zoteforum.com
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
zoteforum.com
No Result
View All Result

TANGAZO LA KUITWA KAZINI KITUO CHA ZANA ZA KILIMO NA TEKNOLOJIA VIJIJINI (CAMARTEC) 01-08-2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-05-2025 na tarehe 05-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Maelekezo kwa Wasailiwa Waliofaulu

Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo na kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.


MAMLaka ya Ajira, Kada na Majina ya Walioitwa Kazini

1Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)ARTISAN II (Welding and Fabrication)1ANTON ELIAS CHUMA
ASSISTANT ACCOUNTS OFFICER II1YUSUPH PETRO KALINGA
ENGINEER II (AGRICULTURAL)1JANUARY JOB MLOMO
2MARIAGORETH JOHN KAKIRA
TECHNICIAN II (MECHANICAL)1SAIDI SALUM KINDAUKILE
2WINSTON GODFREY NDEAMSO

TANGAZO LA KUITWA KAZINI KITUO CHA ZANA ZA KILIMO NA TEKNOLOJIA VIJIJINI (CAMARTEC) 01-08-2025

Buy JNews Buy JNews Buy JNews
ADVERTISEMENT

Usikose Kusoma na Hizi Pia

SUA Selected Applicants 2025/2026 pdf (Majina Ya Waliochaguliwa Chuo Kikuu Cha SUA )

Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Dodoma

Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Mwanza

Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Katavi

Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Kagera

Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Iringa

Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Geita

Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Kilimanjaro

Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Dar es Salaam

Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Arusha

Load More
SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

NAFASI ZA KAZI 6 – Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA NANYUMBU 02-08-2025

NAFASI ZA KAZI 6 – Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

WALIOITWA KAZINI CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI 01-08-2025

WALIOITWA KAZINI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM 01-08-2025

NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA KIGOMA UJIJI 01-08-2025

NAFASI ZA KAZI (15) HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU 01-08-2025

NAFASI ZA KAZI (7)HALMASHAURI YA MJI WA BABATI 01-08-2025

Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.