Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwataarifu wasailiwa waliofanya usahili wa kuandika wa TRA tarehe 29 na tarehe 30 Machi, 2025 kwamba, Matokeo ya waliochaguliwa kushiriki usaili wa mahojiano na vitendo yametoka na yanapatikana kupitia tovuti ya Mamlaka https://www.tra.go.tz/.
Aidha, wasailiwa waliofanya usahili huo wanaweza kuangalia matokeo hayo kupitia Linki zifuatazo hapo chini