utaratibu wa kutangaza matokeo kwa kuwezesha wanafunzi na wadau wengine wa elimu kuyaangalia kupitia tovuti yao rasmi. Ufuatao ni muongozo wa hatua kwa hatua jinsi ya kuangalia matokeo ya kidato cha pili 2024 kupitia tovuti ya NECTA.

Hatua ya 1: Fungua Tovuti ya NECTA

Kwanza, hakikisha kompyuta yako, simu au kifaa chochote cha kielektroniki unachotumia kimeunganishwa na mtandao wa intaneti. Kisha, fungua kivinjari chako cha intaneti na andika anwani ya tovuti ya NECTA, ambayo ni www.necta.go.tz, Utapelekwa kwenye ukurasa wa nyumbani wa tovuti ya NECTA

Hatua ya 2: Nenda kwenye Kipengele cha Habari au Matangazo

Mara baada ya kufungua tovuti, elekea kwenye sehemu ya ‘Habari au Matangazo’ ambayo mara nyingi hupatikana kwenye ukurasa wa mbele upande wa kulia wa tovuti ya NECTA. NECTA hutoa matangazo yote muhimu, ikiwemo matokeo ya mitihani katika kipengele hiki. Hapa, utapata kiungo au tangazo linalosema ” Matokeo Ya Upimaji Wa Kitaifa Wa Kidato Cha Pili (FTNA Results) 2024” au  “Matokeo Ya Form Two 2024 “ Bonyeza kiungo hicho ili kuelekea kwenye ukurasa wa matokeo.

Buy JNews Buy JNews Buy JNews
ADVERTISEMENT

Hatua ya 3: Chagua Shule

Baada ya kufungua ukurasa wa matokeo ya Kidato cha Pili, orodha ya shule zote itaonekana. Chagua jina la shule yako au jina la shule unayohitaji kuona matokeo yake. Baada ya kufanya uchaguzi, matokeo ya wanafunzi wote kutoka shule hiyo yataonekana. Tafuta jina lako au namba yako ya mtihani kuangalia matokeo yako. Hakikisha unahifadhi nakala ya matokeo hayo kwa matumizi ya baadaye.

Kwa kufuata hatua hizi kwa umakini, utaweza kuona matokeo ya kidato cha pili kwa urahisi na bila usumbufu. Ni muhimu kuzingatia kwamba utumiaji wa tovuti rasmi ya NECTA ni njia salama na ya kuaminika ya kupata matokeo, hivyo epuka kutegemea tovuti zisizo rasmi au ambazo hazina uaminifu.

2 Matokeo ya Kiadato cha pili (form two 2024) kwa Mikoa Yote Tanzania

Kila mkoa una orodha ya shule zake. Unaweza kutazama matokeo ya kidato cha pili kwa utaratibu wa mikoa. NECTA inatoa linki maalum inayowezesha kuangalia matokeo ya form two moja kwa moja katika Mkoa Husika.

Utaratibu huu wa kutazama matokeo unarahisisha mchakato kwa wanafunzi, wazazi, na waalimu ambao wanahitaji kupata matokeo haraka na kwa usahihi. Kwa kutumia linki zifuatazo, anaweza kuona matokeo kwa uhakika na kuwa urahisi zaidi. Tutumia Linki rasmi kutoka NECTAili kuangalia matokeo Kidato cha pili.

FORM TWO NATIONAL ASSESSMENT (FTNA) 2024 RESULTS ENQUIRIES

Unaweza pia kutumia linki hii hapa: NECTA Form Two Results 2024 link 02

ARUSHADAR ES SALAAMDODOMA
GEITAIRINGAKAGERA
KATAVIKIGOMAKILIMANJARO
LINDIMANYARAMARA
MBEYAMOROGOROMTWARA
MWANZANJOMBEPWANI
RUKWARUVUMASHINYANGA
SIMIYUSINGIDASONGWE
TABORATANGA

