Zoteforum
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
Zoteforum
No Result
View All Result

NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA NANYUMBU 02-08-2025

Zoteforum by Zoteforum
August 2, 2025
in Nafasi za kazi

Tangazo La Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Nanyumbu

Utangulizi

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu kupitia kibali cha ajira mpya chenye kumb. Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025 chenye nafasi ya Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja II (4) na nafasi ya Dereva Daraja II (5) kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Hivyo Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu anatangaza nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi hizo kama ifuatavyo:


1.0 Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja II (Nafasi 04)

1.1 Majukumu ya Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja II

  • Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida na za siri
  • Kupokea wageni na kuwasilisha shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa
  • Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine
  • Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi
  • Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika
  • Kukusanya, kutunza na kuyarejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika
  • Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mbalimbali
  • Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi

1.2 Sifa za Mombaaji

  • Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six)
  • Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili
  • Kufuzu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza kwa maneno 100 kwa dakika
  • Kuwa na ujuzi wa kutumia programu za kompyuta za ofisi kama: Word, Excel, PowerPoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali

1.3 Ngazi ya Mshahara

  • Kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Serikali – TGS C1

2.0 Dereva Daraja la II (Nafasi 05)

2.1 Majukumu ya Dereva Daraja la II

  • Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari
  • Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi
  • Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari
  • Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali
  • Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari
  • Kufanya usafi wa gari
  • Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake
  • Pamoja na kazi zingine utakazopangiwa na Mwajiri wako

2.2 Sifa za Mombaaji

  • Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Sita (VI)
  • Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari
  • Experience ya kazi ya angalau mwaka mmoja bila kusababisha ajali
  • Vyeti vya mafunzo ambayo vinatoa sifa ya kupata madaraja husika
  • Mahudhurio ya mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari (Basic Driving Course) kutoka VETA au chuo kinachotambuliwa na Serikali

2.3 Ngazi ya Mshahara

  • Kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Serikali – TGS B1

3.0 Masharti ya Jumla kwa Waombaji Kazi

  • Waombaji wote wawe ni raia wa Tanzania na wenye umri kuanzia miaka 18 hadi 45
  • Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi na wanapaswa kuainisha ulemavu wao kwenye Mfumo wa kuombea ajira
  • Waombaji waambatise maelezo binafsi (Detail Curriculum Vitae) yenye anuani, namba za simu na barua pepe pamoja na majina ya wadhamini watatu wa kuaminika
  • Maombi yaambatane na vyeti vya Elimu na Taaluma vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili, ikiwemo vyeti vya Kidato cha Nne au Sita na vyeti vya mafunzo mbalimbali
  • “Testimonial“, “Provisional Results“, “Statement of results“ na hati za matokeo ya Kidato cha Nne na Sita (Form IV and VI Results Slips) HAVITAKUBALIWA
  • Waombaji wa kazi za Dereva waambatise vyeti vya mafunzo na leseni husika
  • Waombaji waliostaafu katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba kazi bila kibali kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi
  • Waombaji waliopo katika Utumishi wa Umma wasiendeleze kuomba kazi ila kama wanapata kibali maalum
  • Kuwasilishwa kwa taarifa na sifa za kughushi kutachukuliwa hatua za kisheria
  • Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 14/8/2025

4.0 Jinsi ya Kuomba

  • Maombi ya kazi yatumwe pamoja na barua ya maombi ya kazi iliyosainiwa, vyeti vya elimu, na anuani kwa: MKURUGENZI MTENDAJI, HALMASHAURI YA WILAYA YA NANYUMBU, S.L.P 246, NANYUMBU – MTWARA
  • Maombi yote yatumwe kupitia mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani: https://portal.ajira.go.tz/
  • Maombi yanayotumwa nje ya utaratibu huu hayatatafikiwa

Imetolewa na:

Ibrahim J. Mwanauta Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA NANYUMBU 02-08-2025

ADVERTISEMENT

Usikose Kusoma na Hizi Pia

Territory brand lead at Onfon Microfinance Tanzania

Form Five Selection 2026 Pwani – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Pwani

Form Five Selection 2026 Mwanza – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Mwanza

Form Five Selection 2026 Morogoro – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Morogoro

Form Five Selection 2026 Mara – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Mara

Form Five Selection 2026 Kigoma – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Kigoma

Form Five Selection 2025 Kilimanjaro – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025 Kilimanjaro

Form Five Selection 2026 Lindi – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 mkoa wa Lindi

Form Five Selection 2026 Manyara – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Manyara

Form Five Selection 2026 Mbeya – Waliochaguliwa kidato cha tano 2026 Mbeya

Load More
SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

Territory brand lead at Onfon Microfinance Tanzania

Territory brand lead at Onfon Microfinance Tanzania

Nafasi za Kazi Account Developer Coca-Cola Kwanza – Nafasi za Kazi Januari 2026

Nafasi za Kazi Account Developer Coca-Cola Kwanza – Nafasi za Kazi Januari 2026

Nafasi ya Kazi Sales & Reservations Agent QR Travel – Nafasi za Kazi Januari 2026

Nafasi za Kazi Valuation Interns at RINAZ Proper Consult – Nafasi za Kazi Januari 2026

Nafasi za Kazi Valuation Interns RINAZ Proper Consult – Nafasi za Kazi Januari 2026

Nafasi za kazi Halmashauri Wilaya ya Buchosa (15 Januari, 2026)

Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.