Zoteforum
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
Zoteforum
No Result
View All Result

NACTE yafungua Maombi ya Udahili Wa Wanafunzi Katika Mkupuo Wa Machi 2025/2026

NACTE Maombi ya Udahili Wa Wanafunzi Katika Mkupuo Wa Machi 2025/2026

Zoteforum by Zoteforum
February 8, 2025
in Elimu, NACTE

Baraza linapenda kuufahamisha umma kuwa udahili wa wanafunzi katika ngazi ya Astashahada na Stashahada kwa kozi zote utaanza tarehe 10 hadi 28 Februari, 2025. Udahili katika muhula huu wa Machi, 2025 utahusisha vyuo vilivyo na nafasi na uwezo wa kupokea wanafunzi wapya isipokuwa vya afya kwa Tanzania Bara.

Aidha, wahitimu wote wa Elimu ya Sekondari na Vyuo wenye sifa za kujiunga na kozi za Astashahada na Stashahada wanashauriwa kutuma maombi yao ya kudahiliwa moja kwa moja vyuoni. Waombaji watakaochaguliwa na vyuo watakavyoomba watawasilishwa NACTVET kwa ajili ya uhakiki kabla ya kufahamishwa kujiunga na mafunzo. Masomo kwa watakaochaguliwa na kuhakikiwa yataanza tarehe 07 Aprili, 2025.

Baraza linavishauri vyuo na taasisi zote zitakazodahili wanafunzi kwa Muhula wa Machi, 2025 kuhakikisha kuwa wanazingatia taratibu za matukio ya udahili kama zilivyo kwenye Kalenda ya Udahili (Admission Calendar) inayopatikana kwenye tovuti ya Baraza.

Pia Baraza linawashauri waombaji na wazazi kuhakikisha kuwa wanafanya maombi kwenye vyuo vilivyokidhi vigezo na kuruhusiwa kudahili katika muhula wa Machi, 2025 na vimeorodheshwa kwenye tangazo hili.

Orodha ya vyuo vilivyoruhusiwa kufanya udahili wa Machi 2025 pia inapatikana katika tovuti ya NACTVET ambayo ni www.nactvet.go.tz.

ADVERTISEMENT

IMETOLEWA NA OFISI YA KATIBU MTENDAJI NACTVET

07/02/2025

Usikose Kusoma na Hizi Pia

Matokeo ya Kidato cha Sita 2026: Jinsi ya Kuangalia NECTA ACSEE Results Online

ITA Prospectus 2026/2027 PDF: Kozi, Sifa za Kujiunga na Muundo wa Ada

MUHAS Prospectus 2026/2027 PDF: Courses, Requirements & Fee Structure

KIUT Prospectus 2026/2027 PDF: Kozi, Sifa za Kujiunga na Muundo wa Ada

SJCHAS Prospectus 2026/2027 PDF: Kozi, Sifa za Kujiunga na Muundo wa Ada

SFUCHAS Prospectus 2026/2027 PDF: Kozi, Sifa za Kujiunga na Muundo wa Ada

KCMC University Prospectus 2026/2027 PDF: Kozi, Sifa za Kujiunga na Muundo wa Ada

CUHAS Prospectus 2026/2027 PDF: Kozi, Sifa za Kujiunga na Muundo wa Ada

IFM Prospectus 2026/2027 PDF: Kozi, Sifa za Kujiunga na Muundo wa Ada

DIT Prospectus 2026/2027 PDF: Kozi, Sifa za Kujiunga na Muundo wa Ada

Load More

RATIBA YA UDAHILI KWA MKUPUO WA MACHI, 2025/2026

TAREHETUKIOWAHUSIKA
10 – 28 Februari, 2025Kufungua udahili wa mkupuo wa Machi 2025NACTVET,
01 – 07 Machi, 2025Kupokea maombi ya wanafunziVyuo
06- 22 Machi, 2025Kuwasilisha majina ya waombaji waliochaguliwa NACTVET kwa ajili ya uhakikiVyuo
23 – 29 Machi, 2025Uhakiki wa waombaji waliochaguliwaNACTVET
31 Machi, 2025Majibu ya UhakikiNACTVET
07 – 25 Aprili, 2025Usajili wa wanafunzi na Masomo kuanzaVyuo

SOMA TANGAZO RASMI HAPA: UDAHILI WA WANAFUNZI MKUPUO WA MACHI 2025/2026

SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

Matokeo ya Kidato cha Sita 2026: Jinsi ya Kuangalia NECTA ACSEE Results Online

Matokeo ya Kidato cha Sita 2026: Jinsi ya Kuangalia NECTA ACSEE Results Online

Sifa Za Kujiunga Na Chuo Kikuu Cha Institute of Tax Administration (ITA) 2025/2026

ITA Prospectus 2026/2027 PDF: Kozi, Sifa za Kujiunga na Muundo wa Ada

MUHAS Prospectus 2026/2027 PDF: Courses, Requirements & Fee Structure

KIUT Prospectus 2026/2027 PDF: Kozi, Sifa za Kujiunga na Muundo wa Ada

SJCHAS Prospectus 2026/2027 PDF: Kozi, Sifa za Kujiunga na Muundo wa Ada

SFUCHAS Prospectus 2026/2027 PDF: Kozi, Sifa za Kujiunga na Muundo wa Ada

Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.