zoteforum.com
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
zoteforum.com
No Result
View All Result

NECTVET YATANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI WA UDAHILI KWA KOZI ZA AFYA KWA MWAKA 2025/2026 – AWAMU YA PILI

Zoteforum by Zoteforum
September 3, 2025
in NACTE

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linautaarifu umma kuwa matokeo ya uchaguzi wa awamu ya pili kwa waombaji wa programu za Afya na Sayansi Shirikishi kwa mwaka wa masomo 2025/2026 yametangazwa rasmi tarehe 1 Septemba, 2025.
Baraza liliratibu udahili wa wanafunzi awamu ya pili katika kozi mbalimbali za afya na sayansi shirikishi kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Jumla ya waombaji 15,526 waliwasilisha maombi yao kupitia CAS. Jumla ya waombaji 15,526 walikamilisha maombi yao kwa kuchagua vyuo/programu walizozipenda. Jumla ya waombaji 12,988 walikuwa na sifa kwenye programu walizoomba na jumla ya waombaji 2,538 hawakuwa na sifa kwenye programu walizoomba.
Jumla ya waombaji 10,476 wamechaguliwa kujiunga kwenye vyuo vinavyotoa programu mbalimbali za Afya na Sayansi Shirikishi ambapo wanawake ni 5,186 (49.5%) na wanaume 5,290 (50.5%). Waombaji 330 walichaguliwa kwenye vyuo vya serikali na waombaji 10,146 katika vyuo visivyo vya serikali.
Aidha, waombaji waliokuwa na sifa lakini hawakuchaguliwa kutokana na ushindani katika programu na vyuo walivyoomba, wanashauriwa kuwasilisha maombi ya kujiunga na vyuo vyenye nafasi kupitia dirisha la awamu ya tatu kwa kutumia Mfumo wa Udahili wa Pamoja.
Waombaji wote wanashauriwa kuangalia matokeo ya uchaguzi wa udahili kupitia tovuti ya Baraza (www.nactvet.go.tz) kwa kubonyeza CAS Selection 2025 ili kupata taarifa zaidi.
Baraza linautaarifu umma kuwa dirisha la awamu ya tatu la udahili litafunguliwa rasmi kuanzia tarehe 2 hadi 26 Septemba, 2025 na matokeo ya uchaguzi wa udahili yatatangazwa tarehe 5 Oktoba, 2025
Aidha, wale wanaohitaji kubadilisha programu au chuo, dirisha la uhamisho litakuwa wazi kuanzia tarehe 2 hadi 26 Septemba, 2025, hivyo watumie dirisha hili kukamilisha maombi hayo kupitia tovuti ya Baraza kwa kubonyeza kwenye akaunti yake aliyotumia kuomba na kuchaguliwa.

ADVERTISEMENT

Usikose Kusoma na Hizi Pia

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025/2026 PDF: Pakua Hapa na Jinsi ya Kuangalia (CSEE Results)

Matokeo ya Kidato cha nne 2025 (Form Four Results 2025)

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025/2026: Jinsi ya Kuangalia CSEE results 2025

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 Mbeya

Matokeo ya Kidato cha nne 2025 Songwe

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 Singida

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 Simiyu

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 Shinyanga

Matokeo ya Kidato cha nne 2025 Ruvuma

Matokeo ya Kidato cha nne 2025 Rukwa

Load More
SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

NACTE CAS Selection

NACTE CAS Selection 2025/26: Waliochaguliwa Vyuo vya afya Ngazi ya Cheti na Diploma (awamu ya pili)

Chuo cha Imperial College of Health and Allied Sciences: Kozi Zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha Kisare College of Health Sciences: Kozi Zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha Manyara Institute of Health and Allied Sciences: Kozi Zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha Clinical Officers Training Centre Kigoma: Kozi zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha Litembo Health Training Institute: Kozi zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.