MAJUKUMU YA KAZI
i. Kutoa huduma za kinga na tiba;
ii. Kutambua na kutibu magonjwa;
iii. Kutoa huduma ya Afya ya msingi (Primary Health Care);
iv. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye Cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha IV ambao wamehitimu Mafunzo ya Miaka Miwili ya Tabibu (Clinical Assistants Certificate).
NGAZI YA MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi za Mishahara ya Serikali TGHS A
TUMA MAOMBI HAPA