Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 10-09-2024 na tarehe 24-02-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, barua zao za kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia akaunti zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya “My Applications”, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo na kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.
Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
NA | MAMLAKA / INSTITUTION | AJIRA KADA / POSITION | MAJINA YA WALIOITWA KAZINI / NAMES |
1 | Halmashauri ya Wilaya ya Chato | MWALIMU DARAJA LA III C – KIINGEREZA (ENGLISH) | 1. HAPPY MWELUKA LUSEKELO 2. LETICIA TITUSI MLANGWA 3. GRACE LAWI MBILINYI 4. NELWINA FURAHENDA MSIGWA |
2 | Halmashauri ya Wilaya ya Chato | MWALIMU DARAJA LA IIIA | 1. KISANDUGWA KULWA KIBILO 2. EZEKIEL WAZIRI MVUNGI 3. LEVINA STEVEN MRAMBA 4. RENALDA KAGEMULO EDWARD 5. OLINA YEKONIA KONONGO 6. GETRUDANSIA BONIFASI KIHUNRWA |
3 | Halmashauri ya Wilaya ya Chato | MWALIMU DARAJA LA IIIA | 1. MWANAIDI BWANGA MUSSA 2. KUNDI NG’HUNGU MARTINE 3. ADILIKADIA RENATUS MOFUGA 4. RYDES ELIAS MUGANYIZI 5. ESTER ERICK HYERA |
4 | Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa | DEREVA DARAJA II | 1. DANIEL ELIFARIJI ALLAN |
5 | Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba | MWALIMU DARAJA LA III B – SHULE YA MSINGI | 1. JEROME COLMANI MSANGI 2. PETER ALOYCE LUFUNGULO |
6 | Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba | MWALIMU DARAJA LA III C – KIINGEREZA (ENGLISH) | 1. EDDA MICHAEL YOHANA |
7 | Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba | MWALIMU DARAJA LA III B – HISABATI (MATHEMATICS) | 1. BILIHA EZEKIEL SADOKI |
8 | Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba | MWALIMU DARAJA LA III C – FASIHI YA KIINGEREZA (ENGLISH LITERATURE) | 1. MGENI RAMADHANI CHOMBO |
9 | Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba | MWALIMU DARAJA LA III C – FIZIKIA (PHYSICS) | 1. JUMA ATHUMANI JUMA |
10 | Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba | MWALIMU DARAJA LA III C – HISABATI (MATHEMATICS) | 1. MAGRETH PAUL KIGALA |
11 | Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba | MWALIMU DARAJA LA IIIA | 1. MWAJUMA ABDALLAH DOMOGAZI 2. LEONCIA FAUSTINE JANGOLE 3. NURU SEFU CHOBO |
12 | Halmashauri ya Wilaya ya Newala | MWALIMU DARAJA LA III C – KIINGEREZA (ENGLISH) | 1. CHRISTOPHER ANDERSON MASANGULA 2. JOSIA ENOCK MAKALA |
13 | Halmashauri ya Wilaya ya Newala | MWALIMU DARAJA LA IIIC (BAIOLOJIA) | 1. AGREY JOFREY KYEJO 2. KENEDI ASANTAEL NAFTAL |
14 | Halmashauri ya Wilaya ya Newala | MWALIMU DARAJA LA IIIC (KEMIA) | 1. YAHAYA SUFIANI MSINGWA |
15 | Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) | AFISA UNUNUZI DARAJA LA II (PROCUREMENT OFFICER II) | 1. TARICK SALUMU BWATAMU |
16 | Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) | AFISA UGAVI II (SUPPLIES OFFICER II) | 1. MWANAMVUA KIWERA MBWANA |
17 | Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) | JANITOR II | 1. YOHANA YONA BAHATI |
18 | Chuo Kikuu Ardhi (ARU) | AFISA MTEKNOLOJIA DARAJA LA II – MAABARA (HEALTH LABORATORY SCIENTISTS) | 1. ROSEMARY PETER NKWABI |
19 | Chuo Kikuu Ardhi (ARU) | LEGAL OFFICER II | 1. NASRA AMANI NGUME |
DOWNLOAD PDF YA TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 24-04-2025