TANGAZO LA KUITWA KAZINI (MAJINA YA NYONGEZA)
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 13 hadi 16 Julai, 2025 kuwa, majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwa kufika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jengo la Utawala, Ofisi ya Masijala, Chumba Na. 315 siku ya Jumanne, tarehe 6 Agosti, 2025 kuanzia saa tatu kamili asubuhi, wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili ili ziweze kuhakikiwa kabla ya kupewa barua za ajira.
Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili, watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa.
Nyaraka za kuwasilisha ni kama ifuatavyo:
- Vyeti halisi (Original Certificates and Transcripts) na nakala mbili za vyeti hivyo ambazo zimethibitishwa na Mamlaka za kisheria (certified by Advocate/Magistrate) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea;
- Cheti cha kuzaliwa;
- Nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA); na
- Picha ndogo nne za rangi (four coloured passport size photographs)
- Wasifu binafsi (CV)
MAJINA YA WALIOFAULU USAILI NA KUCHAGULIWA KATIKA KADA MBALIMBALI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM)
NA. | KADA | JINA KAMILI |
---|---|---|
1. | ASSISTANT LECTURER (SPORTS PSYCHOLOGY) | ROBERT NASIBU MWATILA |
2. | ASSISTANT LECTURER (EDUCATIONAL MANAGEMENT) | 1. PINTO JOHN OWINO |
2. STANLEY KENETH NGUKU | ||
3. TUMAINI AMBILIKILE KALINGA | ||
3. | ASSISTANT LECTURER (PUBLISHING) | 1. DIANA JOSAM SHAMI |
2. SOPHIA BAKARI KUSAGA | ||
4. | ASSISTANT LECTURER (SYNTAX) | AGUSTINO SIWAJIBU KAMWAKA |
5. | ASSISTANT LECTURER (PHYSICAL CHEMISTRY) | JULIANA GAITHANI KAUNO |
6. | ASSISTANT LECTURER (ACADEMIC COMMUNICATION) | KASARA BELIAS NGOBOKA |
7. | ASSISTANT LECTURER (QUANTITY SURVEYING) | GATHLETH SIMEON LIHULUKU |
8. | TUTORIAL ASSISTANT (FORENSIC ACCOUNTING) | 1. JOSEPH LIBERATH TEMBA |
2. PRISCA DESDERIUS PUNDUKA | ||
9. | TUTORIAL ASSISTANT (AGRICULTURAL ECONOMICS AND BUSINESS) | HASSAN NYAMWANGA MTAHIMA |
10. | TUTORIAL ASSISTANT (CHINESE LANGUAGE) | TYSON CHINA ANDREA |
11. | TUTORIAL ASSISTANT (SOCIOLOGY) | 1. MUSA MATUTU MANTAWERA |
2. PHOTIUS RWEZAULA GABRIEL | ||
12. | TUTORIAL ASSISTANT (ORTHOPEDICS AND TRAUMA/EMERGENCE MEDICINE/GENERAL SURGERY/PAEDIATRIC AND CHILD HEALTH/CLINICAL PSYCHOLOGY/OBSTETRICS AND GYNECOLOGY/ANESTHESIOLOGIST) | 1. BRENDA RICHARD SANGU |
2. PASCHAL BATISTA KIHWELELA | ||
13. | TUTORIAL ASSISTANT (PETRO PHYSICS) – UDSM | ELIZABETH PHILIP KARAU |
14. | TUTORIAL ASSISTANT (CONSTRUCTION MANAGEMENT) – UDSM | RAPHAELY MEDSON SANGA |
15. | TUTORIAL ASSISTANT (ARCHITECTURE) | LUCY MASESA MASHAURI |
16. | TUTORIAL ASSISTANT (BIOMECHANICS OF SPORTS) | JEFTA MACHIBYA PAULO |
17. | TUTORIAL ASSISTANT (MARINE AND COASTAL ECO – TOURISM) | MARIO PONSIANO MTUNG’E |
18. | TUTORIAL ASSISTANT (LAW) – UDSM | DOMINICUS DANIEL KAGALI |
19. | Tutorial Assistant (THEATRE ARTS) | NEEMA ATHMAN SAID |
Imetolewa na;
MAKAMU MKUU WA CHUO, CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM)
download : TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM 01-08-2025