Table of Contents
Chuo Kikuu cha Arusha (University of Arusha – UoA) ni taasisi ya elimu ya juu inayojulikana kwa kutoa elimu bora na yenye maadili. Kikiwa karibu na Hifadhi ya Taifa ya Arusha, chuo hiki kinajivunia mazingira ya kimataifa yenye mchanganyiko wa tamaduni, lugha, na utaifa mbalimbali. Ikiwa unatafuta fursa ya kujiendeleza kielimu katika mazingira haya, ni muhimu kufahamu kozi zinazotolewa na ada zinazohusika.
Kozi Zinazotolewa na Chuo Kikuu cha Arusha (UoA)
Chuo Kikuu cha Arusha kinatoa programu mbalimbali katika ngazi za cheti, diploma, shahada ya kwanza, uzamili, na uzamivu. Hapa chini ni orodha ya baadhi ya programu zinazotolewa pamoja na ada zake:
S/N | Programme | Award Level | Duration in Months |
1 | Postgraduate Diploma in Education | Postgraduate Diploma | 12 |
2 | Bachelor of Arts in Theology | Bachelor | 36 |
3 | Bachelor of Arts in Religion | Bachelor | 36 |
4 | Bachelor of Business Administration in Accounting | Bachelor | 36 |
5 | Bachelors of Arts with Education (Geography, English& Kiswahili) | Bachelor | 36 |
Ada za Masomo kwa Kozi Zinazotolewa na Chuo Kikuu cha Arusha (UoA)
FEE STRUCTURE FOR ACADEMIC YEAR 2025/ 2026
NON-MEDICAL PROGRAMMES
ITEM OF FEE Compulsory | FIRST SEMESTER | SECOND SEMESTER | TOTAL TZS | TOTAL USD |
Tuition fee for undergraduate programs | 747,500.00 | 747,500.00 | 1,495,000.00 | 1,000.00 |
Tuition fee for Diploma programs | 400,000.00 | 400,000.00 | 800,000.00 | 500.00 |
Tuition fee for Certificate programs | 350,000.00 | 350,000.00 | 700,000.00 | 400.00 |
Non-Tuition fees Compulsory | ||||
Registration | 30,000.00 | 30,000.00 | 60,000.00 | 60.00 |
Examination | 30,000.00 | 30,000.00 | 60,000.00 | 60.00 |
Identity card | 20,000.00 | 00.00 | 20,000.00 | 20.00 |
Student Association | 10,000.00 | 10,000.00 | 20,000.00 | 20.00 |
TCU Quality Assurance | 20,000.00 | 00.00 | 20,000.00 | 20.00 |
Caution (Non Refundable)-For First Year Student | 20,000.00 | 00.00 | 20,000.00 | 20.00 |
Computer Lab.& ICT Facilitation Fee | 25,000.00 | 25,000.00 | 50,000.00 | 50.00 |
Library Fee | 10,000.00 | 10,000.00 | 20,000.00 | 20.00 |
Development Fee for New Students | 20,000.00 | 00.00 | 20,000.00 | 20.00 |
Deposits International (EA)-USD*Once and non-refundable | 00.00 | 00.00 | 00.00 | 250.00 |
Deposits International (Non EA)-USD*Once and non-refundable | 00.00 | 00.00 | 00.00 | 500.00 |
Medical Insurance (NHIF) | 50,400.00 | 00.00 | 50,400.00 | 50.00 |
Sub-Total | 235,400.00 | 105,000.00 | 340,400.00 | 1,840.00 |
Field Practical/Teaching practice | ||||
Paid each year for Theology and Education students, except for Business study students who pay once in second year. | 00.00 | 120,000.00 | 120,000.00 | 100.00 |
Grand-Total for undergraduate programs | 982,900.00 | 972,500.00 | 1,955,400.00 | 1,940.00 |
Grand-Total for Diploma programs | 635,400.00 | 625,000.00 | 1,260,400.00 | 2,440.00 |
Grand-Total for Certificate programs | 585,400.00 | 575,000.00 | 1,160,000.00 | 2,340.00 |
OTHER FEES
Books and Stationery | TZS. 200,000.00 for sponsored students |
Accommodation for Two semesters | TZS. 200,000.00 |
Late registration (First day) | TZS. 15,000.00 (10% increase after the first day) |
Provisional results | TZS. 10,000.00 |
Meals (If paid to University per year) | TZS. 1,620,000.00 |
Special examination per course | TZS. 25,000.00 |
Supplementary per course | TZS. 30,000.00 |
Repeating per course | TZS. 150,000.00 |
Graduation fee | TZS. 100,000.00 |
Gown fee (7 days provision) | TZS. 30,000.00 |
Late return of gown | TZS. 10,000.00 |
Damaged gown | TZS. 150,000.00 |
Damaged/Stolen ID | TZS.50, 000.00 |
Late certificate collection per month (1 year provision) | TZS. 20.000.00 |
Certificate delivery (within Tanzania) | TZS. 100,000.00 |
Certificate delivery (outside Tanzania) | $ 100.00 |
Transcript duplicate | TZS. 100,000.00 |
Certificate duplicate | TZS. 150,000.00 |
UNIVERSITY’S BANK ACCOUNTS
CRDB (TZS) NBC (USD)
Name: University of Arusha Name: University of Arusha
Account Number: 01J1098742000 Account Number: 014105007600
Branch: Usa-River Branch: Arusha
Swift Code: CORUTZTZ Swift Code: NLCBTZTX
Ada hizi zinaweza kubadilika. Kwa maelezo zaidi, tembelea tovuti rasmi ya Chuo Kikuu cha Arusha kupata taarifa za hivi karibuni.
1 Fursa za Ufadhili na Mikopo katika Chuo Cha University of Arusha
Chuo Kikuu cha Arusha kinatoa huduma mbalimbali kwa wanafunzi wake, ikiwa ni pamoja na programu ya kazi kwa wanafunzi (Student Work Program – SWP) ambayo inawasaidia wanafunzi wenye uhitaji kumudu gharama za masomo yao. Pia, chuo kinatoa huduma za ushauri nasaha na huduma za kichungaji kwa wanafunzi.
Kwa wanafunzi wanaohitaji mikopo ya elimu ya juu, wanaweza kuomba kupitia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB). Maombi ya mikopo hufanyika mtandaoni kupitia tovuti rasmi ya HESLB. Ni muhimu kufuata taratibu na vigezo vilivyowekwa na bodi hiyo ili kufanikisha maombi yako.
Chuo Kikuu cha Arusha kunakupa fursa ya kupata elimu bora katika mazingira ya kimataifa yenye mchanganyiko wa tamaduni mbalimbali. Chuo hiki kinatoa programu mbalimbali zinazokidhi mahitaji ya soko la ajira, na pia kinatoa fursa za ufadhili na mikopo kwa wanafunzi wenye uhitaji. Kwa maelezo zaidi na kupata fomu za maombi, tembelea tovuti rasmi ya Chuo Kikuu cha Arusha