zoteforum.com
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
zoteforum.com
No Result
View All Result

NAFASI ZA KAZI (14) HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA 01-08-2025

Zoteforum by Zoteforum
August 2, 2025
in Nafasi za kazi

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa amepokea kibali cha Ajira mpya kutoka kwa Katibu Mkuu OR – Utumishi chenye Kumb. Na. FA. 97/228/01/A/25 cha tarehe 29.04.2025. Hivyo Watanzania wote wenye sifa wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo:


1.1 DEREVA DARAJA LA II – NAFASI 05

1.1.1 KAZI NA MAJUKUMU

i. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama ya gari; ii. Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi; iii. Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari; iv. Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali; v. Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari; vi. Kufanya usafi wa gari; na vii. Kufanya kazi nyingine kadri utakavyoelekezwa na msimamizi.

1.1.2 SIFA ZA MWOMBAJI

  • Kuajiriwa wenye cheti cha kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika.
  • Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

1.1.3 MSHAHARA

  • Mshahara atalipwa kwa kuzingatia viwango vya Serikali TGS B1.

1.2 MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II – NAFASI 04

1.2.1 KAZI NA MAJUKUMU

i. Kuorodhesha barua zinazoingia kwenye regista (incoming correspondence register); ii. Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya Taasisi (outgoing correspondence register); iii. Kusambaza majalada kwa watendaji (Action officers); iv. Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji; v. Kurudisha majalada kwenye shabaha/kabati la majalada (racks/filling cabinets) au mahala pengine yanapohifadhiwa; na vi. Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (File tracking).

1.2.2 SIFA ZA MWOMBAJI

  • Awe amehitimu kidato cha Nne au Sita mwenye Stashahada (Diploma) katika fani ya utunzaji wa kumbukumbu kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali na mwenye ujuzi wa kompyuta.

1.2.3 NGAZI YA MSHAHARA

  • Kwa kuzingatia Ngazi za Mishahara ya Serikali – TGS C.

1.3 MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – NAFASI 05

1.3.1 KAZI NA MAJUKUMU

i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida na za siri; ii. Kupokea wageni na kuwasaili shida zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa; iii. Kutunza taarifa na kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine; iv. Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi; v. Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa walio katika Idara/Kitengo/Sehemu husika; vi. Kukusanya, kutunza na kuyarejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika; vii. Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mbalimbali; na viii. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi.

1.3.2 SIFA ZA MWOMBAJI

  • Awe amehitimu kidato cha Nne au Sita mwenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au Cheti cha NTA level 6 ya uhazili.
  • Aidha, wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 100 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile Word, Excel, PowerPoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

1.3.3 NGAZI YA MSHAHARA

  • Kwa kuzingatia Ngazi za Mishahara ya Serikali – TGS C.

MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI

i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania wenye umri wa miaka 18 na usiozidi miaka 45.

ii. Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi na wanapaswa kuainisha kwenye Mfumo wa kuombea ajira ulemavu walionao kwa ajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.

iii. Waombaji kazi wa kada ya Dereva II wenye leseni Daraja E au C wanapaswa kuambatisha vyeti vya mafunzo ya Udereva vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika.

Usikose Kusoma na Hizi Pia

NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA NANYUMBU 02-08-2025

WALIOITWA KAZINI CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI 01-08-2025

WALIOITWA KAZINI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM 01-08-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI KITUO CHA ZANA ZA KILIMO NA TEKNOLOJIA VIJIJINI (CAMARTEC) 01-08-2025

NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA KIGOMA UJIJI 01-08-2025

NAFASI ZA KAZI (15) HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU 01-08-2025

NAFASI ZA KAZI (7)HALMASHAURI YA MJI WA BABATI 01-08-2025

NAFASI ZA KAZI (7) HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA 01-08-2025

