Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs, Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 02-01-2025 hadi 12-01-2025 a hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo
- Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
- Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
- Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI, Astashahada, Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
- Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
- Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
- Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
- Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
- Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
- Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
- Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili
- Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi
DOWNLOAD : CALL-FOR-INTERVIEW-ADVERT
RATIBA YA USAILI WA MCHUJO
MWAJIRI | KADA | TAREHE YA USAILI | MAHALI |
MDAs & LGAs | AFISA UNUNUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT PROCUREMENT OFFICER II) | 04-01-2025 07:00 AM | USAILI HUU UTAFANYIKA KWA NJIA YA MTANDAO(ONLINE), UTAJULISHWA VITUO VYA USAILI KUPITIA AKAUNTI YAKO YA ‘AJIRA PORTAL’ NA TOVUTI YA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA |
MDAs & LGAs | AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA II (TRANSPORT OFFICER II) | 05-01-2025 07:00 AM | USAILI HUU UTAFANYIKA KWA NJIA YA MTANDAO(ONLINE), UTAJULISHWA VITUO VYA USAILI KUPITIA AKAUNTI YAKO YA ‘AJIRA PORTAL’ NA TOVUTI YA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA |
MDAs & LGAs | AFISA UNUNUZI DARAJA LA II (PROCUREMENT OFFICER II) | 04-01-2025 07:00 AM | USAILI HUU UTAFANYIKA KWA NJIA YA MTANDAO(ONLINE), UTAJULISHWA VITUO VYA USAILI KUPITIA AKAUNTI YAKO YA ‘AJIRA PORTAL’ NA TOVUTI YA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA |
MDAs & LGAs | AFISA USTAWI WA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT SOCIAL WELFARE OFFICER II) | 04-01-2025 07:00 AM | USAILI HUU UTAFANYIKA KWA NJIA YA MTANDAO (ONLINE), UTAJULISHWA VITUO VYA USAILI KUPITIA AKAUNTI YAKO YA ‘AJIRA PORTAL’ NA TOVUTI YA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA |
MDAs & LGAs | AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER II) | 05-01-2025 07:00 AM | USAILI HUU UTAFANYIKA KWA NJIA YA MTANDAO(ONLINE), UTAJULISHWA VITUO VYA USAILI KUPITIA AKAUNTI YAKO YA ‘AJIRA PORTAL’ NA TOVUTI YA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA |
RATIBA YA USAILI WA VITENDO
MWAJIRI | KADA | TAREHE YA USAILI | MAHALI |
MDAs & LGAs | MPISHI DARAJA LA PILI II (COOK II) | 06-01-2025 07:00 AM | USAILI HUU UTAFANYIKA CHUO CHA VETA – DODOMA |
MDAs & LGAs | MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (OFFICE MANAGEMENT SECRETARY II) | 11-01-2025 07:00 AM | USAILI HUU UTAFANYIKA KATIKA MAABARA YA KOMPYUTA CIVE – CHUO KIKUU DODOMA (UDOM) |
RATIBA YA USAILI WA MAHOJIANO
MWAJIRI | KADA | TAREHE YA USAILI | MAHALI |
Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) | ASSISTANT LECTURER (LAW) | 10-01-2025 07:00 AM | IRDP – DODOMA |
Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) | ASSISTANT LECTURER (DEVELOPMENT STUDIES) | 10-01-2025 07:00 AM | IRDP – DODOMA |
Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) | ASSISTANT LECTURER (STATISTICS) | 10-01-2025 07:00 AM | IRDP – DODOMA |
Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) | ASSISTANT LECTURER (PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT) | 10-01-2025 07:00 AM | IRDP – DODOMA |
MDAs & LGAs | AFISA UNUNUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT PROCUREMENT OFFICER II) | 07-01-2025 07:00 AM | OFISI YA RAISI, SEKRETARIET YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA (PSRS) JENGO LA ASHAROSE MIGIRO – DODOMA |
MDAs & LGAs | MPISHI DARAJA LA PILI II (COOK II) | 07-01-2025 07:00 AM | SHULE YA SEKONDARI DODOMA |
MDAs & LGAs | AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA II (TRANSPORT OFFICER II) | 09-01-2025 07:00 AM | SHULE YA SEKONDARI – DODOMA |
MDAs & LGAs | MSAIDIZI WA UFUGAJI NYUKI DARAJA LA II (BEEKEEPING ASSISTANT II) | 10-01-2025 07:00 AM | OFISI YA RAIS, SEKRETARIETI ZA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA (PSRS) JENGO LA ASHAROSE MIGIRO – DODOMA |
MDAs & LGAs | AFISA UNUNUZI DARAJA LA II (PROCUREMENT OFFICER II) | 08-01-2025 07:00 AM | SHULE YA SEKONDARI DODOMA |
MDAs & LGAs | AFISA UFUGAJI NYUKI DARAJA LA II (BEE-KEEPING OFFICER II) | 02-01-2025 07:00 AM | SHULE YA SEKONDARI DODOMA |
MDAs & LGAs | FUNDI SANIFU DARAJA LA II – KILIMO (AGRICULTURAL TECHNICIAN II) | 02-01-2025 07:00 AM | SHULE YA SEKONDARI DODOMA |
MDAs & LGAs | MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (OFFICE MANAGEMENT SECRETARY II) | 12-01-2025 07:00 AM | SHULE YA SEKONDARI DODOMA |
MDAs & LGAs | AFISA UTAMADUNI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT CULTURAL OFFICER II) | 02-01-2025 07:00 AM | SHULE YA SEKONDARI DODOMA |
MDAs & LGAs | MSAIDIZI WA MIFUGO DARAJA LA II (LIVESTOCK FIELD ASSISTANT II) | 11-01-2025 07:00 AM | SHULE YA SEKONDARI DODOMA |
MDAs & LGAs | AFISA USTAWI WA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT SOCIAL WELFARE OFFICER II) | 07-01-2025 07:00 AM | SHULE YA SEKONDARI DODOMA |
MDAs & LGAs | MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS ASSISTANT II) | 02-01-2025 07:00 AM | SHULE YA SEKONDARI DODOMA |
MDAs & LGAs | MSANIFU MAJENGO DARAJA LA II (ARCHITECT II) | 02-01-2025 07:00 AM | SHULE YA SEKONDARI DODOMA |
MDAs & LGAs | MKADIRIAJI MAJENZI DARAJA LA II (QUANTITY SURVEYOR II) | 02-01-2025 07:00 AM | SHULE YA SEKONDARI DODOMA |
MDAs & LGAs | AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER II) | 09-01-2025 07:00 AM | SHULE YA SEKONDARI – DODMA |