Matokeo ya Kidato cha Pili mkoa wa Tabora ni sehemu muhimu ya mfumo wa elimu nchini Tanzania. Mtihani wa Kidato cha Pili hufanyika mwishoni mwa mwaka wa pili wa masomo ya sekondari na hutoa tathmini muhimu ya maendeleo ya kitaaluma ya wanafunzi.
Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya form two kwa Wilaya zote za Mkoa wa Tabora
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) hutangaza matokeo hayo kupitia tovuti yao rasmi. Ili kuangalia matokeo ya Kidato cha Pili kwa wilaya za mkoa wa Tabora , Wanafunzi na wazazi wanaweza kutembelea tovuti ya NECTA kupitia www.necta.go.tz na kufuata maelekezo yaliyotolewa. Matokeo haya yanaweza pia kutazamwa kupitia linki zifuatazo