Nafasi za Ajira Mpya Jeshi la Polisi Tanzania ,March , 2025 - zoteforum.com
zoteforum.com
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
zoteforum.com
No Result
View All Result

Nafasi za Ajira Mpya Jeshi la Polisi Tanzania ,March , 2025

Zoteforum by Zoteforum
March 21, 2025
in Nafasi za kazi, Portals

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha Sita na Kidato cha Nne wenye sifa zifuatazo:

Sifa za Muombaji

  • Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa. b) Wazazi wake wawe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa. c) Awe amehitimu kidato cha nne au sita kuanzia mwaka 2019 hadi 2024.
  • Kwa waombaji wa kidato cha nne na sita pamoja na wenye Astashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25.
  • Kwa waombaji wa kidato cha nne wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la nne (Division I – IV). Kwa waombaji wenye ufaulu wa daraja la nne (Division IV) wawe na ufaulu wa alama (Points) 26 hadi 28.
  • Kwa waombaji wa kidato cha sita wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la tatu (Division I – III).
  • Wahitimu wa Shahada na Stashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 30.
  • Awe na urefu usiopungua futi tano na inchi nane (5’8”) kwa wanaume, na futi tano inchi nne (5’4”) kwa wanawake.
  • Awe na kitambulisho cha taifa au namba ya utambulisho kutoka mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA).
  • Awe na uwezo wa kuongea lugha ya Kiswahili na Kiingereza kwa ufasaha.
  • Awe na afya njema kimwili na kiakili iliyothibitishwa na daktari wa Serikali.
  • Awe hajaoa/kuolewa au kuwa na mtoto/watoto.
  • Awe hajawahi kutumia dawa za kulevya za aina yoyote.
  • Awe tayari kuhudhuria mafunzo ya awali ya taaluma ya Polisi.
  • Awe hajaajiriwa au hajawahi kuajiriwa na taasisi nyingine ya Serikali.
  • Awe tayari kufanya kazi za Polisi mahali popote Tanzania.
  • Awe tayari kujigharamia katika hatua zote za usaili endapo ataitwa kwenye usaili.
  • Asiwe na alama za kuchorwa mwilini (tattoo).
  • Asiwe na kumbukumbu za uhalifu.
  • Kwa waombaji wenye elimu ya kiwango cha Shahada (NTA level 8), Stashahada (NTA level 6) na Astashahada (NTA Level 5 au NVA Level 3) wanatakiwa wawe na fani zilizoainishwa kwenye tangazo hili.

Utaratibu wa Kutuma Maombi

  1. Waombaji wote wanatakiwa waandike barua za maombi wao wenyewe kwa mkono (Handwriting) bila kusahau namba za simu na watumie anuani ya Mkuu wa Jeshi la Polisi S.L.P 961 DODOMA. Barua hiyo iambatishwe kwenye maombi ikiwa kwenye mfumo wa ‘pdf’.
  2. Waombaji wote wafanye maombi yao kupitia kwenye mfumo wa Ajira wa Polisi (TANZANIA POLICE FORCE – RECRUITMENT PORTAL) unaopatikana kwenye kiunganishi (link) cha tovuti ya Jeshi la Polisi https://ajira.tpf.go.tz. Maombi yatakayowasilishwa kwa njia ya posta, barua pepe (email) au kwa mkono hayatapokelewa.
  3. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 04/04/2025.

DOWNLOAD TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA

Fahamu Jinsi ya Kutuma Maombi ya Ajira za Polisi Tanzania 2025

Fahamu Mfumo Wa Maombi Ya Ajira Wa Polisi – Tanzania Police Force – Recruitment Porta na Jinsi ya Kutuma Maombi ya Ajira za Polisi Online

FANI ZINAZOTAKIWA KWA KILA NGAZI YA ELIMU (TANZANIA BARA)

