zoteforum.com
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
zoteforum.com
No Result
View All Result

Nafasi za Kazi / ajira Jeshi la Zimamoto 2025

Zoteforum by Zoteforum
February 13, 2025
in Uncategorized

TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA – Jeshi la Zimamoto

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa mamlaka aliyopewa Kwa mujibu wa kifungu cha 14(4) cha Sheria ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Sura ya 427, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 5(1) ya kanuni za Utumishi za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji za mwaka 2008 anatangaza nafasi za ajira ngazi ya Konstebo wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa vijana wenye sifa zifuatazo: –

1.           Wenye elimu ya kidato cha Nne Sita za mwombaji.

  1. Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa
    1. Awe na cheti cha kuzaliwa
    1. Awe na Kitambulisho cha Taifa au Namba ya Utambulisho iliyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho (NIDA)
    1. Awe na afya njema kimwili na kiakili
    1. Asiwe na Kumbukumbu za Uhalifu
    1. Awe hajaoa au kuolewa
    1. Asiwe na alama za kuchorwa mwilini (Tatoos)
    1. Awe hajawahi kutumia aina yoyote ya madawa ya kulevya
    1. Awe tayari kuhudhuria mafunzo ya taaluma ya Zimamoto na Uokoaji
    1. Awe hajawahi kuajiriwa serikalini
    1. Awe mwenye urefu usiopungua futi 5.7 kwa mwanaume na futi 5.4

kwa mwanamke

  1. Awe tayari kujigharamia katika hatua zote za usaili endapo ataitwa

m) Umri kuanzia miaka 18 hadi 25

  • Wenye elimu ya kidato cha nne au sita ambao wana ujuzi wa udereva wa magari makubwa, Utundi bomba, Uuguzi, taaluma ya Zimamoto na Uokoaji, Utabibu na Urubani wa Helikopta.

Sita za mwombaji.

  1. Sifa zote zilizoainishwakwenye Aya ya 1 (a hadi m)
    1. Marubani wa Helikopta umri kuanzia miaka 18 hadi 35
    1. Madereva, awe na leseni daraja E na umri kuanzia miaka 18 hadi 28 (watakaoitwa kwenye Usaili watafanyiwa uhakiki kwa njia ya vitendo, kuendesha magari makubwa)

3.    Wenye Shahada.

Uhandisi Bahari (Marine engineering), TEHAMA, Uhandisi wa Ndege (Aircraft maintenance engineers), Lugha (Kingereza), Ukadiriaji Majenzi (QS), Teknolojia ya habari (Multi-media technology), Uchumi, Sheria (waliohitimu shule ya sheria kwa vitendo), Ualimu (Education management), Usafirishaji Barabara na Reli (Road & railways transport logistics management) na Uhandisi Kemikali (Chemical processing engineering).

ADVERTISEMENT

Sita za mwombaji.

  1. Sifa zote zilizoainishwa kwenye Aya ya 1 (a hadi I)
    1. Umri kuanzia miaka 18 hadi 28

4.              Namna ya kufanya maombi.

Maombi yote yawasilishwe kupitia mfumo wa ajira wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji unaopatikana  kupitia  kikoa  cha  ajira.zimamoto.go.tz mwisho  wa kutuma  maombi  ni tarehe 28 Februari, 2025.

Mwombaji aambatishe kwenye mfumo nyaraka zifuatazo: –

Usikose Kusoma na Hizi Pia

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025/2026 PDF: Pakua Hapa na Jinsi ya Kuangalia (CSEE Results)

Matokeo ya Kidato cha nne 2025 (Form Four Results 2025)

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025/2026: Jinsi ya Kuangalia CSEE results 2025

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 Mbeya

Matokeo ya Kidato cha nne 2025 Songwe

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 Singida

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 Simiyu

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 Shinyanga

Matokeo ya Kidato cha nne 2025 Ruvuma

Matokeo ya Kidato cha nne 2025 Rukwa

Load More
  1. Barua ya maombi iliyoandikwa kwa mkono
    1. Nakaia ya cheti cha kuzaliwa
    1. Fomu ya uthibitisho wa siha njema kutoka kwa mganga wa serikali
    1. Nakala ya Kitambulisho cha Taifa au namba ya NIDA
    1. Picha ya Pasipoti ya hivi karibuni
    1. Namba ya mtihani wa Kidato cha Nne
  • Namba ya mtihani wa Kidato cha Sita
    • Nakala   ya   vyeti   vya   kuhitimu   elimu ya shahada  au taaluma kutoka vyuo

vinavyotambulika na Serikali

  1. Barua ya Utambulisho kutoka kwa Afisa mt€ nda ji wa Kijiji/mtaa

NB:

  1. Nakala za vyeti zithibitishwe na Kamishna wa viapo au Hak.imu
  2. Barua   zitakaz.owasilishwa  kwa  njia    ya posta, mkono au kwa barua pepe

hazitapokelewa

  • Waombaji wote waandike namba za simu kwenye barua zao za maombi
  • Mwombaji atakayewasilisha nyaraka za kughushi au taarifa za uwongo atachukuliwa hatua za kisheria.

       

DOWNLOAD TANGAZO LA AJIRA PDF

SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

Form One Selection 2026 Arusha – waliochaguliwa kidato cha kwanza Arusha

Form One Selection 2026 Morogoro – waliochaguliwa kidato cha kwanza Morogoro

Majina Ya Waliochaguliwa Chuo Kikuu Cha Mzumbe

Mzumbe Selected Applicants 2025/2026 pdf (Majina Ya Waliochaguliwa Chuo Kikuu Cha Mzumbe)

Orodha ya Shule za Msingi Wilaya ya Chato, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa, na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

Orodha Ya Shule Za Msingi Wilaya ya Kongwa, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

Orodha Ya Shule Za Msingi Mji wa Kondoa, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Mji Tarime (Mpishi na Dereva)

Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.