Zoteforum
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
Zoteforum
No Result
View All Result

NACTVET Matokeo ya Uhakiki wa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo kwa intake ya Machi 2025/2026

Zoteforum by Zoteforum
April 3, 2025
in NACTE, selections

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linautaarifu umma kuwa matokeo ya uhakiki wa waombaji waliochaguliwa kujiunga na masomo kwa mkupuo wa Machi, 2025 katika ngazi ya Astashahada na Stashahada yametoka rasmi tarehe 2 Aprili, 2025.

Jumla ya waombaji 10,684 kati yao wanawake 5,325 (49.8%) na wanaume 5,359 (50.2%) waliwasilishwa kwa ajili ya uhakiki kutoka katika vyuo vilivyokidhi vigezo vya kudahili katika mkupuo huu. Kati yao, waombaji 10,419 (98%) (Wanawake 5,197 na Wanaume 5,222), walikuwa na sifa za kujiunga na programu walizoomba, na waombaji 265 (2%) hawakuwa na sifa katika programu walizoomba.

JINSI YA KUANGALIA MATOKEO YA UHAKIKI WA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KATIKA MKUPUO WA MACHI 2025/2026

Waombaji wote walioomba kujiunga katika programu mbalimbali wanaweza kupata taarifa zao za uhakiki kwa kutumia misimbo iliyotumwa kwenye namba zao simu kwa kubonyeza kitufe cha“Angalia Hali ya Uhakiki wa muhula wa Machi 2025/2026” au kwa kubonyeza kitufe “Uhakiki mkupuo wa Machi, 2025/2026” katika tovuti ya Baraza www.nactvet.go.tz. Baraza linawasisitiza waombaji wote kutunza misimbo watakayotumiwa kwani ndio itatumika katika udahili mara wafikapo chuoni.

Baraza linavielekeza vyuo kuwasajili wanafunzi wenye sifa na watakaowasili vyuoni kwa ajili ya kuanza masomo kuanzia tarehe 7 Aprili, 2025; na kwa kutumia misimbo itakayotumwa na Baraza kwenye namba za simu za waombaji. Hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya chuo kitakachokiuka taratibu za udahili.

Aidha, vyuo vimepewa nafasi ya kurekebisha na kuwasilisha taarifa za waombaji ambazo hazikuwa sahihi kuanzia leo tarehe 3 hadi 7 Aprili, 2025.

ADVERTISEMENT

Download tangazo rasmi la Matokeo Ya Uhakiki Wa Wanafunzi Waliochaguliwa Katika Mkupuo Wa Machi 2025/2026 kutoka NACTE

Usikose Kusoma na Hizi Pia

Matokeo ya Kidato cha Sita 2026: Jinsi ya Kuangalia NECTA ACSEE Results Online

ITA Prospectus 2026/2027 PDF: Kozi, Sifa za Kujiunga na Muundo wa Ada

MUHAS Prospectus 2026/2027 PDF: Courses, Requirements & Fee Structure

KIUT Prospectus 2026/2027 PDF: Kozi, Sifa za Kujiunga na Muundo wa Ada

SJCHAS Prospectus 2026/2027 PDF: Kozi, Sifa za Kujiunga na Muundo wa Ada

SFUCHAS Prospectus 2026/2027 PDF: Kozi, Sifa za Kujiunga na Muundo wa Ada

KCMC University Prospectus 2026/2027 PDF: Kozi, Sifa za Kujiunga na Muundo wa Ada

CUHAS Prospectus 2026/2027 PDF: Kozi, Sifa za Kujiunga na Muundo wa Ada

IFM Prospectus 2026/2027 PDF: Kozi, Sifa za Kujiunga na Muundo wa Ada

DIT Prospectus 2026/2027 PDF: Kozi, Sifa za Kujiunga na Muundo wa Ada

Load More
SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

From Five Selection 2025

From Five Selection 2026 Dodoma – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Dodoma

From Five Selection 2025

From Five Selection 2026 Arusha – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Arusha

Form Five Selection 2026 Geita – Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2026 Geita

Form Five Selection 2026 Shinyanga – Waliochaguliwa kidato cha tano 2026 Shinyanga

Form Five Selection 2026 Iringa – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Iringa

Form Five Selection 2026 Songwe – Waliochaguliwa kidato cha tano 2026 Songwe

Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.