NA.SHAHADA
1ANESTHESIA
2ANIMAL SCIENCE
3ANTHROPOLOGY
4ARCHITECTURE
5AUTOMOBILE ENGINEERING
6BIOLOGY
7BIOMEDICAL ENGINEERING
8BIOTECHNOLOGY AND LABORATORY SCIENCE
9BOTANY
10CIVIL ENGINEERING
11COMPUTER ENGINEERING
12COMPUTER INFORMATION SYSTEM
13COMPUTER NETWORK AND SECURITY ENGINEERING
14COMPUTER SCIENCE
15CYBER CRIME AND CYBER SECURITY
16CYBER FORENSIC AND CYBER SECURITY
17DATABASE ADMINISTRATION
18ELECTRICAL ENGINEERING
19FILM AND VIDEO PRODUCTION
20FRENCH, PORTUGUES, CHINESE AND ARABIC
21GENERAL AGRICULTURE
22GYNECOLOGY
23JOURNALISM AND MASS COMMUNICATION
24LAND MANAGEMENT AND EVALUATION
25LAW ENFORCEMENT
26MARINE ENGINEERING
27MARINE TRANSPORTATION AND NAUTICAL SCIENCE
28MECHANICAL ENGINEERING
29MEDICAL DOCTOR
30MEDICAL LABORATORY
31MULTIMEDIA CONTENT
32NETWORK ENGINEERING
33NURSING
34PAEDIATRICIAN
35PHARMACY
36PHYSIOTHERAPY
37PSYCHIATRIC NURSE
38QUANTITY SURVEYOR
39RADIOLOGY
40RANGE MANAGEMENT
41REAL ESTATE
42RECORDS AND ARCHIEVE MANAGEMENT
43SHIPPING AND LOGISTICS MANAGEMENT
44SIGN LANGUAGE/SPECIAL NEEDS
45SOFTWARE ENGINEERING
46STATISTICS
47SYSTEM DEVELOPMENT
48TAX MANAGEMENT
49TELECOMMUNICATION AND ELECTRONICS ENGINEERING
50TRANSLATION AND INTERPRETATION
51VETERINARY MEDICINE
STASHAHADA
1ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION
2AUTO ELECTRICAL ENGINEERING
3CARTOGRAPHY
4CLINICAL DENTISTRY
5CLINICAL MEDICINE
6FORENSIC SCIENCE
7GRAPHIC DESIGN, MULTIMEDIA AND ANIMATION
8INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY
9MASTERFISHERMAN
10MUSIC
11NURSING AND MIDWIFERY
12OPTOMETRIST
13PERFORMING AND VISUAL ARTS
14RADAR OPERATION
15SOUND ENGINEERING
16WILDLIFE MANAGEMENT
ASTASHAHADA
1AIR CONDITIONING AND REFREGERATION
2ALUMINUM AND GLASS WORKING
3AUTOBODY REPAIR
4AVIATION QUALITY MANAGER
5AVIATION SAFETY MANAGER
6BOAT PAINTING
7BOAT SKIPPERS FOR AUTOBODY ENGINEERING
8CAR INTERIOR DESIGN
9CAR PAINT TECHNICIAN
10CARPENTRY AND JOINERY
11CLEARING AND FORWARDING
12DIVINITY
13DRONE OPERATION
14ELECTRICAL INSTALLATION
15EXCAVATOR OPERATION
16FILM PRODUCTION
17FITTER AND TURNER
18FORENSIC SCIENCE
19HYDRAULIC AND PNEUMATIC MECHANICS
20INDUSTRIAL ELECTRICAL ENGINEERING
21ISLAMIC KNOWLEDGE
22JUDO, KARATE, BOXING AND TAEKWONDO
23LABORATORY TECHNICIAN
24MANDATORY COURSES
25MARINE ELECTRICAL ENGINEERING
26MASON AND BRICK LAYING
27MEDICAL RECORDS
28MOTOR CYCLE MECHANICS
29MOTOR REWINDING
30MOTOR VEHICLE MECHANICS
31OFFSET PRINTING
32PAINTINGS AND SIGN WRITING
33PERFORMING AND VISUAL ARTS
34PLUMBING AND PIPE FITTINGS
35PRINTING MACHINE OPERATION
36RADIO/ELECTRONICS AND COMMUNICATION TECHNOLOGY
37RATING PART ENGINEERING
38RATING PART NAVIGATION
39SCUBA DIVING
40SEWING MACHINE MAINTAINANCE
41TAILORING
42TRUCK AND HEAVY DUTY MECHANICS
43VETERINARY LABORATORY
44WELDING AND FABRICATIONS

FANI ZINAZOTAKIWA KWA KILA NGAZI YA ELIMU (ZANZIBAR)

Usikose Kusoma na Hizi Pia

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 (Form Six Results)

Chuo cha Excellent College of Health and Allied Sciences – Kibaha: Kozi zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga na Chuo

Chuo cha Elijerry College of Health and Allied Sciences: Kozi zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha City College of Health and Allied Sciences – Mwanza Campus: Kozi, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha Arusha Technical College: Kozi Zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Waliochaguliwa Vyuo vya Kati 2025/2026

Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025 – 2026

Shule Walizopangiwa Kidato cha Tano 2025/2026 (Orodha na Majina ya Shule Walizopangiwa form five)

