zoteforum.com
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
zoteforum.com
No Result
View All Result

ORODHA YA WALIOITWA KAZINI KADA ZA UALIMU 2025

Zoteforum by Zoteforum
February 2, 2025
in Uncategorized

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-08-2024 na tarehe 17-01-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MUHIMU:

Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva.

UNAWEZA KUPAKUA MAJINA YA WALIOTWA KAZINI – KADA ZA UALIMU HAPO CHINI

 TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA ZA WALIMU 01-02-2025

 TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA ZA WALIMU 01-02-2025

 TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA ZA WALIMU 01-02-2025

Buy JNews Buy JNews Buy JNews
ADVERTISEMENT

Usikose Kusoma na Hizi Pia

Form Five Selection 2025 – 2026 (Uchaguzi wa Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati)

Tamisemi Uchaguzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati, 2025

Selection Form Five 2025 to 2026

Shule Walizopangiwa Kidato cha Tano 2025/2026 (Orodha na Majina ya Shule Walizopangiwa form five)

Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025 – 2026

Waliochaguliwa Vyuo vya Kati 2025/2026

From five selection 2025 Kagera – Waliochaguliwa kidato cha tano 2025 Kagera

Form five selection 2025 Katavi- Waliochaguliwa kidato cha tano 2025 Katavi

Form Five Selection 2025 Geita – Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2025 Geita

From Five Selection 2025 Dodoma – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025 Dodoma

Load More
SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

NAFASI ZA KAZI 6 – Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

Nafasi Za Kazi 500 Za Udereva Daraja La Ii (Driver Ii) – Zipo Nafasi 500

June 6, 2025
Orodha Ya Shule Za Sekondari Mji wa Makambako, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

Orodha Ya Shule Za Sekondari Mji wa Makambako, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

May 11, 2025

Orodha Ya Shule Za Sekondari Wilaya Ya Makete, Matokeo, Majina Ya Waliochaguliwa Na Utaratibu Wa Kujiunga Na Masomo

May 11, 2025

Orodha Ya Shule Za Sekondari Wilaya Ya Njombe, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

May 11, 2025

Orodha Ya Shule Za Sekondari Wilaya Ya Wanging’ombe, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

May 11, 2025

Orodha Ya Shule Za Sekondari Mji wa Nanyamba, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

May 11, 2025
Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

Recommended Stories

Matokeo ya Kidato cha nne 2024

Matokeo ya Kidato cha nne 2024 Kigoma

January 22, 2025
Ada Na Kozi Zinazotolewa Na Chuo Kikuu cha Katoliki cha Sayansi ya Afya na Sayansi Shirikishi (CUHAS bugando Courses And Fees)

Ada Na Kozi Zinazotolewa Na Chuo Kikuu cha Katoliki cha Sayansi ya Afya na Sayansi Shirikishi (CUHAS bugando Courses And Fees)

April 16, 2025
Sifa za Kujiunga na Chuo cha Kizumbi Institute of Cooperative Business Education (KICoB)

Sifa za Kujiunga na Chuo cha Kizumbi Institute of Cooperative Business Education (KICoB) 2025/2026

April 17, 2025
Bei Ya Fuso Mpya Tanzania Price

Bei Ya Fuso Mpya Tanzania Price

March 11, 2025
Zifahamu Shule Zote za Sekondari Zilizopo Katika Wilaya ya Magu, Matokeo ya NECTA na Mock, Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza na cha Tano, na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo Katika Shule Hizo

Orodha Ya Shule Za Sekondari Wilaya Ya Magu, Matokeo, Majina Ya Waliochaguliwa, na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

May 11, 2025
Orodha Ya Shule Za Sekondari Wilaya ya Arusha, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

Orodha Ya Shule Za Sekondari Wilaya ya Arusha, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

May 4, 2025
NAFASI ZA KAZI 6 – Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

ORODHA YA WALIOITWA KAZINI KADA ZA UALIMU 2025

February 2, 2025
Matokeo ya Darasa la Nne

Matokeo ya Darasa la Nne 2024 Tabora

January 6, 2025
Matokeo ya Darasa la Saba 2024 (NECTA PSLE Results)

Matokeo ya Darasa la Saba 2024 Simiyu

October 29, 2024
  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.