NAFASI ZA KAZI TABIBU MSAIDIZI DARAJA LA II (CLINICAL ASSISTANT II) NAFASI – 141 – Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma
MAJUKUMU YA KAZI i. Kutoa huduma za kinga na tiba;ii. Kutambua na kutibu magonjwa;iii. Kutoa huduma ya Afya ya msingi...