zoteforum.com
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
zoteforum.com
No Result
View All Result

Matokeo ya Darasa la Saba 2024 Tanga

Zoteforum by Zoteforum
October 29, 2024
in NECTA Matokeo

Table of Contents

  • 1. Matokeo ya Darasa la Saba Tanga 2024
  • 2. Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya la saba 2024 Mkoa wa Tanga Kupitia Tovuti ya NECTA
  • 3. Matokeo ya Darasa la Saba Wilaya zote za Mkoa wa Tanga

1 Matokeo ya Darasa la Saba Tanga 2024

Mkoa wa Tanga unapatikana kaskazini mashariki mwa Tanzania, unajulikana kwa mandhari yake ya kuvutia na historia ya kipekee. Kwa upande wa elimu, mkoa huu umejipanga kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata elimu bora itakayowawezesha kufanikiwa katika masiha yao. Matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2024 yanasubiriwa kwa hamu na wanafunzi, wazazi, na wadau wa elimu katika mkoa wa Tanga. Katika Makala hii utafahamu hatua kwa hatu jinsi ya kuangalia matokeo ya darasa la saba 2024 kwa urahisi katika mkoa wa Tanga.

2 Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya la saba 2024 Mkoa wa Tanga Kupitia Tovuti ya NECTA

Ili kupata matokeo ya darasa la saba ya wanafunzi wa mkoa wa Tanga kupitia tovuti rasmi ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), unaweza kufuata hatua zifuatazo:

  • Fungua kivinjari cha intaneti kwenye simu yako au kompyuta.
  • Tembelea tovuti ya NECTA ukitumia kiungo: http://www.necta.go.tz.
  • Baada ya kuingia kwenye Tovuti ya NECTA, nenda kwenye sehemu iliyoandikwa “News” au Habari.
  • Bonyeza linki iliyoandikwa “Matokeo ya Darasa la Saba 2024”, itakupeleka kwenye ukurasa wa kuangalia matokeo ya darasa la saba
  • Tafuta mkoa wa Tanga na bonyeza kwenye linki yake
  • Ukurasa wa matokeo katika mkoa wa Tanga utafunguka, Tafuta wilaya unayotaka kuangalia matokeo na kisha bonyeza linki ya wilaya hiyo kupata matokeo.
  • Tafuta jina la shule ili kupata matokeo ya shule husika.
  • Tafuta jina la mwanafunzi ili kuangalia matokeo ya mwanafunzi.
  • Matokeo yatatokea moja kwa moja kwenye skrini yako, ambapo unaweza kuyahifadhi au kuyachapisha kwa ajili ya kumbukumbu.

3 Matokeo ya Darasa la Saba Wilaya zote za Mkoa wa Tanga

Mkoa wa Tanga unajumuisha wilaya kama Tanga Jiji, Muheza, Korogwe, Lushoto, Handeni, Kilindi, Mkinga, na Pangani, ambazo zina jukumu muhimu katika utoaji wa elimu bora kwa wanafunzi.

 Kila wilaya imejenga msingi imara kwa kuimarisha miundombinu ya shule na kutoa mafunzo endelevu kwa walimu, hali inayoongeza ufanisi wa elimu.

Ni muhimu kwa wazazi na walezi kuendelea kuwatia moyo wanafunzi katika kipindi hiki muhimu wanapojiandaa kuingia shule za sekondari. Matokeo ya darasa la saba ni mwanzo wa hatua mpya ya kijana katika safari yake ya kielimu, na yanachangia sana katika kujenga msingi kwa maisha yajayo.

PSLE-2024 EXAMINATION RESULTS, MKOA WA TANGA


BUMBULIHANDENIHANDENI TC
KILINDIKOROGWEKOROGWE TC
LUSHOTOMKINGAMUHEZA
PANGANITANGA CC

Matarajio ni kwamba wanafunzi wa Tanga wataendelea kufanya vizuri, wakionyesha mafanikio katika elimu ambayo huleta heshima na maendeleo kwa mkoa wao kupitia jitihada zao za kitaaluma.

Buy JNews Buy JNews Buy JNews
ADVERTISEMENT

Usikose Kusoma na Hizi Pia

Matokeo ya Darasa la Saba 2024 Zanzibar (ZEC Standard Seven 2024 results)

Matokeo ya Darasa la Saba 2024 Kigoma

Matokeo ya Darasa la Saba 2024 Lindi

Matokeo ya Darasa la Saba 2024 Manyara

Matokeo ya Darasa la Saba 2024 Mara

Matokeo ya Darasa la Saba 2024 Mbeya

Matokeo ya Darasa la Saba 2024 Mtwara

Matokeo ya Darasa la Saba 2024 Tabora

Matokeo ya Darasa la Saba 2024 Songwe

Matokeo ya Darasa la Saba Singida 2024

Load More
SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025/2026 (NECTA Form Six Results)

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 (Form Six Results)

July 7, 2025
Matokeo ya Kidato cha Sita Mkoa wa Shinyanga

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Mkoa wa Shinyanga

April 14, 2025

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Mkoa wa Ruvuma

April 14, 2025

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Mkoa wa Rukwa

April 14, 2025

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Arusha

April 14, 2025

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Dar es Salaam

April 14, 2025
Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

Recommended Stories

NAFASI ZA KAZI 6 – Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

NAFASI YA KAZI AFISA TEHAMA II (PROGRAMMER) – 15 POST – MDAs & LGAs

January 9, 2025
Zifahamu shule zote za Sekondari zilizopo katika Wilaya Ya Nyang'hwale

Orodha Ya Shule Za Sekondari Wilaya Ya Nyang’hwale

May 4, 2025
Nafasi za kazi YAS Tanzania – JULAI 2025

Nafasi za kazi YAS Tanzania – JULAI 2025

July 27, 2025
Yemi Alade – Happy Day Mp3 download

Yemi Alade – Happy Day Mp3 download

February 1, 2025
NAFASI ZA KAZI 6 – Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MALINYI 24-07-2025

July 27, 2025
Matokeo ya Kidato cha nne 2024

Matokeo ya Kidato cha Nne 2024 Katavi

January 22, 2025
Zifahamu Shule Zote za Sekondari Zilizopo Katika Wilaya Ya Kalambo, Matokeo ya NECTA na Mock, Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza na cha Tano, na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo Katika Shule Hizo

Orodha Ya Shule Za Sekondari Wilaya Ya Kalambo, Matokeo, Majina Ya Waliochaguliwa, na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

May 11, 2025
Zifahamu Shule Zote za Sekondari Zilizopo Katika Wilaya ya Maswa, Matokeo ya NECTA na Mock, Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza na cha Tano, na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo Katika Shule Hizo

Orodha Ya Shule Za Sekondari Wilaya Ya Maswa, Matokeo, Majina Ya Waliochaguliwa, na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

May 13, 2025
Matokeo ya Darasa la Saba 2024 Geita

Matokeo ya Darasa la Saba 2024 Geita

October 29, 2024
  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.