zoteforum.com
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
zoteforum.com
No Result
View All Result

Wanahitajika Madereva 50 katika kampuni ya Unique Consultancy Services

Nafasi 50 za Madereva

Kampuni ya Unique Consultancy Services Co. Ltd inatangaza nafasi 50 za madereva wa matrekta, mabasi makubwa, mabasi madogo, pikapu, magari ya kubeba maji, matanki ya mafuta, malori na waendeshaji crane katika mradi uliopo kwenye maeneo ya Tanga, Kagera, Geita na Tabora.

Sifa za Mwombaji

  1. Lazima awe na uelewa mzuri wa sheria za usalama barabarani na aweze kuzitafsiri.
  2. Lazima asiwe na umri chini ya miaka 25 na asiwe zaidi ya miaka 45.
  3. Lazima awe na leseni halali ya kuendesha chombo husika na isiyokuwa imeisha muda wake.
  4. Lazima awe amehudhuria mafunzo ya ufundi stadi na kupata cheti kutoka katika chuo kinachotambuliwa na serikali.
  5. Lazima awe tayari kwenda na kufanya kazi katika maeneo ya mradi, chakula na malazi yatatolewa bila malipo.

Jinsi ya Kutuma Maombi

Waombaji wote wanapaswa kutuma maombi yao kupitia baruapepe uccjobs2025@gmail.com kabla ya tarehe 15 Juni 2025, wakiambatanisha wasifu wao (CV) na nyaraka nyingine zote kwenye mfumo wa pdf, zote kwa pamoja.

ADVERTISEMENT

Usikose Kusoma na Hizi Pia

 Nafasi Za Kazi Serikalini katika Chuo Kikuu Cha Sayansi Na Teknolojia Mbeya (Must)

Majina ya walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma 24-04-2025 (Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma)

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA MOSHI

Nafasi za kazi benki ya NMB , Senior Credit Analyst (Nafasi 2)

Nafasi ya kazi, Anahitajika Afisa Rasilimali Watu katika Taasisi ya Ifakara Health Institute

Anahitajika Afisa Fedha wa Misaada katika World Vision

Anahitajika Afisa wa Ufatiliaji na Tathmini katika Shirika la World Vision

Nafasi ya kazi: Meneja wa Mradi , Shirika la World Vision

Nafasi ya kazi, anahitajika Dereva katika shirika la World Vision

Nafasi za kazi katika kampuni ya EACOP (Bomba la Mafuta)

Load More
SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

VITUO VYA USAILI WA MAHOJANO WA MDAs & LGAs UTAKAOFANYIKA TAREHE 22 HADI 24 OKTOBA, 2025

VITUO VYA USAILI WA MAHOJANO WA MDAs & LGAs UTAKAOFANYIKA TAREHE 22 HADI 24 OKTOBA, 2025

Serikali yatangaza Nafasi za Kazi za ualimu (10,026)

Serikali yatangaza Nafasi za Kazi za ualimu (10,026)

Nafasi za kazi Afisa Ufugaji Nyuki Msaidizi Daraja la II (Assistant Beekeeping Officer II)

Nafasi za kazi Afisa Maendeleo ya Michezo Msaidizi Daro la II

Nafasi za kazi MSANIFU MAJENGO DARAJA LA II (ARCHITECT GRADE II)

Nafasi za kazi Afisa Ukuzaji Viumbe Kwenye Maji Daraja la II (Aquaculture Officer Grade II)

Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.