Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Makete (Madereva Daraja La Ii - Nafasi 12) - zoteforum.com
zoteforum.com
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
zoteforum.com
No Result
View All Result

Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Makete (Madereva Daraja La Ii – Nafasi 12)

Zoteforum by Zoteforum
July 27, 2025
in Nafasi za kazi

Halmashauri ya Wilaya ya Makete kupitia Kibali cha Ajira mpya chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 chenye kada ya Dereva Daraja la II nafasi (12) kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete anawatangazia nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa Watanzania wote wenye sifa za kujaza nafasi hizo kama ilivyoainishwa hapa chini:

1.0 DEREVA DARAJA LA II – NAFASI 12

1.1.1 Kazi / Majukumu ya Dereva Daraja la II

i. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari, ii. Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi, iii. Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari, iv. Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali, v. Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari, vi. Kufanya usafi wa gari, vii. Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake, viii. Pamoja na kazi zingine utakazopangiwa na Mwajiri wako.


2.1.2 Sifa za Mwombaji

  • Awe na Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Sita (VI) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali.
  • Pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika.
  • Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

2.1.3 Ngazi ya Mshahara

Usikose Kusoma na Hizi Pia

No Content Available
Load More
Buy JNews Buy JNews Buy JNews
ADVERTISEMENT
  • Kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Serikali – TGS B1

Masharti ya Jumla

i. Waombaji wote wawe ni raia wa Tanzania na wenye umri kuanzia miaka 18 hadi isiyozidi miaka 45. ii. Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi na wanapaswa kuainisha kwa mfumo wa kuombea ajira ulemavu walionao kwa ajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. iii. Waombaji wote waambilishe maelezo binafsi yaliyojitosheleza (Detailed Curriculum Vitae) yenye anuani inayotumika, namba za simu zinazopatikana na anuani ya barua pepe (E-mail address) pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu wa kuaminika. iv. Maombi yote yaambatane na vyeti vya elimu na taaluma vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili, ikiwemo vyeti vya Kidato cha Nne au Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.

  • Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates
  • Cheti cha mtihani wa Kidato cha IV na VI
  • Cheti cha Kompyuta (Computer Certificate)
  • Vyeti vya Kitaaluma (Professional Certificate from Respective Boards) v. “Testimonial”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati ya matokeo ya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita (Form IV and Form VI Results Slips) HAYATAKUBALIWA. vi. Waombaji wa kazi wa kada ya Dereva II wenye leseni Daraja E au C wanapaswa kuambatisha vyeti vya mafunzo ya udereva vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika. vii. Waombaji waliosoma nje ya nchi wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na vimethibitishwa na mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE). viii. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba, isipokuwa kama wana kibali kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi. ix. Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika waraka Na. CAC.45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010. x. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi, wahusika watachukuliwa hatua za kisheria. xi. Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 07/08/2025. xii. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Makete S.L.P. 6 MAKETE

xiii. Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo: https://portal.ajira.go.tz/ (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’).

xiv. Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA.


Imetolewa na: Ligobert W. Kalisa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya Makete

SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

Nafasi za Kazi Kilombero Sugar, Nafasi 26 | Julai 2025

Nafasi za Kazi Kilombero Sugar, Nafasi 26 | Julai 2025

July 27, 2025
Nafasi za Kazi GGM – Julai 2025

Nafasi za Kazi GGM – Julai 2025

July 27, 2025

Nafasi za kazi YAS Tanzania – JULAI 2025

July 27, 2025

NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MALINYI 24-07-2025

July 27, 2025

Serikali Yamwaga Ajira Za Ualimu 1,714 , Fahamu jinsi ya kutuma maombi sifa na Vigezo hapa

June 6, 2025

Rais Samia apandisha mshahara kwa watumishi kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

May 1, 2025
Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

Recommended Stories

Jinsi ya kupata namba ya NIDA Online (Fahamu Namba ya NIDA (NIN))

Jinsi ya kupata namba ya NIDA Online (Fahamu Namba ya NIDA (NIN))

March 20, 2025
Majina Ya Waliochaguliwa Chuo Kikuu Cha SUA

Majina Ya Waliochaguliwa Chuo Kikuu Cha SUA 2025/2026 (SUA Selected Applicants)

April 19, 2025
Dalili za Ugonjwa wa Nimonia kwa Watoto, Sababu na Tiba

Dalili za Ugonjwa wa Nimonia kwa Watoto, Sababu na Tiba

April 27, 2025
Matokeo ya Darasa la Saba 2024 (NECTA PSLE Results)

Matokeo ya Darasa la Saba Singida 2024

October 29, 2024
Matokeo ya Kidato cha nne 2024

Matokeo ya Kidato cha nne 2024 Rukwa

January 22, 2025
Fahamu Ugonjwa wa Figo kwa Watoto, Sababu, Dalili Zake na Tiba

Dalili za Ugonjwa wa Figo kwa Watoto, Sababu na Tiba

April 27, 2025
Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Nne

Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2024 pdf, Novemba 2024: CSEE EXAM TIMETABLE 2024

October 15, 2024
NAFASI YA KAZI: ENGINEER II (MECHANICAL ENGINEERING) – 4 POST – Shirika la Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO)

NAFASI YA KAZI: ENGINEER II (INDUSTRIAL ENGINEER).. – 1 POST – Shirika la Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO)

November 21, 2024
Fursa za Mafunzo kwa Vitendo (Internship) Benki ya Stanbic Aprili 2025

Fursa za Mafunzo kwa Vitendo (Internship) Benki ya Stanbic Aprili 2025

April 23, 2025
  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.