TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA UALIMU 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba yaand MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 10026 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili;

- MWALIMU DARAJA LAIIIC (KEMIA) – 682 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII B (KEMIA) – 257 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII C – KILIMO (AGRICULTURE) – 171 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII B – KILIMO (AGRICULTURE) – 64 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII B – FIZIKIA (PHYSICS) – 433 vacancies
- MWALIMU DARAJA LAIIIC (FIZIKIA) – 1148 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII C – HISTORIA (HISTORY) – 124 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII C – TEHAMA (INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY) – 168 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII B – TEHAMA (INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY) – 64 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII B – HISABATI (MATHEMATICS) – 709 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII C – HISABATI (MATHEMATICS) – 1883 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII C – JIOGRAFIA (GEOGRAPHY) – 96 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII C – KISWAHILI – 144 vacancies
- MWALIMU DARAJA LAIIIC (BAIOLOJIA) – 1218 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII B (BAIOLOJIA) – 459 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLALISHE (FOOD AND HUMAN NUTRITION) – 37 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII B – SOMOLALISHE (FOOD AND HUMAN NUTRITION) – 14 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII B – SHULE YA MSINGI – 1000 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII C – KIINGEREZA (ENGLISH) – 235 vacancies
- FUNDI SANIFU DARAJA II (UMEME) – 36 vacancies
- MSAIDIZI AFYAYA MAZINGIRA II (ENVIRONMENTAL HEALTH ASSISTANT II) – 219 vacancies
- MSAIDIZI WA MISITU DARAJA II (FOREST ASSISTANT) – 13 vacancies
- MKADIRIAJI UJENZI DARAJA II (QUANTITY SURVEYOR) – 97 vacancies
- FUNDI SANIFU MKADIRIAJI MAJENZI DARAJA II (TECHNICIAN QUANTITY SURVEYOR) – 1 vacancy
- MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA AFYAYA WANYAMA UZALISHAJI (ANIMAL HEALTH PRODUCTION) – 6 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA (AUTOBODY REPAIR) – 8 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA USEREMALA (CARPENTRY) – 10 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA UTENGENEZAJI PROGRAMU ZA TEHAMA (COMPUTER PROGRAMMING) – 5 vacancies
- MWALIMU DARAJA LAIIIC – SOMOLA UBUNIFU, USHONAJI NA TEKNOLOJIA YA MAVAZI (DESIGNING, SEWING AND CLOTH TECHNOLOGY) – 1 vacancy
- MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA (GRAPHICS DESIGNING) – 2 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA KILIMO CHABUSTANI (HORTICULTURE PRODUCTION) – 2 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII C (HAIR DRESSING) – 1 vacancy
- MWALIMU DARAJALAIII C (FITTER MECHANICS) – 7 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA UFUNDI UASHI (MASONRY AND BRICKLAYING) – 1 vacancy
- MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA USINDIKAJI NYAMA (MEAT PROCESSING) – 1 vacancy
- MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA HUDUMA YA CHAKULA, VINYWAJI NA MAUZO (FOOD AND BEVERAGE, SALES AND SERVICES) – 1 vacancy
- MWALIMU DARAJALAIII C SOMOLA MPIRA WA PETE (NETBALL PERFORMANCE) – 13 vacancies
- MWALIMU DARAJA LAIIIC – USEKETAJI WANGUO (HANDLOOM WEAVING) – 1 vacancy
- MWALIMU DARAJALAIII C SOMOLA UFUNDI BOMBA (PLUMBING) – 16 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA UCHOMELEAJI NA UTENGENEZAJI WA VYUMA (WELDING AND METAL FABRICATION) – 10 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA UFUNDI WA MAGARI (MOTOR VEHICLE MECHANICS) – 11 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII C (TRACK EVENT) – 6 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII C (HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI) – 270 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA BIASHARA (BUSINESS STUDIES) – 381 vacancies
- MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA NGOMA – 1 vacancy
DOWNLOAD – TANGAZO LA AJIRA HIZI HAPA>> TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MDAs NA LGAs 18-10-2025
ADVERTISEMENT
MASHARTI YA JUMLA
- Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania wenye umri usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini serikalini.
- Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutumia maombi na wanapaswa kuainisha kwenye mfumo wa kuombea ajira ulemavu walionao kwa ajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
- Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
- Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa kilichothibitishwa na Mwanasheria/Wakili.
- Waombaji kazi ambao ni waajiriwa katika Utumishi wa Umma, WASIOMBE na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyopo katika waraka namba CAC45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba 2010.
- Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya kuzaliwa, kidato cha Nne, kidato cha Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho, na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika; mfano:
- Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
- Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI
- Computer Certificate
- Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards)
- “Testimonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
- Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
- Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
- Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
- Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 01 Novemba, 2025.
- Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:KATIBU, OFISI YA RAIS, SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA, S. L. P. 2320, Mtaa wa Mahakama, Tambukareli, DODOMA.
- Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo: https://portal.ajira.go.tz/. (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’).
- Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA.