Zoteforum
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
Zoteforum
No Result
View All Result

From Five Selection 2026 Dar es Salaam – Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2026 Dar es Salaam

Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2025 Dar es Salaam - Selection Form Five 2025 Dar es Salaam

Zoteforum by Zoteforum
April 22, 2026
in selections, Form five

Uchaguzi wa wanafunzi wanaojiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati kwa mwaka 2026 katika mkoa wa Dar es Salaam ni tukio muhimu kwa wanafunzi na wazazi. Ni wakati ambao wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne mwaka 2025 wanapata nafasi ya kuendeleza safari yao ya elimu. Mkoa wa Dar es Salaam, ulio miongoni mwa mikoa maarufu Tanzania, unajivunia maendeleo ya kibiashara na kijamii. Dar es Salaam ni kituo kikubwa cha kibiashara na mji wenye mchango mkubwa kwenye uchumi wa taifa.

Mchakato wa uchaguzi wa wanafunzi wa kidato cha Tano ulijumuisha wahitimu wa Kidato cha Nne kubadili machaguo ya Tahasusi za Kidato cha Tano na Kozi za Vyuo kupitia Mfumo wa Uchaguzi wa Wanafunzi (Student Selection MIS). Mfumo huu umerahisisha uchaguzi kwa wanafunzi kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Serikali, huku ukitoa nafasi ya kufanya mabadiliko kwenye machaguo yao kabla ya kutangazwa kwa majina ya waliochaguliwa.

Jinsi ya Kuangalia Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Na Vyuo Vya Kati, Mkoa wa Dar es Salaam

Kwa kawaida, orodha ya wanafunzi waliochaguliwa pamoja na fomu za kujiunga na Kidato cha Tano, Vyuo vya Elimu ya Ufundi mwaka 2026 inapatikana kwenye tovuti ya Ofisi ya Rais – TAMISEMI kupitia www.tamisemi.go.tz na Baraza la Taifa la Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi(NACTVET) www.nactvet.go.tz. Mfumo wa Uchaguzi wa Wanafunzi (Student Selection MIS) pia unapatikana kupitia kiunganishi cha selform.tamisemi.go.tz.

Zifuatazo ni Hatua kwa hatua  Jinsi ya kuangalia majina hayo:

ADVERTISEMENT
  1. Tembelea Tovuti Rasmi: Fungua tovuti ya TAMISEMI ukitumia kivinjari chako.
  2. Bofya kwenye kiungo cha “UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2026”.
  3. Fungua Linki ya Form Five First Selection 2026: Chagua kiunganishi kinachohusiana na chaguzi za mwaka 2026.
  4. Chagua Mkoa: Kutoka kwenye orodha ya mikoa, chagua “Dar es Salaam”.
  5. Chagua Halmashauri: Baada ya kuchagua mkoa, endelea kwa kuchagua halmashauri husika.
  6. Chagua Shule Uliyosoma: Teua shule ambapo ulisoma Kidato cha Nne.
  7. Pata Orodha ya Wanafunzi: Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa itajitokeza pamoja na maelekezo ya kujiunga.

Uchaguzi Wa Wanafunzi Wa Kujiunga Na Kidato Cha Tano Na Vyuo Vya Elimu Ya Ufundi 2026 Dar es Salaam – Halmashauri zote

Uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Elimu ya Ufundi kwa mwaka 2026 unapangiliwa kiwilaya katika mkoa wa Dar es Salaam. Hivyo, ni wanafunzi wanaweza kuangalia moja kwa moja kupitia Halmashauri husika ili kupata matokeo sahihi na kwa urahisi zaidi. Hapa chini ni jedwali linaloonyesha wilaya zinazopatikana Dar es Salaam:

Usikose Kusoma na Hizi Pia

Form Five Selection 2026 Pwani – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Pwani

Form Five Selection 2026 Mwanza – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Mwanza

Form Five Selection 2026 Morogoro – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Morogoro

Form Five Selection 2026 Mara – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Mara

Form Five Selection 2026 Kigoma – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Kigoma

Form Five Selection 2025 Kilimanjaro – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025 Kilimanjaro

Form Five Selection 2026 Lindi – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 mkoa wa Lindi

Form Five Selection 2026 Manyara – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Manyara

Form Five Selection 2026 Mbeya – Waliochaguliwa kidato cha tano 2026 Mbeya

Form Five Selection 2026 Mtwara – Waliochaguliwa kidato cha tano 2026 Mtwara

Load More

Kwa kubofya kiungo husika cha wilaya unayopendelea, utaweza kuona matokeo ya uchaguzi moja kwa moja.

CHAGUA HALMASHAURI

ILALA MCKIGAMBONI MCKINONDONI MC
TEMEKE MCUBUNGO MC

Jinsi Ya Kupata Maelekezo Ya Kujiunga Na Kidato Cha Tano Na Vyuo Vya Elimu Ya Ufundi 2026 Dar es Salaam

Wanafunzi walioteuliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Elimu ya Ufundi mwaka 2026 katika Dar es Salaam wanaweza kupata maelekezo ya kujiunga kwa urahisi.

Baada ya kuFungua Tovuti ya TAMISEMI:  www.tamisemi.go.tz  na kuapata Kufahama kama umechaguliwa Kujiunga Na Kidato Cha Tano Na Vyuo Vya Elimu Ya Ufundi.

Unatakiwa kuBofya linki ya Jina la Shule/Chuo ili kupakua maelekezo ya kujiunga.

SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

From Five Selection 2025

Form Five Selection 2026 Pwani – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Pwani

From Five Selection 2025

Form Five Selection 2026 Mwanza – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Mwanza

Form Five Selection 2026 Morogoro – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Morogoro

Form Five Selection 2026 Mara – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Mara

Form Five Selection 2026 Kigoma – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Kigoma

Form Five Selection 2025 Kilimanjaro – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025 Kilimanjaro

Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.