zoteforum.com
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
zoteforum.com
No Result
View All Result

NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MALINYI 24-07-2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi amepokea kibali cha ajira mpya kwa mwaka wa 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025. Hivyo Watanzania wote wenye sifa wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo:


1.1 DEREVA DARAJA LA II – NAFASI 3

1.1.1 Kazi na Majukumu

i. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari. ii. Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi. iii. Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari. iv. Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali. v. Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari. vi. Kufanya usafi wa gari. vii. Kufanya kazi nyingine kadri utakavyoelekezwa na Msimamizi wako.

1.1.2 Sifa ya Mwombaji

  • Kuajiriwa wenye cheti cha Kidato cha Nne (Form IV).
  • Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali.
  • Vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika.
  • Wahudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji Magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

1.1.3 Ngazi ya Mshahara

Kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Serikali, yaani TGS B.


1.1.4 Msaidizi wa Kumbukumbu DARAJA LA II – NAFASI 3

1.1.5 Kazi na Majukumu

i. Kuorodhesha barua zinazoingia kwenye regista (incoming correspondence register). ii. Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register). iii. Kusambaza majalada kwa watendaji (Action officers). iv. Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa watendaji. v. Kurudisha majalada kwenye shabaha/kabati la majalada (racks/filling cabinets) au mahala pengine yanapohifadhiwa. vi. Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya taasisi (File tracking).

1.1.6 Sifa za Mwombaji

  • Awe amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Sita (VI).
  • Aliyehitimu Stashahada (NTA Level 6) katika fani ya utunzaji wa kumbukumbu kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
  • Mwenye ujuzi wa kompyuta.

1.1.7 Ngazi ya Mshahara

Kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Serikali, yaani TGS C.

ADVERTISEMENT

MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI

i. Waombaji wote wawe ni raia wa Tanzania na wenye umri wa kuanzia miaka 18 hadi 45.

ii. Waombaji wote waambatishe maelezo binafsi yaliyojitosheleza (Detail Curriculum Vitae) yenye anuani inayotumika, namba za simu zinazopatikana, Anuani ya Barua Pepe (E-mail address), pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.

Usikose Kusoma na Hizi Pia

VITUO VYA USAILI WA MAHOJANO WA MDAs & LGAs UTAKAOFANYIKA TAREHE 22 HADI 24 OKTOBA, 2025

Serikali yatangaza Nafasi za Kazi za ualimu (10,026)

Nafasi za kazi Afisa Ufugaji Nyuki Msaidizi Daraja la II (Assistant Beekeeping Officer II)

Nafasi za kazi Afisa Maendeleo ya Michezo Msaidizi Daro la II

Nafasi za kazi MSANIFU MAJENGO DARAJA LA II (ARCHITECT GRADE II)

Nafasi za kazi Afisa Ukuzaji Viumbe Kwenye Maji Daraja la II (Aquaculture Officer Grade II)

Nafasi za kazi FUNDI SANIFU DARAJA LA II – KILIMO (AGRICULTURAL TECHNICIAN GRADE II)

Nafasi za kazi Mkufunzi DARAJA LA II – Kilimo (Agricultural Officer Grade II)

Nafasi za kazi Afisa Kilimo Msaidizi DARAJA LA III (Agricultural Field Officers)

Nafasi za kazi Afisa Kilimo Msaidizi DARAJA LA II (Agricultural Field Officers)

Load More

iii. Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya Elimu na Taaluma vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili, ikiwemo vyeti vya Kidato cha Nne/Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho, na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika, kama Diploma/Certificates, Cheti cha mtihani wa Kidato cha IV na VI, Cheti cha Kompyuta, na vyeti vya kitaaluma.

iv. “Testimonial”, “Provisional Results”, “Statement of Results”, hati ya matokeo ya Kidato cha Nne na Sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.

v. Waombaji waliosoma nje ya nchi wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na vimethibitishwa na mamlaka husika (TCU, NECTA, na NACTE).

vi. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba pasipo kibali kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi.

vii. Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka wenye Kumb. Na. CAC.45/257/01/D/140 wa tarehe 29 Novemba, 2010.

viii. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi, wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.

ix. Waombaji kazi wa kada ya Dereva II wenye leseni Daraja E au C wanapaswa kuambatanisha vyeti vya mafunzo ya udereva vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika.

x. Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 04 Agosti 2025.

MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa na ielekezwe kwa anuani ifuatayo:


Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi S. L. P 18 MALINYI


Muhimu:

  • Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo: https://portal.ajira.go.tz (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’).
SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

VITUO VYA USAILI WA MAHOJANO WA MDAs & LGAs UTAKAOFANYIKA TAREHE 22 HADI 24 OKTOBA, 2025

VITUO VYA USAILI WA MAHOJANO WA MDAs & LGAs UTAKAOFANYIKA TAREHE 22 HADI 24 OKTOBA, 2025

Serikali yatangaza Nafasi za Kazi za ualimu (10,026)

Serikali yatangaza Nafasi za Kazi za ualimu (10,026)

Nafasi za kazi Afisa Ufugaji Nyuki Msaidizi Daraja la II (Assistant Beekeeping Officer II)

Nafasi za kazi Afisa Maendeleo ya Michezo Msaidizi Daro la II

Nafasi za kazi MSANIFU MAJENGO DARAJA LA II (ARCHITECT GRADE II)

Nafasi za kazi Afisa Ukuzaji Viumbe Kwenye Maji Daraja la II (Aquaculture Officer Grade II)

Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.