Matokeo ya Kidato cha pili yana umuhimu mkubwa katika mfumo wa elimu wa Tanzania, na Mkoa wa Morogoro. Mtihani huu unafanywa na wanafunzi wa kidato cha pili katika shule za sekondari kote nchini ili kutathmini uelewa wao na maandalizi yao kwa kidato cha tatu na cha nne. Matokeo ya kidato cha pili katika mkoa wa Morogoro yanatoa taswira ya ubora wa elimu na utendaji kazi wa shule za mkoa huo. Yana athari muhimu katika kutathmini ufanisi wa walimu na miundombinu ya shule, na hivyo kusaidia katika kupanga mikakati ya kuboresha elimu katika mkoa. Wanafunzi wanaofanya vizuri kwenye mtihani huu hupewa motisha zaidi kuendelea na masomo yao, huku matokeo haya yakiwa ni kipimo muhimu cha kufuatilia maendeleo yao kielimu.
Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya form two kwa Wilaya zote za Mkoa wa Morogoro
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) hutoa matokeo ya Kidato cha pili kupitia tovuti yake rasimi, ambayo ni njia rahisi na ya haraka kwa wanafunzi na wazazi kupata matokeo hayo. Kwa Mkoa wa Morogoro, matokeo hayo yanapatikana kwa urahisi kwa kutembelea tovuti ya NECTA kupitia www.necta.go.tz ambapo utapata kiungo cha moja kwa moja kinachokuelekeza kwenye matokeo ya Kidato cha pili. Baada ya hapo, utachagua shule husika ili kuona matokeo yote ambapo shule za wily azote katika mkoa zitaonekana kupitia linki hiyo. Uaweza pia kuangalia Matokeo ya form two kwa kutumia linki zifuatazo:
Matokeo ya Kidato cha pili kwa Mkoa wa Morogoro ni kipimo muhimu cha maendeleo ya elimu katika mkoa. Yanatoa fursa kwa wadau mbalimbali wa elimu, wakiwemo walimu, wanafunzi, wazazi na wawekezaji katika sekta ya elimu, kutathmini na kuboresha huduma za elimu.