Matokeo ya Darasa la Nne 2024 (NECTA Standard four results) - zoteforum.com
zoteforum.com
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
zoteforum.com
No Result
View All Result

Matokeo ya Darasa la Nne 2024 (NECTA Standard four results)

Matokeo ya Darasa la Nne 2024/2025

Zoteforum by Zoteforum
January 5, 2025
in NECTA Matokeo, SFNA results

Table of Contents

  • 1. Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Darasa la Nne Kupitia Tovuti ya NECTA
  • 2. Matokeo Darasa la Nne 2024/2025 Kimkoa (Mikoa Yote)
  • 3. Tafsiri ya Alama na Madaraja Katika Matokeo ya Darasa la nne 2024/2025
  • 4. Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara Kuhusu Matokeo ya Darasa la Nne

Matokeo ya Darasa la Nne 2024 ni matokeo ya mtihani wa Upimaji Wa Kitaifa Wa Darasa La Nne (SFNA) kwa mwaka uliofanyika kwa muda wa siku mbili nchi nzima kuanzia tarehe 23/10/2024 hadi 24/10/2024. Mtihani huu unasimamiwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) na unalenga kupima uelewa na ustadi wa wanafunzi katika masomo ya msingi kama vile Hisabati, Uraia Na Maadili, Sayansi Na Teknolojia, Kiswahili, Kiingereza, na Maarifa ya Jamii.

Kutangazwa kwa Matokeo Darasa la Nne 2024 ni tukio muhimu katika mfumo wa elimu nchini Tanzania. Matokeo Matokeo ya Darasa la Nne yanatoa tathmini ya awali juu ya maendeleo ya wanafunzi katika hatua zao za mwanzo kielimu. Matokeo haya yanachukuliwa kwa umakini mkubwa kwani yanasaidia kujenga msingi imara kwa wanafunzi watakapokuwa wanajiandaa kwa elimu ya sekondari. NECTA hutangaza matokeo haya kupitia tovuti yake rasmi ya www.necta.go.tz. Katika Makala hii tumekuwekea mwongozo wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kuangalia matokeo hayo kupitia tovuti ya NECTA.

1 Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Darasa la Nne Kupitia Tovuti ya NECTA

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) ndio chombo pekee chenye jukumu la kusimamia na kutangaza matokeo ya mitihani mbalimbali nchini Tanzania, ikiwa ni pamoja na matokeo ya darasa la nne 2024. Ili kutazama matokeo ya darasa la nne kupitia tovuti ya NECTA, unahitaji kufuata hatua zifuatazo:

  • Tembelea Tovuti Rasmi ya NECTA: Kwanza, fungua kivinjari chako cha mtandao na uingie katika tovuti rasmi ya NECTA kwa kutumia anwani ya URL: www.necta.go.tz.
  • Nenda kwenye Sehemu ya Habari au “News”: Mara baada ya kufungua tovuti ya NECTA, utaona sehemu Habari au “News” ambayo inapatikana upande wa kusho katika ukurasa wa nyumbani wa tovuti. Tafuta na bonyeza Kwenye linki ya Habari mpya inayohusu “MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024”
  • Chagua Mkoa na Halmashauri Husika: Katika ukurasa wa matokeo, utahitajika kuchagua Mkoa na Halmashauri unayotaka kutazama matokeo. Tafuta na chagua mkoa husika ili kupata matokeo ya wilaya zote za mkoa huo.
  • Chagua Wilaya unayotaka kuangalia Matokeo ili kuona Orodha ya shule zote zilizopo katika Halmashauri husika.
  • Tafuta jina la shule na fungua linki ya shule husika, Matokeo ya darasa la nne katika shule husika yatafunguka, Tafuta jina la mwanafunzi husika ili kupata matokeo yake.

