zoteforum.com
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
zoteforum.com
No Result
View All Result

Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025 – 2026

Jinsi ya Kuangalia Majina ya wanafunzi Waliochaguliwa kidato cha tano

Zoteforum by Zoteforum
June 9, 2025
in Form five

Kila mwaka, baada ya matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne kutangazwa, wanafunzi wengi nchini Tanzania husubiri kwa hamu kujua kama wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano au vyuo vya kati. Mchakato huu unaendeshwa na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), ambayo inahusika na upangaji wa wanafunzi katika shule za sekondari za juu na vyuo vya kati kulingana na ufaulu wao na vigezo vingine vilivyowekwa.

Sifa na Vigezo Vinavyotumika kwenye Uchaguzi wa Wanafunzi

Katika mchakato wa kuchagua wanafunzi wa kujiunga na Kidato cha Tano na vyuo vya kati kwa mwaka 2025, TAMISEMI hutumia vigezo mbalimbali kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki na unaozingatia sifa za wanafunzi. Vigezo hivi ni pamoja na:

  1. Ufaulu wa Masomo: Wanafunzi wanapaswa kuwa na alama za juu katika masomo yao ya msingi, hasa katika masomo yanayohusiana na tahasusi wanazotaka kusomea.
  2. Jumla ya Alama: Jumla ya alama katika masomo yote inazingatiwa, ambapo wanafunzi wenye alama za juu wana nafasi kubwa ya kuchaguliwa.
  3. Ufaulu katika Masomo ya Tahasusi: Wanafunzi wanapaswa kuwa na alama nzuri katika masomo yanayohusiana na tahasusi wanazotaka kusomea, kama vile PCM (Physics, Chemistry, Mathematics) au HGL (History, Geography, Language).
  4. Umri wa Mwanafunzi: Umri wa mwanafunzi pia unazingatiwa katika mchakato wa uchaguzi.
  5. Ushindani na Nafasi Shuleni: Nafasi zilizopo katika shule na ushindani kati ya wanafunzi huathiri uchaguzi.
  6. Wanafunzi wa Shule Binafsi au Nje ya Mfumo Rasmi: Wanafunzi waliomaliza katika shule binafsi au nje ya mfumo rasmi wanachaguliwa kwa kuzingatia ulinganifu wa matokeo yao kupitia Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA).

Tarehe ya Kutangazwa kwa majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano

Kwa mujibu wa utaratibu wa miaka ya nyuma, TAMISEMI hutangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano miezi michache baada ya matokeo ya Kidato cha Nne kutangazwa na NECTA. Kwa kawaida, majina haya hutolewa kuanzia mwishoni mwa mwezi Mei hadi katikati ya Juni. Kwa mfano: Mwaka 2019: Matokeo yalitangazwa Tarehe 01 June 2019, Mwaka 2020: Matokeo yalitangazwa Tarehe 17 June 2020, mwaka 2021: Matokeo yalitangazwa Juni 1, 2021, mwaka 2022: Matokeo yalitangazwa May 12, 2022, mwaka 2023: Matokeo yalitangazwa Juni 11, 2023 na mwaka 2024: Matokeo yalitangazwa Trehe 30 Mei 2024. Kwa mwaka huu wa 2025, inatarajiwa kwamba majina yatatangazwa kati ya Mei 31 hadi Juni 15, 2025.

Jinsi ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano

Kama mzazi au mwanafunzi, unaweza kufuatilia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2025 kwa kupitia hatua zifuatazo:

Hatua ya 1: Kutembelea Tovuti Rasmi ya TAMISEMI ya Uchaguzi wa Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Vyuo Vya Kati

  • Tembelea tovuti rasmi ya TAMISEMI: https://selform.tamisemi.go.tz/content/selection-and-allocation/
  • Bofya linki ya “Form Five First Selection, 2025”: Baada ya kufungua tovuti, tafuta na ubofye sehemu iliyoandikwa “Form Five First Selection, 2025”.

Hatua ya 2: Chagua Linki ya Mkoa Ulikosoma

  • Orodha ya Mikoa: Baada ya kufungua linki ya “Form Five First Selection, 2025”, utakutana na orodha ya mikoa yote Tanzania.
  • Chagua Mkoa: Tafuta na ubofye jina la mkoa ambao mwanafunzi alifanya mtihani wake wa Kidato cha Nne.

Hatua ya 3: Chagua Linki ya Halmashauri Ulikosoma

Usikose Kusoma na Hizi Pia

Waliochaguliwa Vyuo vya Kati 2025/2026

Shule Walizopangiwa Kidato cha Tano 2025/2026 (Orodha na Majina ya Shule Walizopangiwa form five)

Tamisemi Uchaguzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati, 2025

Form Five Selection 2025 – 2026 (Uchaguzi wa Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati)

Selection Form Five 2025 to 2026

From five selection 2025 Kagera – Waliochaguliwa kidato cha tano 2025 Kagera

Form five selection 2025 Katavi- Waliochaguliwa kidato cha tano 2025 Katavi

Form Five Selection 2025 Geita – Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2025 Geita

From Five Selection 2025 Dodoma – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025 Dodoma

From Five Selection 2025 Dar es Salaam – Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2025 Dar es Salaam

Load More
Buy JNews Buy JNews Buy JNews
ADVERTISEMENT
  • Orodha ya Halmashauri: Baada ya kufungua linki ya mkoa husika, utaona orodha ya halmashauri zote ndani ya mkoa huo.
  • Chagua Halmashauri: Tafuta na ubofye jina la halmashauri ambayo shule ya mwanafunzi ipo.

