POST | AFISA TEHAMA II (PROGRAMMER) – 15 POST |
EMPLOYER | MDAs & LGAs |
APPLICATION TIMELINE: | 2025-01-07 2025-01-20 |
JOB SUMMARY | NIL |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i.Kuandaa, kuandika na kufanya majaribio ya programu (Plan, code and test program);ii.Kusahihisha programu (Debug program);iii.Kuweka na kuhakikisha usalama wa programu (Incorporate security setting into program);iv.Kushirikiana na wadau wengine katika kutengeneza programu mbalimbali (Corporate with other software developers); nav.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkubwa wake wa kazi zinayoendana na sifa na fani yake |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Mwombaji awe na Stashahada ya juu au Shahada ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Sayansi ya Kompyuta, Teknolojia ya Habari, Teknolojia ya Habari naMawasiliano na Menejimenti ya Mifumo ya Habari au mafunzo mengine yanayohusiana na fani hii, kutoka katika Vyuo au Taasisi za elimu ya juu zinazotambuliwa na Serikali |
REMUNERATION | TGS E |