zoteforum.com
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
zoteforum.com
No Result
View All Result

NACTVET yatangaza matokeo ya uchaguzi wa waombaji wa kozi za  afya na sayansi shirikishi kwa mwaka wa masomo 2025/2026

Zoteforum by Zoteforum
July 27, 2025
in NACTE, Elimu

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) Limetangaza matokeo ya uchaguzi wa awamu ya kwanza kwa waombaji wa programu za Afya na Sayansi Shirikishi kwa mwaka wa masomo 2025/2026 .

Baraza liliratibu udahili wa wanafunzi katika kozi mbalimbali za afya na sayansi shirikishi kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Jumla ya waombaji 33,986 waliwasilisha maombi yao kupitia CAS. Jumla ya waombaji 27,785 walikamilisha maombi yao kwa kuchagua vyuo/programu walizozipenda. Jumla ya waombaji 25,515 walikuwa na sifa kwenye programu walizoomba na jumla ya waombaji 2,270 hawakuwa na sifa kwenye programu walizoomba.

Jumla ya waombaji 21,565 wamechaguliwa kujiunga kwenye vyuo vinavyotoa programu mbalimbali za Afya na Sayansi Shirikishi ambapo wanawake ni 11,013 (51%) na wanaume 10,552 (49%). Waombaji 4,733 walichaguliwa kwenye vyuo vya serikali na waombaji 16,832 katika vyuo visivyo vya serikali.

Aidha, waombaji wenye sifa ambao hawakuchaguliwa kutokana na ushindani katika programu na vyuo walivyoomba, wanashauriwa kuomba kujiunga katika vyuo vyenye nafasi katika dirisha la awamu ya pili kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja.

Waombaji wote wanaweza kuangalia matokeo ya uchaguzi kupitia tovuti ya Baraza (www.nactvet.go.tz) kwa kubonyeza CAS Selection 2025 kwa ajili ya kupata taarifa zaidi.

Baraza linautaarifu umma kuwa dirisha la awamu ya pili limefunguliwa rasmi leo tarehe 25/07/2025 hadi tarehe 24/08/2025 na matokeo ya uchaguzi yatatolewa tarehe 01/09/2025.

Aidha, wale wanaohitaji kubadilisha programu au chuo, dirisha la uhamisho litakuwa wazi kuanzia tarehe 25/07/2025 hadi tarehe 24/08/2025, hivyo watumie dirisha hili kukamilisha maombi hayo kupitia tovuti ya Baraza kwa kubonyeza kwenye akaunti yake aliyotumia kuomba na kuchaguliwa.

Usikose Kusoma na Hizi Pia

No Content Available
Load More
Buy JNews Buy JNews Buy JNews
ADVERTISEMENT

IMETOLEWA NA: OFISI YA KATIBU MTENDAJI BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI (NACTVET)

MATOKEO YA UCHAGUZI WA UDAHILI KUPITIA MFUMO WA UDAHILI WA PAMOJA (CAS) KWA KOZI ZA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026

SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

Mwongozo wa Udahili wa TCU 2025/26 (TCU Guidebook 2025/2026 pdf)

Mwongozo wa Udahili wa TCU 2025/26 (TCU Guidebook 2025/2026 pdf)

July 27, 2025
Matokeo ya Kidato cha Sita 2025/2026 (NECTA Form Six Results)

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 (Form Six Results)

July 7, 2025

Chuo cha Excellent College of Health and Allied Sciences – Kibaha: Kozi zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga na Chuo

July 5, 2025

Chuo cha Elijerry College of Health and Allied Sciences: Kozi zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

July 5, 2025

Chuo cha City College of Health and Allied Sciences – Mwanza Campus: Kozi, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

June 10, 2025

Chuo cha Arusha Technical College: Kozi Zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

June 10, 2025
Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

Recommended Stories

NECTA Form Six Results Manyara Region

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Manyara (NECTA Form Six Results Manyara Region)

April 13, 2025
Zifahamu Shule Zote za Sekondari Zilizopo Katika Wilaya Ya Tarime

Orodha Ya Shule Za Sekondari Wilaya Ya Tarime

May 7, 2025
Nafasi ya kazi benki ya DCB

Nafasi ya kazi benki ya DCB (Meneja wa Mkakati na Utendaji)

April 22, 2025
ugonjwa wa Asidi Reflux

Dalili za ugonjwa wa Asidi Reflux, Sababu na Tiba

April 27, 2025
Fahamu ugonjwa wa degedege, Sababu, Dalili zake na Tiba

Dalili za ugonjwa wa degedege, Sababu na Tiba

April 27, 2025
Orodha Ya Shule Za Sekondari Wilaya Ya Monduli, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

Orodha Ya Shule Za Sekondari Wilaya Ya Monduli, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

May 4, 2025
Orodha Ya Shule Za Sekondari Wilaya Ya Korogwe, Matokeo, Majina Ya Waliochaguliwa Na Utaratibu Wa Kujiunga Na Masomo

Orodha Ya Shule Za Sekondari Wilaya Ya Korogwe, Matokeo, Majina Ya Waliochaguliwa Na Utaratibu Wa Kujiunga Na Masomo

May 13, 2025
Sifa Za Kujiunga Na Chuo Kikuu Cha Mwanza (MzU) 2025/2026

Sifa Za Kujiunga Na Chuo Kikuu Cha Mwanza (MzU) 2025/2026

April 17, 2025
Orodha Ya Shule Za Sekondari Manispaa ya Mtwara Mikindani, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

Orodha Ya Shule Za Sekondari Manispaa ya Mtwara Mikindani, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

May 11, 2025
  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.