zoteforum.com
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
zoteforum.com
No Result
View All Result

ORODHA YA WALIOITWA KAZINI KADA ZA UALIMU 2025

Zoteforum by Zoteforum
February 2, 2025
in Uncategorized

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-08-2024 na tarehe 17-01-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MUHIMU:

Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva.

UNAWEZA KUPAKUA MAJINA YA WALIOTWA KAZINI – KADA ZA UALIMU HAPO CHINI

ADVERTISEMENT

 TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA ZA WALIMU 01-02-2025

 TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA ZA WALIMU 01-02-2025

 TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA ZA WALIMU 01-02-2025

Usikose Kusoma na Hizi Pia

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025/2026 PDF: Pakua Hapa na Jinsi ya Kuangalia (CSEE Results)

Matokeo ya Kidato cha nne 2025 (Form Four Results 2025)

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025/2026: Jinsi ya Kuangalia CSEE results 2025

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 Mbeya

Matokeo ya Kidato cha nne 2025 Songwe

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 Singida

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 Simiyu

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 Shinyanga

Matokeo ya Kidato cha nne 2025 Ruvuma

Matokeo ya Kidato cha nne 2025 Rukwa

Load More
SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

Form One Selection 2026 Arusha – waliochaguliwa kidato cha kwanza Arusha

Form One Selection 2026 Morogoro – waliochaguliwa kidato cha kwanza Morogoro

Majina Ya Waliochaguliwa Chuo Kikuu Cha Mzumbe

Mzumbe Selected Applicants 2025/2026 pdf (Majina Ya Waliochaguliwa Chuo Kikuu Cha Mzumbe)

Orodha ya Shule za Msingi Wilaya ya Chato, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa, na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

Orodha Ya Shule Za Msingi Wilaya ya Kongwa, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

Orodha Ya Shule Za Msingi Mji wa Kondoa, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Mji Tarime (Mpishi na Dereva)

Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.