3 Tafsiri ya Alama na Madaraja Katika Matokeo ya Kidato cha pili 2024

NECTA imeweka mfumo maalum wa alama na madaraja ambao hutumika kupima kiwango cha ufaulu wa mwanafunzi katika kila somo. Matokeo ya mitihani ya kidato cha pili nchini Tanzania yanawasilishwa kwa mfumo wa alama, division, pointi na madaraja, ambao unasaidia kutoa tathmini ya ufaulu wa wanafunzi katika masomo yao. Mfumo huu wa upangaji wa alama ni sehemu muhimu ya kuelewa jinsi mwanafunzi alivyofanya na ni miongozo ipi inayoweza kusaidia katika kuboresha zaidi mafanikio yao ya kitaaluma.

Zifuatazo ni tafsiri za alama na madaraja katika matokeo ya kidato cha pili ya mwaka 2024.

GREDIALAMADARAJAPOINTIMAELEZO
A75-100I1-7Bora sana (Excellent):
B65-74II18-21Vizuri sana (Very Good)
C45-64III22-25Vizuri (Good)
D30-44IV26-33Inaridhisha (Satisfactory)
F0-290 (Zero)34-35Feli (Fail)

Usikose Kusoma na Hizi Pia

Chuo cha Imperial College of Health and Allied Sciences: Kozi Zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha Kisare College of Health Sciences: Kozi Zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha Manyara Institute of Health and Allied Sciences: Kozi Zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha Clinical Officers Training Centre Kigoma: Kozi zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha Litembo Health Training Institute: Kozi zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha Hisani Institute of Health and Allied Sciences: Kozi zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha Military College of Medical Sciences – Zanzibar Campus: Kozi zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha Kiuma College of Health and Allied Sciences: Kozi zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga na Chuo

Chuo cha Mizpah Health Institute – Misungwi: Kozi Zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha Makambako Institute of Health Sciences: Kozi Zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Load More
SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025/2026 (NECTA Form Six Results)

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 (Form Six Results)

July 7, 2025
Matokeo ya Kidato cha Sita Mkoa wa Shinyanga

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Mkoa wa Shinyanga

April 14, 2025

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Mkoa wa Ruvuma

April 14, 2025

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Mkoa wa Rukwa

April 14, 2025

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Arusha

April 14, 2025

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Dar es Salaam

April 14, 2025
Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

Recommended Stories

Orodha Ya Shule Za Sekondari Mkoa wa Dodoma, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

Orodha Ya Shule Za Sekondari Mkoa wa Dodoma, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

May 17, 2025
Sifa Za Kujiunga Na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Tumaini (DarTU)

Sifa Za Kujiunga Na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Tumaini (DarTU)

April 18, 2025

Chuo cha Kigamboni City College of Health and Allied Sciences: Kozi Zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

September 1, 2025
Jinsi ya Kutuma Maombi ya Ajira za Polisi Tanzania 2025

Jinsi ya Kutuma Maombi ya Ajira za Polisi Tanzania 2025

March 21, 2025
Sifa za Kujiunga na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Katoliki (CUHAS)

Sifa za Kujiunga na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Katoliki (CUHAS -bugando) kwa Mwaka wa Masomo 2025/2026

April 16, 2025
Maombi ya Udahili Chuo Kikuu cha Mbeya cha Sayansi na Teknolojia(MUST Application 2025/2026)

Maombi ya Udahili Chuo Kikuu cha Mbeya cha Sayansi na Teknolojia(MUST Application 2025/2026)

April 18, 2025

Orodha Ya Shule Za Msingi Jiji la Mwanza, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

August 30, 2025
Majina Ya Waliochaguliwa Chuo Kikuu Cha Aga Khan (AKU)

AKU Selected Applicants 2025/2026 ( Majina Ya Waliochaguliwa Chuo Kikuu Cha Aga Khan (AKU) 2025/26)

August 29, 2025

Orodha ya Shule za Msingi Wilaya ya Simanjiro, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

August 30, 2025
  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.