Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) leo, Jumamosi tarehe 31 Januari 2026, limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) uliofanyika mwishoni mwa mwaka 2025.
Akitangaza matokeo hayo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dkt. Said A. Mohamed, ameleza kuwa ufaulu wa mwaka huu unaonesha picha halisi ya jitihada zilizofanywa na wanafunzi, walimu, na wazazi.
Hii ni habari njema iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na maelfu ya wanafunzi na wazazi kote nchini, kwani matokeo haya ndiyo dira ya safari ya elimu ya juu (A-Level) au vyuo vya kati.

Jinsi ya Kuangalia Matokeo Yako (Direct Links)
Ili kuepuka msongamano wa mtandao, tumia linki hizi za moja kwa moja (Direct Links) kuona matokeo yako haraka bila kuzunguka:
👉 LINK KUU (NECTA SERVER 1): Bonyeza Hapa Kuona Matokeo
👉 LINK MBADALA (NECTA SERVER 2): Bonyeza Hapa (Mirror Link)
(Kumbuka: Ikiwa link inachelewa kufunguka, subiri dakika chache na jaribu tena au tumia kivinjari cha Opera Mini kwa kasi zaidi).
Angalia Matokeo kwa Mikoa (CSEE 2025)
Chagua mkoa ulipo shule yako hapa chini ili kuona orodha ya shule na matokeo yake:

