CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI
Kumb. Na. 35/307/01/10 01 AGOSTI, 2025
TANGAZO LA KUITWA KAZINI
Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) anapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 19 Mei, 2025 hadi tarehe 20 Mei, 2025 kuwa majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Aidha, ajira zao zitakuwa rasmi pale vyeti vyao vitakapohakikiwa na kuthibitishwa na mamlaka husika.
Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwa kufika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) tarehe 6, na 7 Agosti, 2025 kuanzia saa tatu kamili asubuhi wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili ili zihakikiwe kabla ya kupewa barua ya ajira.
Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa.
Nyaraka za kuwasilisha ni kama ifuatavyo:
- Vyeti halisi (Original Certificates) na nakala mbili za vyeti hivyo zilizothibitishwa na Mamlaka za kisheria (certified by Advocate/Magistrate) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea;
- Cheti cha kuzaliwa;
- Nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA); na
- Picha ndogo tatu za rangi (three colored passport size photographs).
Orodha ya Waombaji Waliofaulu Usaili
KADA: TUTORIAL ASSISTANT (OPHTHALMOLOGY)
MWAJIRI: MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (MUHAS)
NA | JINA LA MUOMBAJI | ANUANI YA SASA |
---|---|---|
1 | RESTITUTA SIRIL MWORIA | P.O. BOX 7460, UBUNGO, DAR ES SALAAM |
KADA: TUTORIAL ASSISTANT (ANATOMY)
MWAJIRI: MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (MUHAS)
NA | JINA LA MUOMBAJI | ANUANI YA SASA |
---|---|---|
1 | NICE LAW MARCUS. | P.O. BOX 419, MBEYA, MBEYA. |
KADA: TUTORIAL ASSISTANT – RADIOLOGY
MWAJIRI: MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (MUHAS)
NA | JINA LA MUOMBAJI | ANUANI YA SASA |
---|---|---|
1 | CHARLES WILLIAM NICAS | P.O. BOX 11741, MAGU, MWANZA |
KADA: ASSISTANT LECTURER (MICROBIOLOGY AND IMMUNOLOGY)
MWAJIRI: MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (MUHAS)
NA | JINA LA MUOMBAJI | ANUANI YA SASA |
---|---|---|
1 | ZACHARIA LOTHA LAIZER | P.O. BOX 175, KILOMBERO, MOROGORO |
KADA: TUTORIAL ASSISTANT NUTRITION (PHYSIOLOGY)
MWAJIRI: MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (MUHAS)
NA | JINA LA MUOMBAJI | ANUANI YA SASA |
---|---|---|
1 | GILBERT GASTON CHARLES | P.O. BOX 30809, KIBAHA, PWANI. |
KADA: TUTORIAL ASSISTANT (ORAL MAXILLOFACIAL SURGERY)
MWAJIRI: MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (MUHAS)
NA | JINA LA MUOMBAJI | ANUANI YA SASA |
---|---|---|
1 | FREDRICK ANDREW NDANDILA | P.O. BOX 65001, ILALA, DAR ES SALAAM |
KADA: TUTORIAL ASSISTANT (NURSING MANAGEMENT)
MWAJIRI: MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (MUHAS)
NA | JINA LA MUOMBAJI | ANUANI YA SASA |
---|---|---|
1 | IPYANA MBAGA KAJEMBULA | P.O. BOX 65001, ILALA, DAR ES SALAAM |
KADA: TUTORIAL ASSISTANT (CLINICAL NURSING)
MWAJIRI: MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (MUHAS)
NA | JINA LA MUOMBAJI | ANUANI YA SASA |
---|---|---|
1 | EMMANUEL ZACHARIA CHONA | P.O. BOX 11007, KINONDONI, DAR ES SALAAM |
2 | LEAH NOEL BOTTO | P.O BOX 904, DODOMA, DODOMA |
KADA: TUTORIAL ASSISTANT (CLINICAL CHEMISTRY)
MWAJIRI: MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (MUHAS)
NA | JINA LA MUOMBAJI | ANUANI YA SASA |
---|---|---|
1 | BARAKA PATROBA MUGETA | P.O. BOX 996, MUSOMA, MARA. |
KADA: RESEARCH FELLOW TRAINEE (CLINICAL PHARMACY AND PHARMACOLOGY)
MWAJIRI: MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (MUHAS)
NA | JINA LA MUOMBAJI | ANUANI YA SASA |
---|---|---|
1 | HIDAYA SAIDI MGALLAH | P.O. BOX 1277, DODOMA, DODOMA. |
KADA: TUTORIAL ASSISTANT (PHARMACEUTICS)
MWAJIRI: MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (MUHAS)
NA | JINA LA MUOMBAJI | ANUANI YA SASA |
---|---|---|
1 | NEEMA LEONIDAS KAROLI | P.O. BOX 65001, ILALA, DAR ES SALAAM |
KADA: ASSISTANT LECTURER (PHARMACEUTICAL MICROBIOLOGY)
MWAJIRI: MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (MUHAS)
NA | JINA LA MUOMBAJI | ANUANI YA SASA |
---|---|---|
1 | MAXIMILIAN ALEX MAGULYE | P.O. BOX 1988, MOSHI, KILIMANJARO |
KADA: TUTORIAL ASSISTANT (PHARMACEUTICS AND PHARMACY PRACTICE)
MWAJIRI: MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (MUHAS)
NA | JINA LA MUOMBAJI | ANUANI YA SASA |
---|---|---|
1 | CATHERINE DOMINICK MWAISUMBE | P.O. BOX 65001, ILALA, DAR ES SALAAM |
KADA: ASSISTANT LECTURER NUTRITION (COMMUNITY HEALTH)
MWAJIRI: MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (MUHAS)
NA | JINA LA MUOMBAJI | ANUANI YA SASA |
---|---|---|
1 | MARIO SIBAMENYA VENANCE | P.O. BOX 443, BUHIGWE, KIGOMA |
KADA: TUTORIAL ASSISTANT ANTHROPOLOGY (BEHAVIOURAL SCIENCES)
MWAJIRI: MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (MUHAS)
NA | JINA LA MUOMBAJI | ANUANI YA SASA |
---|---|---|
1 | PAUL CHACHA MAHERE | P.O. BOX 55068, UBUNGO, DAR ES SALAAM |
KADA: RESEARCH FELLOW TRAINEE- DIGITAL HEALTH (EPIDEMIOLOGY AND BIOSTATISTICS)
MWAJIRI: MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (MUHAS)
NA | JINA LA MUOMBAJI | ANUANI YA SASA |
---|---|---|
1 | JUNIOR MBEGU KASKAZI | P.O. BOX 966, ILALA, DAR ES SALAAM |
KADA: RESEARCH FELLOW TRAINEE (NATURAL PRODUCTS DEVELOPMENT AND FORMULATION)
MWAJIRI: MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (MUHAS)
NA | JINA LA MUOMBAJI | ANUANI YA SASA |
---|---|---|
1 | NATORIAS MGAYA SALVATORY | P.O. BOX 194, SENGEREMA, MWANZA |
KADA: RESEARCH FELLOW TRAINEE (BIOLOGICAL AND PRE-CLINICAL STUDIES)
MWAJIRI: MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (MUHAS)
NA | JINA LA MUOMBAJI | ANUANI YA SASA |
---|---|---|
1 | DEUSDERIUS CHARLES RUGABANDANA | P.O. BOX 302, SENGEREMA, MWANZA |
Imetolewa na, MAKAMU MKUU WA CHUO, CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI. (MUHAS)
TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI 01-08-2025