zoteforum.com
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
zoteforum.com
No Result
View All Result

MAJINA YA WALIMU WALIOITWA KAZINI MACHI, 2025 –  TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU

TANGAZO LA KUITWA KAZINI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MUHIMU: Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva.

ADVERTISEMENT

Bofya linki hapo chini kupata orodha ya majina hayo

  •  TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 21-03-2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU 20-03-2025
  •  TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU 18-03-2025
  •  TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU 17-03-2025
  •  TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU 15-03-2025
  •  TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 15-03-2025
  •  TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 15-03-2025
  •  TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 14-03-2025

Usikose Kusoma na Hizi Pia

VITUO VYA USAILI WA MAHOJANO WA MDAs & LGAs UTAKAOFANYIKA TAREHE 22 HADI 24 OKTOBA, 2025

Serikali yatangaza Nafasi za Kazi za ualimu (10,026)

Nafasi za kazi Afisa Ufugaji Nyuki Msaidizi Daraja la II (Assistant Beekeeping Officer II)

Nafasi za kazi Afisa Maendeleo ya Michezo Msaidizi Daro la II

Nafasi za kazi MSANIFU MAJENGO DARAJA LA II (ARCHITECT GRADE II)

Nafasi za kazi Afisa Ukuzaji Viumbe Kwenye Maji Daraja la II (Aquaculture Officer Grade II)

Nafasi za kazi FUNDI SANIFU DARAJA LA II – KILIMO (AGRICULTURAL TECHNICIAN GRADE II)

Nafasi za kazi Mkufunzi DARAJA LA II – Kilimo (Agricultural Officer Grade II)

Nafasi za kazi Afisa Kilimo Msaidizi DARAJA LA III (Agricultural Field Officers)

Nafasi za kazi Afisa Kilimo Msaidizi DARAJA LA II (Agricultural Field Officers)

Load More
SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

VITUO VYA USAILI WA MAHOJANO WA MDAs & LGAs UTAKAOFANYIKA TAREHE 22 HADI 24 OKTOBA, 2025

VITUO VYA USAILI WA MAHOJANO WA MDAs & LGAs UTAKAOFANYIKA TAREHE 22 HADI 24 OKTOBA, 2025

Serikali yatangaza Nafasi za Kazi za ualimu (10,026)

Serikali yatangaza Nafasi za Kazi za ualimu (10,026)

Nafasi za kazi Afisa Ufugaji Nyuki Msaidizi Daraja la II (Assistant Beekeeping Officer II)

Nafasi za kazi Afisa Maendeleo ya Michezo Msaidizi Daro la II

Nafasi za kazi MSANIFU MAJENGO DARAJA LA II (ARCHITECT GRADE II)

Nafasi za kazi Afisa Ukuzaji Viumbe Kwenye Maji Daraja la II (Aquaculture Officer Grade II)

Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.