Zoteforum
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
Zoteforum
No Result
View All Result

NECTA matokeo ya darasa la saba 2025 Mikoa Yote (Matokeo ya PSLE yametoka, Tanzama hapa)

Zoteforum by Zoteforum
November 5, 2025
in Mziki

Leo tarehe 5 Novemba 2025 – Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Profesa Said A. Mohamed, ametangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (darasa la saba) kwa mwaka 2025. Tangazo hilo limefanyika leo jijini Dar es Salaam huku matokeo yakionyesha mafanikio makubwa kwa wanafunzi wa darasa la saba nchini Tanzania.

Kwa mujibu wa taarifa rasmi zilizotolewa, jumla ya watahiniwa 937,581, sawa na asilimia 81.80 ya watahiniwa 1,146,164 waliopata matokeo, wamefanikiwa kuipita mtihani huu muhimu. Hii ni ndoto iliyoleta matumaini makubwa kwa shule, wazazi, walimu na serikali kwa ujumla, kwa kuonyesha kuwa juhudi za kuboresha ubora wa elimu zinaendelea kuleta matunda chanya.

Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi ni hatua muhimu katika mfumo wa elimu nchini Tanzania. Ni mtihani unaochagiza vipaji na kukuza maarifa ya msingi kwa watoto wa shule za msingi. Kupitia mtihani huu, wanafunzi huthibitisha uelewa wao wa masomo mbalimbali yenye lengo la kuwajengea msingi imara wa kujiendeleza kwenye ngazi za elimu za sekondari na zaidi.

Kuangalia matokeo hayo tafadhali bofya linki zifuatazo hapo chini:

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2025/2026
  • NECTA PSLE Results
  • PSLE-2025 EXAMINATION RESULTS
  • Primary School Examination Results (psle) 2025

ARUSHADAR ES SALAAMDODOMA
IRINGAKAGERAKIGOMA
KILIMANJAROLINDIMARA
MBEYAMOROGOROMTWARA
MWANZAPWANIRUKWA
RUVUMASHINYANGASINGIDA
TABORATANGAMANYARA
GEITAKATAVINJOMBE
SIMIYUSONGWE
ADVERTISEMENT

Usikose Kusoma na Hizi Pia

Territory brand lead at Onfon Microfinance Tanzania

Form Five Selection 2026 Pwani – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Pwani

Form Five Selection 2026 Mwanza – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Mwanza

Form Five Selection 2026 Morogoro – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Morogoro

Form Five Selection 2026 Mara – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Mara

Form Five Selection 2026 Kigoma – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Kigoma

Form Five Selection 2025 Kilimanjaro – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025 Kilimanjaro

Form Five Selection 2026 Lindi – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 mkoa wa Lindi

Form Five Selection 2026 Manyara – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Manyara

Form Five Selection 2026 Mbeya – Waliochaguliwa kidato cha tano 2026 Mbeya

Load More
SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025/2026: Jinsi ya Kuangalia CSEE results 2025

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025/2026 PDF: Pakua Hapa na Jinsi ya Kuangalia (CSEE Results)

Matokeo ya Darasa la Nne

Matokeo ya Darasa la Nne 2025/2026: Check SFNA Results Here (Official Link)

Matokeo ya Kidato cha Pili 2025: Angalia Hapa (Link Mpya za NECTA)

Matokeo ya Kidato cha pili 2025: Yanatoka lini? Soma hapa

Nafasi za kazi Afisa Kilimo Msaidizi DARAJA LA III (Agricultural Field Officers)

Nafasi za kazi Afisa Hesabu DARAJA LA II (Accounts Officer II)

Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.