Employer
Halmashauri ya Mji wa Tarime
Application Timeline
2025-07-29 to 2025-08-11
Job Summary
NIL
Duties and Responsibilities
i. Kufanya usafi wa jiko; ii. Kupika vyakula vya aina mbalimbali; iii. Kuhakikisha vyombo vya kupikia vinakuwa safi; iv. Kutayarisha orodha ya vyakula vya mlo kamili (balanced diet); v. Kupika vyakula vya kitaalam; vi. Kuhakikisha chakula kinaandaliwa kwa muda muafaka; vii. Kuahakikisha usalama wa jiko na chakula; na viii. Kutekeleza majukumu mengine utakayopangiwa na msimamizi wako
Qualification and Experience
Kuajiriwa wenye elimu ya kidato cha Nne (IV) au kidato cha Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti (Technician Certificate) katika fani ya Mapishi (Food Production/ Culinary Arts) kutoka Chuo chochote kinachotambulika na Serikali.
Remuneration
TGS C