Matokeo ya Kidato cha Pili kwa Mkoa wa Mara yanapima uelewa na ujuzi wa wanafunzi katika masomo mbalimbali katika kipindi cha miaka miwili ya Mwanzo ya elimu ya sekondari. Mtihani huu unasaidia kupima uwezo wa wanafunzi na kutoa mwongozo wa maandalizi ya uchaguzi wa masomo ya michepuo kwa kidato cha tatau na cha nne . Matokeo haya yana umuhimu mkubwa katika Mkoa wa Mara kama ilivyo katika mikoa mingine ya Tanzania, kwani yanatoa picha ya jumla ya ubora wa elimu na wapi panahitaji maboresho katika sekta ya elimu.
Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya form two kwa Wilaya zote za Mkoa wa Mara
NECTA, ambayo ni Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania, ndiyo inayohusika na utoaji wa matokeo haya. Kwa kawaida, matokeo yanawekwa kwenye tovuti yao rasmi ambapo unaweza kuyapata kwa kufuata linki zifuatazo kulingana na wilaya husika: