Matokeo ya Kidato cha Pili Mkoa wa Mwanza yanabainisha tathmini ya kwanza ya kitaaluma kwa wanafunzi waliohitimu darasa la saba na kujiunga na masomo ya sekondari. Mtihani wa Kidato cha Pili ni alama muhimu katika mfumo wa elimu ya Tanzania kwani unasaidia kufuatilia maendeleo ya mwanafunzi na kuandaa msingi bora kwa masomo ya sekondari.
Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya form two kwa Wilaya zote za Mkoa wa Mwanza
Wanafunzi na wazazi katika mkoa wa Mwanza wanaweza kuangalia matokeo ya Kidato cha Pili kupitia tovuti ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Mara tu matokeo yatapotangazwa, NECTA hutoa linki za moja kwa moja kwa kila wilaya ili kurahisisha upatikanaji wa matokeo. Wanafunzi wanaweza kufuata linki zifutazo kuangalia matokeo yao
Matokeo ya Kidato cha Pili ni yanawakilisha kipimo cha mafanikio na changamoto zinazowakabili wanafunzi katika mfumo wa elimu wa Tanzania. Katika Mkoa wa Mwanza, matokeo haya yanaakisi maendeleo ya kielimu na husaidia wazazi, walimu, na serikali ya mkoa kufanya maamuzi sahihi katika kuboresha mbinu na sera za elimu.