zoteforum.com
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
zoteforum.com
No Result
View All Result

Serikali yatangaza Nafasi za Kazi za ualimu (10,026)

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA UALIMU 2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba yaand MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 10026 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili;

  1. MWALIMU DARAJA LAIIIC (KEMIA) – 682 vacancies
  2. MWALIMU DARAJALAIII B (KEMIA) – 257 vacancies
  3. MWALIMU DARAJALAIII C – KILIMO (AGRICULTURE) – 171 vacancies
  4. MWALIMU DARAJALAIII B – KILIMO (AGRICULTURE) – 64 vacancies
  5. MWALIMU DARAJALAIII B – FIZIKIA (PHYSICS) – 433 vacancies
  6. MWALIMU DARAJA LAIIIC (FIZIKIA) – 1148 vacancies
  7. MWALIMU DARAJALAIII C – HISTORIA (HISTORY) – 124 vacancies
  8. MWALIMU DARAJALAIII C – TEHAMA (INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY) – 168 vacancies
  9. MWALIMU DARAJALAIII B – TEHAMA (INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY) – 64 vacancies
  10. MWALIMU DARAJALAIII B – HISABATI (MATHEMATICS) – 709 vacancies
  11. MWALIMU DARAJALAIII C – HISABATI (MATHEMATICS) – 1883 vacancies
  12. MWALIMU DARAJALAIII C – JIOGRAFIA (GEOGRAPHY) – 96 vacancies
  13. MWALIMU DARAJALAIII C – KISWAHILI – 144 vacancies
  14. MWALIMU DARAJA LAIIIC (BAIOLOJIA) – 1218 vacancies
  15. MWALIMU DARAJALAIII B (BAIOLOJIA) – 459 vacancies
  16. MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLALISHE (FOOD AND HUMAN NUTRITION) – 37 vacancies
  17. MWALIMU DARAJALAIII B – SOMOLALISHE (FOOD AND HUMAN NUTRITION) – 14 vacancies
  18. MWALIMU DARAJALAIII B – SHULE YA MSINGI – 1000 vacancies
  19. MWALIMU DARAJALAIII C – KIINGEREZA (ENGLISH) – 235 vacancies
  20. FUNDI SANIFU DARAJA II (UMEME) – 36 vacancies
  21. MSAIDIZI AFYAYA MAZINGIRA II (ENVIRONMENTAL HEALTH ASSISTANT II) – 219 vacancies
  22. MSAIDIZI WA MISITU DARAJA II (FOREST ASSISTANT) – 13 vacancies
  23. MKADIRIAJI UJENZI DARAJA II (QUANTITY SURVEYOR) – 97 vacancies
  24. FUNDI SANIFU MKADIRIAJI MAJENZI DARAJA II (TECHNICIAN QUANTITY SURVEYOR) – 1 vacancy
  25. MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA AFYAYA WANYAMA UZALISHAJI (ANIMAL HEALTH PRODUCTION) – 6 vacancies
  26. MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA (AUTOBODY REPAIR) – 8 vacancies
  27. MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA USEREMALA (CARPENTRY) – 10 vacancies
  28. MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA UTENGENEZAJI PROGRAMU ZA TEHAMA (COMPUTER PROGRAMMING) – 5 vacancies
  29. MWALIMU DARAJA LAIIIC – SOMOLA UBUNIFU, USHONAJI NA TEKNOLOJIA YA MAVAZI (DESIGNING, SEWING AND CLOTH TECHNOLOGY) – 1 vacancy
  30. MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA (GRAPHICS DESIGNING) – 2 vacancies
  31. MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA KILIMO CHABUSTANI (HORTICULTURE PRODUCTION) – 2 vacancies
  32. MWALIMU DARAJALAIII C (HAIR DRESSING) – 1 vacancy
  33. MWALIMU DARAJALAIII C (FITTER MECHANICS) – 7 vacancies
  34. MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA UFUNDI UASHI (MASONRY AND BRICKLAYING) – 1 vacancy
  35. MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA USINDIKAJI NYAMA (MEAT PROCESSING) – 1 vacancy
  36. MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA HUDUMA YA CHAKULA, VINYWAJI NA MAUZO (FOOD AND BEVERAGE, SALES AND SERVICES) – 1 vacancy
  37. MWALIMU DARAJALAIII C SOMOLA MPIRA WA PETE (NETBALL PERFORMANCE) – 13 vacancies
  38. MWALIMU DARAJA LAIIIC – USEKETAJI WANGUO (HANDLOOM WEAVING) – 1 vacancy
  39. MWALIMU DARAJALAIII C SOMOLA UFUNDI BOMBA (PLUMBING) – 16 vacancies
  40. MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA UCHOMELEAJI NA UTENGENEZAJI WA VYUMA (WELDING AND METAL FABRICATION) – 10 vacancies
  41. MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA UFUNDI WA MAGARI (MOTOR VEHICLE MECHANICS) – 11 vacancies
  42. MWALIMU DARAJALAIII C (TRACK EVENT) – 6 vacancies
  43. MWALIMU DARAJALAIII C (HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI) – 270 vacancies
  44. MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA BIASHARA (BUSINESS STUDIES) – 381 vacancies
  45. MWALIMU DARAJALAIII C – SOMOLA NGOMA – 1 vacancy

