Zoteforum
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
Zoteforum
No Result
View All Result

Baltasar Engonga: Afisa wa Equatorial Guinea Aliyehusika Katika Kesi Kubwa ya Video za Ngono

Zoteforum by Zoteforum
November 13, 2024
in Burudani, Habari na Matukio

Baltasar Ebang Engonga, afisa wa ngazi za juu wa Equatorial Guinea, amefutwa kazi baada ya mamia ya video zinazomwonyesha akifanya mapenzi na wanawake kusambaa kwenye mitandao ya kijamii.

Katika video hizo, Engonga, ambaye ni mume na inasemekana ana umri wa miaka 50, anaonekana na wapenzi tofauti — ikiwa ni pamoja na wake za maafisa mashuhuri — katika ofisi yake katika wizara ya fedha na maeneo mengine.

Kwa mujibu wa ripoti, takriban video 400 za ngono za Engonga – ambazo zilirekodiwa tarehe zisizojulikana – zimevuja.

Mamlaka zimetoa onyo kwa wizara ya mawasiliano, mdhibiti na kampuni za simu “kudhibiti usambazaji wa video za ngono zinazojaa kwenye mitandao ya kijamii”.

#BaltasarEbangEngonga imekuwa ikijadiliwa sana mtandaoni.

ADVERTISEMENT

Baltasar Ebang Engonga ni nani

Baltasar Ebang Engonga ni mkurugenzi wa Wakala wa Taifa wa Uchunguzi wa Fedha (ANIF). Anajulikana kama “Bello” kwa sababu ya muonekano wake mzuri.

Engonga ni mtoto wa Baltasar Engonga Edjo, Mwenyekiti wa sasa wa Tume ya Jumuiya ya Kiuchumi na Fedha ya Afrika ya Kati. Pia ana uhusiano na rais wa muda mrefu wa nchi hiyo.

Usikose Kusoma na Hizi Pia

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025/2026 PDF: Pakua Hapa na Jinsi ya Kuangalia (CSEE Results)

Matokeo ya Kidato cha nne 2025 (Form Four Results 2025)

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025/2026: Jinsi ya Kuangalia CSEE results 2025

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 Mbeya

Matokeo ya Kidato cha nne 2025 Songwe

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 Singida

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 Simiyu

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 Shinyanga

Matokeo ya Kidato cha nne 2025 Ruvuma

Matokeo ya Kidato cha nne 2025 Rukwa

Load More

Aliyekuwa na jukumu la kukabiliana na uhalifu kama vile utakatishaji fedha, alikamatwa tarehe 25 Oktoba kwa kuhusika na wizi wa kiasi kikubwa cha pesa kutoka hazina ya serikali na kuziweka katika akaunti za siri huko Visiwa vya Cayman.

Alifungwa katika gereza la kutisha la Black Beach katika mji mkuu, Malabo.

Simu zake na kompyuta zilichukuliwa, na siku chache baadaye, klipu zake za ngono zilisambaa mtandaoni.

Mwendesha mashtaka mkuu Anatolio Nzang Nguema amesema kwamba ikiwa vipimo vya kimatibabu vitaonyesha kwamba Engonga “ameambukizwa ugonjwa wa zinaa”, atafunguliwa mashtaka kwa kosa dhidi ya “afya ya umma”.

SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

Hii hapa Mistari ya Kutongoza Msichana Akupende

Hii hapa Mistari ya Kutongoza Msichana Akupende

Tumia Maneno haya  Mazuri na Matamu Kutongoza Mwanamke Hadi Akupende

Haya hapa Maneno Matamu ya Kutongoza Mwanamke Hadi Akupende

Jinsi ya Kutongoza Msichana, Hatua kwa Hatua Kuanzia Kupata Namba Yake hadi Kumpeleka Gheto

Meseji (SMS) 100 + za kutongoza mwanamke (mwanadada) hadi akupende

Jinsi ya kutongoza kwa SMS: Hatua 14 Jinsi ya kutongoza mwanadada kwa SMS au Meseji

Jinsi Ya Kutongoza Demu Akupende (Mbinu 14 za kumtongoza Demu hadi akuelewe)

Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.