2 Matokeo Darasa la Nne 2024/2025 Kimkoa (Mikoa Yote)

Kwa kawaida Matokeo ya darasa la nne hutangazwa na kupangiliwa kwa utaratibu wa kimikoa na Halmashauri zote. Hii husaidia wazazi na wadau kulinganisha na kutathmini ubora wa elimu katika mikoa mbalimbali. Takribani shule zoe msingi kutoka Mikoa yote nchini Tanzania zimeshiriki katika Mtihani Wa Upimaji Wa Kitaifa Wa Darasa La Nne (SFNA) 2024. Baadhi ya mikoa imekuwa ikifanya vizuri zaidi katika matokeo ya mitihani ya kitaifa kutokana na uwekezaji mkubwa katika elimu, uwepo kwa walimu wakutosha na wenye ujuzi na kujituma, pamoja na ushirikiano mzuri kati ya wazazi na walimu.

Kila mwaka, NECTA hutangaza matokeo ya mitihani wa darasa la nne ya kila mkoa kupitia tovuti yake Rasmi.  Wazazi na wanafunzi, wanaweza kuangalia matokeo haya kwa haraka kupitia linki zifuatazo hapo chini

Link to check: NECTA Standard Four Results 2024 – Link 01

ARUSHADAR ES SALAAMDODOMA
GEITAIRINGAKAGERA
KATAVIKIGOMAKILIMANJARO
LINDIMANYARAMARA
MBEYAMOROGOROMTWARA
MWANZANJOMBEPWANI
RUKWARUVUMASHINYANGA
SIMIYUSINGIDASONGWE
TABORATANGA

3 Tafsiri ya Alama na Madaraja Katika Matokeo ya Darasa la nne 2024/2025

NECTA hutumia alama na madaraja kutathmini kiwango cha ufaulu na uwezo wa mwanafunzi katika mitihani ya Darasa la nne. Ni muhimu kwa wazazi, walimu, na wanafunzi Kuelewa tafsiri ya alama na madaraja ili kujua ni wapi mwanafunzi amefanya vizuri na ni wapi anahitaji kuboresha. Zifuatazo ni tafsiri za Gredi na Alama za Matokeo ya darasa la nne

Buy JNews Buy JNews Buy JNews
ADVERTISEMENT
GREDIALAMAMAELEZO
A75-100Bora sana (Excellent): Hii ina maanisha kiwango bora zaidi ambacho mwanafunzi ameonyesha uelewa wa hali ya juu na uwezo wa kutumia maarifa kwa usahihi.
B65-74Vizuri sana (Very Good): Hii inamaanisha uelewa mzuri ambapo mwanafunzi ameonyesha uwezo wa kutosha katika somo husika.
C45-64Vizuri (Good): Kiwango hiki kinaonyesha uhusiano wa wastani wa uelewa na utekelezaji katika somo. Ni kiwango kinachokubalika lakini kuna nafasi ya kuboresha
D30-44Inaridhisha (Satisfactory): Mwanafunzi ameonyesha kiwango cha kawaida cha uelewa katika somo husika. Mwanafunzi amefanikiwa kufikia kiwango cha chini kinavyohitajika katika ufaulu, lakini bado hajaonyesha umahiri au uelewa wa kina.  
F0-29Feli (Fail): Hii inaonyesha kuwa mwanafunzi amepata alama ya chini ya kiwango kinachohitajika na huenda akahitajika kurudia mtihani au kushiriki masomo ya ziada

4 Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara Kuhusu Matokeo ya Darasa la Nne

Yafuatayo Hapa chini ni baadhi ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu Matokeo ya Darasa la Nne

Je, Matokeo ya Darasa la Nne yanatoka lini?

Matokeo ya darasa la nne kwa kawaida hutangazwa na NECTA miezi michache baada ya mitihani kukamilika. Kwa mwaka 2024/2025, matokeo yanatarajiwa kutongazwa mwanzoni mwa mwezi Januari, 2025. Ni muhimu kufuatilia taarifa kutoka NECTA ili kupata tarehe sahihi yakuachiwa kwa matokeo haya.

Je, kuna ada ya kuangalia matokeo mtandaoni?

Hapana, hakuna ada yoyote inayotozwa kwa kuangalia matokeo ya darasa la nne kupitia tovuti ya NECTA. Hata hivyo, unahitaji kuwa na kifaa kilichowezeshwa na Huduma ya intaneti.

