Zoteforum
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
Zoteforum
No Result
View All Result

Form Five Selection 2026 Pwani – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Pwani

Zoteforum by Zoteforum
April 22, 2026
in Form five, selections

Mchakato wa form five selection au uchaguzi wa wanafunzi kujiunga na kidato cha tano pamoja na vyuo vya kati ni tukio muhimu linalotoa nafasi kwa wanafunzi kuendelea na masomo yao ya juu zaidi baada ya kuhitimu kidato cha nne. Mkoa wa Pwani una historia ya kushikilia nafasi muhimu katika utoaji wa elimu nchini Tanzania. Pwani ni miongoni mwa mikoa inayokua kwa kasi na inayoelekeza nguvu katika kuboresha miundombinu ya shule na vyuo kwa kushirikiana na serikali pamoja na wadau wa maendeleo.

Katika kipindi cha mwaka 2026, mchakato wa uchaguzi ulifanyika kupitia mfumo wa SELEFORM, ambao umetoa nafasi kwa wahitimu wa Kidato cha Nne kubadilisha machaguo ya tahasusi za Kidato cha Tano na kozi za vyuo mbalimbali. Mfumo huu unaojulikana kama selform umewawezesha wanafunzi kuona na kuchagua fursa ambazo zinaendana na matarajio yao ya baadaye na hatimaye majina ya waliochaguliwa kidato cha tano mkoani Pwani yataweza kupatikana na kutangazwa kupitia tovuti ya TAMISEMI.

Jinsi ya Kuangalia Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Na Vyuo Vya Kati, Katika Mkoa wa Pwani

Kwa wale ambao walituma maoombi ya kujiunga na kidato cha tano au vyuo vya kati kupitia mfumo wa selform, ni muhimu kufahamu namna ya kuangalia majina yao kama wamechaguliwa kwa jili ya kuanza maandalizi kwa wakati. Orodha ya waliochaguliwa kidato cha tano na kuingia katika vyuo vya kati inapatikana kupitia tovuti ya Ofisi ya Rais – TAMISEMI (www.tamisemi.go.tz) na Baraza la Taifa la Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (www.nactvet.go.tz). Vilevile, unaweza kuingia kwenye mfumo wa uchaguzi wa wanafunzi kwa kiunganishi cha selform.tamisemi.go.tz.

Hatua za kuangalia majina ya waliochaguliwa ni pamoja na:

  1. Ingia kwenye tovuti ya TAMISEMI (https://selform.tamisemi.go.tz/content/selection-and-allocation/).
  2. Fuata link ya ‘Form Five First Selection, 2026’.
  3. Chagua orodha ya mikoa na kisha chagua mkoa wa Pwani.
  4. Chagua halmashauri husika na kufungua shule uliyosoma.
  5. Angalia orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kutoka shule husika na kupata maelekezo ya kujiunga.

Uchaguzi wa Wanafunzi wa Kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Elimu ya Ufundi 2026 kwa Wilaya za Mkoa wa Pwani

Uchaguzi huu unafanyika kwa ngazi ya wilaya na unazingatia shule zilizopo katika mkoa wa Pwani. Kuona matokeo ya Form five selection moja kwa moja na kwa urahisi zaidi bila usumbufu unaweza kutumia linki zifuatazo hapo chini.

ADVERTISEMENT

CHAGUA HALMASHAURI

BAGAMOYO DCCHALINZE DCKIBAHA DC
KIBAHA TCKIBITI DCKISARAWE DC
MAFIA DCMKURANGA DCRUFIJI DC

Jinsi ya Kupata Maelekezo ya Kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Elimu ya Ufundi Pwani

Ili kupata maelekezo sahihi kuhusu jinsi ya kujiunga na kidato cha tano au vyuo vya elimu ya ufundi kwa waliochaguliwa katika mkoa wa Pwani, unahitajika kutembelea tovuti ya TAMISEMI. Angalia sehemu ya ‘UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2026’ , Bofya link ya jina la shule au chuo ulichochaguliwa ili kupakua maelekezo ya kujiunga.

Kwa kufuata hatua hizo, utakaribishwa na taarifa muhimu zenye maelekezo ya kina ambayo yanakuhusu wewe kama mmoja wa waliochaguliwa kidato cha tano mwaka 2026 katika mkoa wa Pwani. Furahia safari yako mpya ya elimu na hakikisha unaandaa mahitaji yote muhimu kabla ya kuanza shule au chuo.

Usikose Kusoma na Hizi Pia

Form Five Selection 2026 Mwanza – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Mwanza

Form Five Selection 2026 Morogoro – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Morogoro

Form Five Selection 2026 Mara – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Mara

Form Five Selection 2026 Kigoma – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Kigoma

Form Five Selection 2025 Kilimanjaro – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025 Kilimanjaro

Form Five Selection 2026 Lindi – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 mkoa wa Lindi

Form Five Selection 2026 Manyara – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Manyara

Form Five Selection 2026 Mbeya – Waliochaguliwa kidato cha tano 2026 Mbeya

Form Five Selection 2026 Mtwara – Waliochaguliwa kidato cha tano 2026 Mtwara

Form Five Selection 2026 Njombe – Waliochaguliwa kidato cha tano 2026 Njombe

Load More
SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

From Five Selection 2025

Form Five Selection 2026 Mwanza – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Mwanza

From Five Selection 2025

Form Five Selection 2026 Morogoro – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Morogoro

Form Five Selection 2026 Mara – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Mara

Form Five Selection 2026 Kigoma – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Kigoma

Form Five Selection 2025 Kilimanjaro – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025 Kilimanjaro

Form Five Selection 2026 Lindi – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 mkoa wa Lindi

Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.