Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) linatarajiwa kutangaza matokeo ya mitihani ya Darasa la Nne na Kidato cha Pili kwa mwaka 2024 leo tarehe 04 Januari 2024, saa 5:00 asubuhi. Wanafunzi, walimu, na wazazi kote nchini wataweza kuangalia matokeo hayo kupitia tovuti rasmi ya NECTA, mara baada ya kuatangazwa

NECTA inatarajia kutoa taarifa kamili kuhusu matokeo hayo, ikiwa ni pamoja na idadi ya wanafunzi waliofanya vizuri na wale ambao hawakufanya vizuri katika mtihani huu.
Unaweza kutazama matokeo haya kupitia linki zifuatazo hapo chini
Matokeo ya kidato Cha pili
Naomba matokeo ya Kiriba Secondary School form two 2024 .