NAFASI ZA KAZI (23) CHUO CHA MAJI 01-08-2025

NAFASI ZA KAZI (10) HALMASHAURI YA WILAYA YA BARIADI 31-07-2025

Load More
Buy JNews Buy JNews Buy JNews
ADVERTISEMENT

iv. Waombaji wote waambatanishe maelezo binafsi yaliyojitosheleza (Detail Curriculum Vitae) yenye anuani inayotumika, namba za simu zinazopatikana na anuani ya barua pepe (E-mail address) pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu wa kuaminika.

v. Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na. CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.

vi. Maombi yote yaambatane na vyeti vya Elimu na Taaluma vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya Kidato cha Nne au Kidato cha Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificate – Cheti cha Mtihani wa Kidato cha Nne na cha Sita, Computer Certificate, – Vyeti vya Kitaaluma (Professional Certificate from Respective Boards).

vii. “Testimonials”, “Provisional Results”, Statement of results, hati ya matokeo ya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.

viii. Waombaji waliosoma nje ya Nchi wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na vimethibitishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).

ix. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.

x. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.

xi. Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 14 Agosti, 2025.

xii. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya Elimu. Anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:

Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, 12 Njia Panda ya Mgama, S. L. P 108, IRINGA.

xiii. Maombi yote ya kazi yatumwe kwenye mfumo wa Kielekroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa “Recruitment Portal”.


Tangazo hili limetolewa na; Mkurugenzi Mtendaji (W) IRINGA

SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

NAFASI ZA KAZI 6 – Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA NANYUMBU 02-08-2025

August 2, 2025
NAFASI ZA KAZI 6 – Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

WALIOITWA KAZINI CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI 01-08-2025

August 2, 2025

WALIOITWA KAZINI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM 01-08-2025

August 2, 2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI KITUO CHA ZANA ZA KILIMO NA TEKNOLOJIA VIJIJINI (CAMARTEC) 01-08-2025

August 2, 2025

NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA KIGOMA UJIJI 01-08-2025

August 2, 2025

NAFASI ZA KAZI (15) HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU 01-08-2025

August 2, 2025
Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

Recommended Stories

Dalili za Ugonjwa wa UTI, Sababu na Tiba

Dalili za Ugonjwa wa UTI, Sababu na Tiba

April 27, 2025
NECTA kutangaza Matokeo Darasa la Nne na Kidato cha Pili 2024 leo tarehe 04/01/2024

NECTA kutangaza Matokeo Darasa la Nne na Kidato cha Pili 2024 leo tarehe 04/01/2024

January 5, 2025
Al-Hilal vs Yanga - CAF Champions League

Matokeo ya Al-Hilal vs Yanga – CAF Champions League

January 13, 2025
Orodha Ya Shule Za Sekondari Wilaya Ya Kaliua, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

Orodha Ya Shule Za Sekondari Wilaya Ya Kaliua, Matokeo, Majina ya Waliochaguliwa na Utaratibu wa Kujiunga na Masomo

May 13, 2025
Maombi ya Udahili Chuo Kikuu cha Tanzania Institute of Accountancy

Maombi ya Udahili Chuo Kikuu cha Tanzania Institute of Accountancy (TIA Application 2025/2026)

April 18, 2025
NAFASI YA KAZI: ENGINEER II (MECHANICAL ENGINEERING) – 4 POST – Shirika la Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO)

NAFASI YA KAZI: ENGINEER II (BIOMEDICAL ENGINEER) – 1 POST – Shirika la Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO)

November 21, 2024
Jinsi ya Kutuma Maombi ya Udahili wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU Application 2025/2026)

Jinsi ya Kutuma Maombi ya Udahili wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU Application 2025/2026)

April 18, 2025
Nafasi ya kazi, anahitajika Dereva katika shirika la  World Vision

Anahitajika Afisa Fedha wa Misaada katika World Vision

April 23, 2025
Kozi za NACTE

Kozi ya Ordinary Diploma in Agriculture Production, Sifa na Vigezo, Vyuo Vinavyotoa

January 19, 2025
  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.