zoteforum.com
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
zoteforum.com
No Result
View All Result

HESLB Yawapangia Mikopo Wanafunzi 873 Wa Stashahada Walioomba Kwenye Dirisha La Mwezi Machi 2025

Zoteforum by Zoteforum
May 6, 2025
in HESLB

Wanafunzi 873 wamepangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 1.9 Bilioni

HESLB inawatangazia wanafunzi wote walioomba mikopo kwa ajili ya dirisha la mwezi Machi, kwamba jumla ya waombaji 873 wamepangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 1,944,922,500.00.

Katika awamu hii, mikopo imepangwa kama ifuatavyo:

          – Chakula na Malazi (MA) yenye thamani ya TZS 1,519,788,750.00

          – Ada ya Mafunzo (TU) yenye thamani ya TZS 408,433,750.00 na

          – Vitabu na viandikwa (BS) yenye thamani ya TZS 16,700,000.00.

Kwa taarifa hii, wanafunzi walioomba mikopo wanashauriwa kuangalia taarifa zao kupitia akaunti walizoombea mikopo (SIPA). Wanafunzi husika pia watatakiwa kujisajili katika mfumo wa malipo wa kidigitali (DiDis) kupitia Maafisa Mikopo wa vyuo vyao.

Itakumbukwa kuwa Dirisha la mwezi Machi lilifunguliwa tarehe 15 Januari 2025 hadi 15 Februari 2025.

Usikose Kusoma na Hizi Pia

Chuo cha Imperial College of Health and Allied Sciences: Kozi Zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha Kisare College of Health Sciences: Kozi Zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha Manyara Institute of Health and Allied Sciences: Kozi Zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha Clinical Officers Training Centre Kigoma: Kozi zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha Litembo Health Training Institute: Kozi zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha Hisani Institute of Health and Allied Sciences: Kozi zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha Military College of Medical Sciences – Zanzibar Campus: Kozi zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha Kiuma College of Health and Allied Sciences: Kozi zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga na Chuo

Chuo cha Mizpah Health Institute – Misungwi: Kozi Zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Chuo cha Makambako Institute of Health Sciences: Kozi Zinazotolewa, Maombi ya Udahili, Ada za Masomo, na Fomu za Kujiunga

Load More
Buy JNews Buy JNews Buy JNews
ADVERTISEMENT

Hadi kufikia tarehe 02 Mei, 2025, jumla ya wanafunzi 8,438 wa stashahada wamenufaika na mikopo yenye thamani ya TZS 22,072,267,601.00 kwa mwaka 2024/2025.

SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

Jinsi ya Kuingia/Kulogin Kwenye Akaunti ya HESLB(Login as registered user, continuous, sipa account)

Jinsi ya Kuingia/Kulogin Kwenye Akaunti ya HESLB(Login as registered user, continuous, sipa account)

March 30, 2025
HESLB Majina ya Waliopata Mkopo

HESLB Majina ya Waliopata Mkopo 2025/2026 PDF (HESLB Loan Allocation List PDF)

March 30, 2025

Jinsi ya Kutuma Maombi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB Online Application 2025/2026)

March 30, 2025
Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

Recommended Stories

Haemophilus ducreyi

Dalili za Ugonjwa wa Pangusa, Sababu na Tiba

April 27, 2025

Orodha Ya Shule Za Msingi Wilaya ya Ileje, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

August 30, 2025
Zifahamu shule zote za Sekondari zilizopo katika Manispaa Ya Musoma

Orodha Ya Shule Za Sekondari Manispaa Ya Musoma

May 7, 2025
Majina Ya Waliochaguliwa Chuo Kikuu Cha CAWM

CAWM Selected Applicants 2025/2026 pdf (Majina Ya Waliochaguliwa Chuo Kikuu Cha CAWM)

August 29, 2025
Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Dar es Salaam

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Dar es Salaam

April 14, 2025
Matokeo ya Darasa la Nne

Matokeo ya Darasa la Nne 2024 Singida

January 6, 2025
Matokeo ya Darasa la Saba 2025 (NECTA PSLE Results)

Matokeo ya Darasa la Saba Singida 2025

September 1, 2025
Ajira Portal: Jinsi ya kujisajili na kutuma maombi ya kazi kwenye Ajira Portal Sekretariat ya Ajira (PSRS)

Ajira Portal: Jinsi ya kujisajili na kutuma maombi ya kazi kwenye Ajira Portal Sekretariat ya Ajira (PSRS)

January 16, 2025
From Five Selection 2025

Form Five Selection 2025 Singida – Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2025 Singida

June 6, 2025
  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.