Matokeo ya Kidato cha Pili ni kigezo muhimu katika mfumo wa elimu nchini Tanzania kinachotolewa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA). Mkoa wa Simiyu, kama ilivyo kwa mikoa mingine nchini, unashiriki katika mtihani huu wa kitaifa kila mwaka. Mtihani huu ni muhimu sana kwani unawasaidia wanafunzi kujua uwezo wao wa kitaaluma na pia kuwaandaa kwa ajili ya masomo ya kidato cha tatu na cha nne. Matokeo ya mtihani huu huonyesha hali ya elimu katika mkoa na hutoa fursa kwa wazazi, walimu, na serikali kuchukua hatua stahiki ili kuboresha elimu.
Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya form two kwa Wilaya zote za Mkoa wa Simiyu
NECTA ina utaratibu mzuri na rahisi wa kumwezesha kila mwanafunzi, mzazi, na mwalimu kutazama matokeo ya kidato cha pili kupitia tovuti yao rasmi. Kwa wanafunzi wa Mkoa wa Simiyu, ni rahisi sana kuangalia matokeo haya kwa kutembelea tovuti rasmi ya NECTA kwa anuani ya www.necta.go.tz. Unaweza pia kuangalia matokeo hayo kupitia linki za moja kwa moja kama ifuatavyo:
Kwa kutumia linki hizi, utapata matokeo ya shule zote zilizopo katika wilaya hizo kwa mwaka 2024.