zoteforum.com
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
zoteforum.com
No Result
View All Result

Majina ya walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma 24-04-2025 (Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma)

Zoteforum by Zoteforum
April 24, 2025
in Nafasi za kazi

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 10-09-2024 na tarehe 24-02-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, barua zao za kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia akaunti zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya “My Applications”, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo na kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

ADVERTISEMENT
NAMAMLAKA / INSTITUTIONAJIRA KADA / POSITIONMAJINA YA WALIOITWA KAZINI / NAMES
1Halmashauri ya Wilaya ya ChatoMWALIMU DARAJA LA III C – KIINGEREZA (ENGLISH)1. HAPPY MWELUKA LUSEKELO
2. LETICIA TITUSI MLANGWA
3. GRACE LAWI MBILINYI
4. NELWINA FURAHENDA MSIGWA
2Halmashauri ya Wilaya ya ChatoMWALIMU DARAJA LA IIIA1. KISANDUGWA KULWA KIBILO
2. EZEKIEL WAZIRI MVUNGI
3. LEVINA STEVEN MRAMBA
4. RENALDA KAGEMULO EDWARD
5. OLINA YEKONIA KONONGO
6. GETRUDANSIA BONIFASI KIHUNRWA
3Halmashauri ya Wilaya ya ChatoMWALIMU DARAJA LA IIIA1. MWANAIDI BWANGA MUSSA
2. KUNDI NG’HUNGU MARTINE
3. ADILIKADIA RENATUS MOFUGA
4. RYDES ELIAS MUGANYIZI
5. ESTER ERICK HYERA
4Ofisi ya Mkuu wa Mkoa IringaDEREVA DARAJA II1. DANIEL ELIFARIJI ALLAN
5Halmashauri ya Manispaa ya BukobaMWALIMU DARAJA LA III B – SHULE YA MSINGI1. JEROME COLMANI MSANGI
2. PETER ALOYCE LUFUNGULO
6Halmashauri ya Manispaa ya BukobaMWALIMU DARAJA LA III C – KIINGEREZA (ENGLISH)1. EDDA MICHAEL YOHANA
7Halmashauri ya Manispaa ya BukobaMWALIMU DARAJA LA III B – HISABATI (MATHEMATICS)1. BILIHA EZEKIEL SADOKI
8Halmashauri ya Manispaa ya BukobaMWALIMU DARAJA LA III C – FASIHI YA KIINGEREZA (ENGLISH LITERATURE)1. MGENI RAMADHANI CHOMBO
9Halmashauri ya Manispaa ya BukobaMWALIMU DARAJA LA III C – FIZIKIA (PHYSICS)1. JUMA ATHUMANI JUMA
10Halmashauri ya Manispaa ya BukobaMWALIMU DARAJA LA III C – HISABATI (MATHEMATICS)1. MAGRETH PAUL KIGALA
11Halmashauri ya Manispaa ya BukobaMWALIMU DARAJA LA IIIA1. MWAJUMA ABDALLAH DOMOGAZI
2. LEONCIA FAUSTINE JANGOLE
3. NURU SEFU CHOBO
12Halmashauri ya Wilaya ya NewalaMWALIMU DARAJA LA III C – KIINGEREZA (ENGLISH)1. CHRISTOPHER ANDERSON MASANGULA
2. JOSIA ENOCK MAKALA
13Halmashauri ya Wilaya ya NewalaMWALIMU DARAJA LA IIIC (BAIOLOJIA)1. AGREY JOFREY KYEJO
2. KENEDI ASANTAEL NAFTAL
14Halmashauri ya Wilaya ya NewalaMWALIMU DARAJA LA IIIC (KEMIA)1. YAHAYA SUFIANI MSINGWA
15Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT)AFISA UNUNUZI DARAJA LA II (PROCUREMENT OFFICER II)1. TARICK SALUMU BWATAMU
16Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT)AFISA UGAVI II (SUPPLIES OFFICER II)1. MWANAMVUA KIWERA MBWANA
17Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT)JANITOR II1. YOHANA YONA BAHATI
18Chuo Kikuu Ardhi (ARU)AFISA MTEKNOLOJIA DARAJA LA II – MAABARA (HEALTH LABORATORY SCIENTISTS)1. ROSEMARY PETER NKWABI
19Chuo Kikuu Ardhi (ARU)LEGAL OFFICER II1. NASRA AMANI NGUME

DOWNLOAD PDF YA TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 24-04-2025

Usikose Kusoma na Hizi Pia

 Nafasi Za Kazi Serikalini katika Chuo Kikuu Cha Sayansi Na Teknolojia Mbeya (Must)

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA MOSHI

Nafasi za kazi benki ya NMB , Senior Credit Analyst (Nafasi 2)

Nafasi ya kazi, Anahitajika Afisa Rasilimali Watu katika Taasisi ya Ifakara Health Institute

Anahitajika Afisa Fedha wa Misaada katika World Vision

Anahitajika Afisa wa Ufatiliaji na Tathmini katika Shirika la World Vision

Nafasi ya kazi: Meneja wa Mradi , Shirika la World Vision

Nafasi ya kazi, anahitajika Dereva katika shirika la World Vision

Nafasi za kazi katika kampuni ya EACOP (Bomba la Mafuta)

Nafasi 4 za Ajira Chuo Kikuu cha KCMC

Load More
SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

Nafasi za Kazi Account Developer Coca-Cola Kwanza – Nafasi za Kazi Januari 2026

Nafasi za Kazi Account Developer Coca-Cola Kwanza – Nafasi za Kazi Januari 2026

Nafasi ya Kazi Sales & Reservations Agent QR Travel – Nafasi za Kazi Januari 2026

Nafasi za Kazi Valuation Interns at RINAZ Proper Consult – Nafasi za Kazi Januari 2026

Nafasi za Kazi Valuation Interns RINAZ Proper Consult – Nafasi za Kazi Januari 2026

Nafasi za kazi Halmashauri Wilaya ya Buchosa (15 Januari, 2026)

VITUO VYA USAILI WA MAHOJANO WA MDAs & LGAs UTAKAOFANYIKA TAREHE 22 HADI 24 OKTOBA, 2025

Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.