Nini kinatokea ikiwa mwanafunzi hajafaulu?

Ikiwa mwanafunzi hajafaulu, ni muhimu kujadili na walimu ili kubaini maeneo ambayo mwanafunzi anahitaji msaada zaidi. Shule nyingi hutoa programu za ziada za masomo ili kusaidia wanafunzi wanaohitaji msaada wa ziada.

Kwa kumalizia, matokeo ya darasa la nne ni hatua muhimu katika safari ya elimu ya mwanafunzi. Kutazama na kuelewa matokeo haya husaidia katika kupanga mikakati ya kuboresha elimu na kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata elimu bora zaidi. Kwa wazazi, walimu, na wanafunzi, ni muhimu kufuatilia matokeo haya kwa karibu na kuchukua hatua zinazofaa ili kuboresha mafanikio ya elimu.

Usikose Kusoma na Hizi Pia

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 (Form Six Results)

Chuo cha Excellent College of Health and Allied Sciences – Kibaha: Kozi zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga na Chuo

Chuo cha Elijerry College of Health and Allied Sciences: Kozi zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha City College of Health and Allied Sciences – Mwanza Campus: Kozi, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha Arusha Technical College: Kozi Zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Waliochaguliwa Vyuo vya Kati 2025/2026

Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025 – 2026

Shule Walizopangiwa Kidato cha Tano 2025/2026 (Orodha na Majina ya Shule Walizopangiwa form five)

Tamisemi Uchaguzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati, 2025

Form Five Selection 2025 – 2026 (Uchaguzi wa Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati)

Load More
SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025/2026 (NECTA Form Six Results)

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 (Form Six Results)

July 7, 2025
Matokeo ya Kidato cha Sita Mkoa wa Shinyanga

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Mkoa wa Shinyanga

April 14, 2025

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Mkoa wa Ruvuma

April 14, 2025

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Mkoa wa Rukwa

April 14, 2025

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Arusha

April 14, 2025

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Dar es Salaam

April 14, 2025
Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

Recommended Stories

Bei Ya Alphard Tanzania, Fahamu bei za Toyota Alphard Old model na New Model 2025.

Bei Ya Alphard Tanzania, Fahamu bei za Toyota Alphard Old model na New Model 2025.

March 9, 2025
Haemophilus ducreyi

Dalili za Ugonjwa wa Pangusa, Sababu na Tiba

April 27, 2025
Zifahamu Shule Zote za Sekondari Zilizopo Katika Manispaa ya Sumbawanga, Matokeo ya NECTA na Mock, Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza na cha Tano, na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo Katika Shule Hizo

Orodha Ya Shule Za Sekondari Manispaa ya Sumbawanga, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

May 11, 2025
Form One Selection 2025 Arusha – waliochaguliwa kidato cha kwanza 2025 Arusha

Form One Selection 2025 Ruvuma – TAMISEMI waliochaguliwa kidato cha kwanza 2024 Ruvuma

December 16, 2024
Kozi za NACTE

Kozi ya Ordinary Diploma in Clinical Dentistry, Sifa na Vigezo, Vyuo Vinavyotoa

January 18, 2025
Sifa Za Kujiunga Na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam University College of Education (DUCE)

Sifa Za Kujiunga Na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam University College of Education (DUCE)

April 18, 2025
Zifahamu Shule Zote za Sekondari Zilizopo Katika Mkoa wa Rukwa, Matokeo ya NECTA na Mock, Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza na cha Tano na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

Orodha Ya Shule Za Sekondari Mkoa wa Rukwa, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

May 17, 2025
GOTHOMIS Tamisemi Login: Jinsi ya kuingia kwenye mfumo wa GoTHoMIS

GOTHOMIS Tamisemi Login: Jinsi ya kuingia kwenye mfumo wa GoTHoMIS

January 16, 2025
Matokeo ya Kidato cha Sita Mkoa wa Pwani

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Mkoa wa Pwani

April 14, 2025
  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.