DOWNLOAD – TANGAZO LA AJIRA HIZI HAPA>> TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MDAs NA LGAs 18-10-2025

KUTUMA MAOMBI YAKO BOFYA HAPA

ADVERTISEMENT

MASHARTI YA JUMLA

  1. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania wenye umri usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini serikalini.
  2. Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutumia maombi na wanapaswa kuainisha kwenye mfumo wa kuombea ajira ulemavu walionao kwa ajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
  3. Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
  4. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa kilichothibitishwa na Mwanasheria/Wakili.
  5. Waombaji kazi ambao ni waajiriwa katika Utumishi wa Umma, WASIOMBE na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyopo katika waraka namba CAC45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba 2010.
  6. Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya kuzaliwa, kidato cha Nne, kidato cha Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho, na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika; mfano:
    • Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
    • Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI
    • Computer Certificate
    • Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards)
  7. “Testimonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
  8. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
  9. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
  10. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
  11. Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 01 Novemba, 2025.
  12. Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:KATIBU, OFISI YA RAIS, SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA, S. L. P. 2320, Mtaa wa Mahakama, Tambukareli, DODOMA.
  13. Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo: https://portal.ajira.go.tz/. (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’).
  14. Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA.

TUMA MAOMBI SASA

Usikose Kusoma na Hizi Pia

VITUO VYA USAILI WA MAHOJANO WA MDAs & LGAs UTAKAOFANYIKA TAREHE 22 HADI 24 OKTOBA, 2025

Nafasi za kazi Afisa Ufugaji Nyuki Msaidizi Daraja la II (Assistant Beekeeping Officer II)

Nafasi za kazi Afisa Maendeleo ya Michezo Msaidizi Daro la II

Nafasi za kazi MSANIFU MAJENGO DARAJA LA II (ARCHITECT GRADE II)

Nafasi za kazi Afisa Ukuzaji Viumbe Kwenye Maji Daraja la II (Aquaculture Officer Grade II)

Nafasi za kazi FUNDI SANIFU DARAJA LA II – KILIMO (AGRICULTURAL TECHNICIAN GRADE II)

Nafasi za kazi Mkufunzi DARAJA LA II – Kilimo (Agricultural Officer Grade II)

Nafasi za kazi Afisa Kilimo Msaidizi DARAJA LA III (Agricultural Field Officers)

Nafasi za kazi Afisa Kilimo Msaidizi DARAJA LA II (Agricultural Field Officers)

Nafasi za kazi Afisa Uvuvi Msaidizi DARAJA LA II (Assistant Fisheries Officer II)

Load More
SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

VITUO VYA USAILI WA MAHOJANO WA MDAs & LGAs UTAKAOFANYIKA TAREHE 22 HADI 24 OKTOBA, 2025

VITUO VYA USAILI WA MAHOJANO WA MDAs & LGAs UTAKAOFANYIKA TAREHE 22 HADI 24 OKTOBA, 2025

Nafasi za kazi Afisa Ufugaji Nyuki Msaidizi Daraja la II (Assistant Beekeeping Officer II)

Nafasi za kazi Afisa Maendeleo ya Michezo Msaidizi Daro la II

Nafasi za kazi MSANIFU MAJENGO DARAJA LA II (ARCHITECT GRADE II)

Nafasi za kazi Afisa Ukuzaji Viumbe Kwenye Maji Daraja la II (Aquaculture Officer Grade II)

Nafasi za kazi FUNDI SANIFU DARAJA LA II – KILIMO (AGRICULTURAL TECHNICIAN GRADE II)

Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.