| POST | MWANDAZI DARAJA – 2 POST |
| EMPLOYER | Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe |
| APPLICATION TIMELINE: | 2024-11-14 2024-11-27 |
| JOB SUMMARY | N/A |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kuandaa sehemu ya kulia chakula.ii. Kupamba meza ya kulia chakulaiii. Kupanga vifaa vya kulia chakula na vinywaji mezaniiv. Kuandaa vinywajiv. Kuondoa vyombo baada ya kula chakula |
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wenye cheti cha Mtihani wa Kidato cha IV na kufuzu Mafunzo si chini ya mwaka mmoja katika fani ya Food and Bevereges kutoka kwenye vyuo vinavyotambuliwa na Serikali. |
| REMUNERATION | TGS B |
ADVERTISEMENT
