Table of Contents
Mwaka 2025 unakaribia na wanafunzi wengi waliohitimu darasa la saba wanatarajia kujiunga na kidato cha kwanza. Katika mkoa wa Morogoro, kama ilivyo kwa mikoa mingine nchini Tanzania, uchaguzi wa wanafunzi wa kidato cha kwanza ni tukio muhimu kwa wazazi na wanafunzi. Uchaguzi huu unafanywa na TAMISEMI kwa kuzingatia alama za wanafunzi katika mtihani wa darasa la saba. Katika makala hii, tutakupa mwongozo wa jinsi ya kuangalia majina ya waliochaguliwa na kupata maelekezo ya kujiunga na shule walizopangiwa.
Jinsi ya kuangalia Uchaguzi Wa Wanafunzi Wa Kidato Cha Kwanza, 2025 Mkoa wa Morogoro
Kuangalia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza katika mkoa wa Morogoro mwaka 2025 ni rahisi. Fuata hatua hizi ili kupata matokeo:
- Tembelea tovuti rasmi ya TAMISEMI (www.tamisemi.go.tz).
- Nenda kwenye sehemu ya “Matangazo”.
- Bonyeza tangazo linalosema “UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025”, ukurasa mpya utafunguaka na kisha chagua mkoa wa Morogoro.
- Chagua Halmashauri
- Chagua Shule Uliyosoma
- Tafuta jina la mwanafunzi katika orodha iliyotolewa.
Jinsi ya kuangalia Majina ya waliochaguliwa kidato cha kwanza Kwa wilaya zote za mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro una wilaya kadhaa kama vile Gairo Dc, Ifakara Tc, Kilosa Dc, Malinyi Dc, Mlimba Dc Morogoro Dc, Morogoro Mc Mvomero Dc, Ulanga Dc. Ili kuangalia uchaguzi wa kidato cha kwanza kwa wilaya husika, unaweza kutumia linki hizi:
1 Jinsi ya kupakua Maelekezo Ya Kujiunga Na Kidato Cha Kwanza 2025 Morogoro
Baada ya fahamu shule ambayo mwanafunzi amechaguliwa kujiunga nayo, hatua inayofuata ni kupakua maelekezo ya kujiunga. Hii inahusisha taratibu zote muhimu ambazo mwanafunzi anapaswa kufuata. Ili kupakua maelekezo haya:
- Tembelea tovuti rasmi ya NECTA: www.matokeo.necta.go.tz.
- Nenda kwenye sehemu ya “News”.
- Bofya linki ya “MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2025“.
- Tafuta jina la shule aliyopangiwa mwanafunzi na kisha pakua maelekezo.
Kwa kufuata maelekezo haya, wazazi na wanafunzi wa Morogoro wataweza kujipanga vizuri kwa kuanza safari mpya ya elimu ya sekondari mwaka 2025.