Table of Contents
Matokeo ya Kidato cha Pili kwa Mkoa wa Ruvuma ni kipimo muhimu cha maendeleo ya elimu kwa wanafunzi waliofanya mtihani wa Kidato cha Pili. Mtihani huu unatumika kama njia ya kupima uelewa wa wanafunzi katika masomo mbalimbali ikiwemo Mathematics, Chemistry, Physics, Biology, Civics, English, Geography, History, Kiswahili. Matokeo haya yanatoa fursa kwa wanafunzi kufanya maamuzi kuhusu masomo yao ya Kiadato cha tatau na cha nne.
1 Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya form two kwa Wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma
NECTA (Baraza la Mitihani la Tanzania) ndio chombo chenye mamlaka ya kutangaza matokeo ya mitihani ya Kidato cha Pili nchini Tanzania, ikiwemo Mkoa wa Ruvuma. Kwa wilaya zote za mkoa huu, matokeo yanaweza kupatikana kwa urahisi kupitia tovuti rasmi wa NECTA. Unaweza kupata matokeo hayo kwa kufuata hatua zifuatazo:
- Tembelea tovuti ya NECTA: www.necta.go.tz
- Baada ya kuingia kwenye tovuti, nenda kwenye sehemu ya ‘Matokeo’ na chagua ‘Matokeo ya Kidato cha Pili’.
- Chagua mwaka wa mtihani, ambao ni 2024.
- Tafuta matokeo kwa kutumia jina la shule
NECTA mara nyingi huweka linki za moja kwa moja ili kurahisisha mchakato wa kupata matokeo. Unaweza kutumia pia linki ya moja kwa moja za wilaya kama ifutavyo
natak kuangalia matokeo ya kidato Cha pili
natak kuangalia matokeo ya kidato Cha pili