Tamisemi Uchaguzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati, 2025

Form Five Selection 2025 – 2026 (Uchaguzi wa Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati)

Load More
Buy JNews Buy JNews Buy JNews
ADVERTISEMENT
NA.SHAHADA
1ACCOUNTING AND FINANCE
2CIVIL ENGINEERING
3COMPUTER SCIENCE
4ELECTRONICS AND TELECOMMUNICATION
5GEOGRAPHY AND ENVIRONMENTAL STUDIES
6INSURANCE AND RISK MANAGEMENT
7JOURNALISM AND BROADCASTING
8LAW/LAW ENFORCEMENT
9MEDICAL DOCTOR
10MEDICAL LABORATORY
11MULTIMEDIA TECHNOLOGY
12NURSE
13PHARMACY
14PROCUMENT AND SUPPLY MANAGEMENT
15PSYCHIATRIST
16RADIOLOGY
STASHAHADA
1ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION
2CIVIL ENGINEERING
3CLINICAL MEDICINE
4COMPUTER SCIENCE
5COUNSELLING AND PSYCHOLOGY
6ELECTRICAL ENGINEERING
7ELECTRONICS AND TELECOMMUNICATION
8HOSPITALITY AND TOURISM MANAGEMENT
9HUMAN RESOURCE MANAGEMENT
10INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY
11MECHANICAL ENGINEERING
12MEDICAL LABORATORY
13NURSING AND MIDWIFERY
14PHARMACEUTICAL SCIENCE
15PHYSIOTHERAPY
16RECORD AND ARCHIEVES MANAGEMENT
17SCIENCE WITH EDUCATION
18SIGN LANGUAGE
ASTASHAHADA
1CARPENTRY AND JOINERY
2DRIVING
3ELECTRICAL INSTALLATION
4HOTEL MANAGEMENT
5HOUSE KEEPING
6MASON AND BRICK LAYING
7PLUMBING AND PIPE FITTINGS
8TAILORING

Imetolewa na:

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, S.L.P 961, DODOMA. 20/03/2025.

SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

Nafasi Za Kazi/ Ajira mpya Za Ualimu Disemba 2024 Sekretarieti ya Ajira (Nafasi 3633)

Serikali Yamwaga Ajira Za Ualimu 1,714 , Fahamu jinsi ya kutuma maombi sifa na Vigezo hapa

June 6, 2025
Rais Samia apandisha mshahara kwa watumishi kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

Rais Samia apandisha mshahara kwa watumishi kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

May 1, 2025

Nafasi za Kazi za kuandikishwa jeshini (JWTZ) kwa wenye fani mbalimbali

April 30, 2025

Mtokeo ya Usaili TRA 2025 : Majina ya waliochaguliwa kushiriki Usahili wa Mahojiano na Vitendo TRA

April 27, 2025

 Nafasi Za Kazi Serikalini katika Chuo Kikuu Cha Sayansi Na Teknolojia Mbeya (Must)

April 26, 2025

Majina ya walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma 24-04-2025 (Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma)

April 24, 2025
Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

Recommended Stories

Sifa Za Kujiunga Na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam University College of Education (DUCE)

Sifa Za Kujiunga Na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam University College of Education (DUCE)

April 18, 2025
Ada Na Kozi Zinazotolewa Na Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST Courses And Fees)

Ada Na Kozi Zinazotolewa Na Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST Courses And Fees)

April 15, 2025
Maombi ya Udahili Chuo Kikuu cha State University of Zanzibar (SUZA Application )

Maombi ya Udahili Chuo Kikuu cha State University of Zanzibar (SUZA Application 2025/2026)

April 18, 2025
Orodha Ya Shule Za Sekondari Wilaya Ya Liwale

Orodha Ya Shule Za Sekondari Wilaya Ya Liwale

May 6, 2025
NAFASI ZA KAZI 6 – Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

NAFASI ZA KAZI 6 – Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

November 21, 2024
Zijue Dalili za Saratani (kansa), Sababu na Tiba

Zijue Dalili za Saratani (kansa), Sababu na Tiba

April 27, 2025
Matokeo ya Kidato cha pili

Matokeo ya Kidato cha Pili 2024 Arusha

January 4, 2025
ugonjwa wa Asidi Reflux

Dalili za ugonjwa wa Asidi Reflux, Sababu na Tiba

April 27, 2025
Kozi za NACTE

Kozi ya Ordinary Diploma in Information System and Network Technology, Sifa na Vigezo, Vyuo Vinavyotoa

January 17, 2025
  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.