Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Misungwi anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili SAA MBILI NA NUSU ASUBUHI kwa utaratibu ufuatao

KUITWA KWENYE USAILI JIMBO LA MISUNGWI.pdf