Hatua ya 4: Chagua Shule Uliyosoma

  • Orodha ya Shule: Baada ya kufungua linki ya halmashauri husika, utaona orodha ya shule zote ndani ya halmashauri hiyo.
  • Chagua Shule: Tafuta na ubofye jina la shule ambayo mwanafunzi alifanya mtihani wake wa Kidato cha Nne.

Hatua ya 5: Angalia Orodha ya Majina na Pakua Maelekezo ya Kujiunga (Joining Instructions)

  • Orodha ya Majina: Baada ya kuchagua shule, utaona orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa pamoja na shule walizopangiwa.
  • Pakua Joining Instructions: Unaweza kupakua maelekezo ya kujiunga (Joining Instructions) ya shule husika kwa kubofya linki ya jina la shule mbele ya namba na jina la mwanafunzi.

Hatua ya 6: Kuhakikisha Taarifa

  • Thibitisha Taarifa: Hakikisha unachunguza majina kwa umakini ili kuthibitisha kama mwanafunzi amechaguliwa na wapi.
  • Wasiliana na Ofisi za Elimu: Ikiwa kuna matatizo yoyote au maswali zaidi, unashauriwa kuwasiliana na ofisi za elimu za mkoa husika au kutumia namba za msaada zilizotolewa katika tovuti husika.

Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kidato cha Tano na Vyuo kwa Kila Mkoa

Hapa chini ni orodha ya linki za mikoa mbalimbali za kuangalia majina ya waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025:

CHAGUA MKOA ULIKOSOMA

ARUSHADAR ES SALAAMDODOMA
GEITAIRINGAKAGERA
KATAVIKIGOMAKILIMANJARO
LINDIMANYARAMARA
MBEYAMOROGOROMTWARA
MWANZANJOMBEPWANI
RUKWARUVUMASHINYANGA
SIMIYUSINGIDASONGWE
TABORATANGA

Hitimisho

Mchakato wa kuchagua wanafunzi kujiunga na Kidato cha Tano ni hatua muhimu katika mfumo wa elimu nchini Tanzania. Ni muhimu kwa wanafunzi na wazazi kufuatilia kwa karibu taarifa zinazotolewa na TAMISEMI na kuhakikisha wanazingatia taratibu zote zilizowekwa. Kwa kufuata hatua zilizoelezwa hapo juu, utaweza kuangalia majina ya waliochaguliwa na kufanya maandalizi muhimu kwa ajili ya kuanza masomo ya Kidato cha Tano.

SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

From Five Selection 2025

Waliochaguliwa Vyuo vya Kati 2025/2026

June 9, 2025
From Five Selection 2025

Shule Walizopangiwa Kidato cha Tano 2025/2026 (Orodha na Majina ya Shule Walizopangiwa form five)

June 9, 2025

Tamisemi Uchaguzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati, 2025

June 9, 2025

Form Five Selection 2025 – 2026 (Uchaguzi wa Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati)

June 9, 2025

Selection Form Five 2025 to 2026

June 6, 2025

From five selection 2025 Kagera – Waliochaguliwa kidato cha tano 2025 Kagera

June 6, 2025
Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

Recommended Stories

Haemophilus ducreyi

Dalili za Ugonjwa wa Pangusa, Sababu na Tiba

April 27, 2025

Orodha Ya Shule Za Msingi Wilaya ya Ileje, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

August 30, 2025
Zifahamu shule zote za Sekondari zilizopo katika Manispaa Ya Musoma

Orodha Ya Shule Za Sekondari Manispaa Ya Musoma

May 7, 2025
Majina Ya Waliochaguliwa Chuo Kikuu Cha CAWM

CAWM Selected Applicants 2025/2026 pdf (Majina Ya Waliochaguliwa Chuo Kikuu Cha CAWM)

August 29, 2025
Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Dar es Salaam

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Dar es Salaam

April 14, 2025
Matokeo ya Darasa la Nne

Matokeo ya Darasa la Nne 2024 Singida

January 6, 2025
Matokeo ya Darasa la Saba 2025 (NECTA PSLE Results)

Matokeo ya Darasa la Saba Singida 2025

September 1, 2025
Ajira Portal: Jinsi ya kujisajili na kutuma maombi ya kazi kwenye Ajira Portal Sekretariat ya Ajira (PSRS)

Ajira Portal: Jinsi ya kujisajili na kutuma maombi ya kazi kwenye Ajira Portal Sekretariat ya Ajira (PSRS)

January 16, 2025
From Five Selection 2025

Form Five Selection 2025 Singida – Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2025 Singida

June 6, 2025
  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.