HESLB Yawapangia Mikopo Wanafunzi 873 Wa Stashahada Walioomba Kwenye Dirisha La Mwezi Machi 2025
Wanafunzi 873 wamepangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 1.9 Bilioni HESLB inawatangazia wanafunzi wote walioomba mikopo kwa ajili ya dirisha la mwezi Machi,...